Vyama tawala duniani huwa vinahakikisha vinakuwa na mahusiano mazuri na vyama pinzani, hata kama publicly watakosoana lakini nyuma ya pazia wanagonga glass.
Chama tawala kisipofanya hivi basi kitapana ule upinzani wa kwelikwelii, mfano hai ni yaliyomtokea Mwendazake. Kikwete hakuwaga mjinga kuwakaribisha wapinzani ikulu.
Sasa akina sie kajamba nani hatuelewi siasa zinavyoenda tunabaki kukaza shingo zetu for nothing.
Kuichukia ccm kwa yale unayoyaona ni mabaya ni sawa kabisa, huo ndio uhuru wa kuwa na maoni binafsi; lakini kupandwa na wazimu, hilo ni tatizo la kisaikolojia: inabidi uende kwa psychiatrist mapema ukasaidiwe kabla hujaanza kuvua nguo hadharani na kuokota makopo. Otherwise soon tutakuweka kwenye kundi moja na lisu, watu ambao #dishlimetilt