Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbas. Je, PhD yako ni ya kuwapatanisha tu akina Mbasha na Mchomvu na siyo Rais na Wapinzani Nchini?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,685
Reaction score
128,178
Nina uhakika tena wa 100% kabisa kuwa hii juhudi yako ambayo sioni haya wala aibu kuiita ni ya 'Kinafiki' ya 'Kuwapatanisha' akina Emanuel Mbasha na Adam Mchomvu tena ukiwa 'Mubashara' kabisa katika Kipindi cha XXL cha Clouds FM leo ungeitumia katika 'Kumpatananisha' Bosi wako Mkuu (Rais Magufuli) na Wapinzani huenda Siasa na Demokrasia ya Tanzania ingekuwa ya Kuigwa.

Halafu sikuona haja sana Mtu kama Wewe 'Kuhangaika' na hao 'Wahuni' huku ukitakiwa 'Kumsaidia' mambo Makubwa na Muhimu Bosi wako (Rais).
 
GENTAMYCINE,

Akina Abasi polepole ni wanufaika wa uonevu unyanyasaji unaofanywa dhidi ya wapinzani, Lipo fungu kubwa hutoka kwa ajili ya kudhoofisha chadema kuua upinzani kurejesha mfumo wa chama kimoja na humo humo ndipo huneemekea, hawezi kumshauri mtukufu apatane na wapinzani kwa sababu atakosa pesa za kuchochea migogoro.
 
Kama sikosei mwezji January aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na pia akaambiwa aendelee kuwa msemaji mkuu wa Serikali.

Hivyo hio ya kuwapatanisha akina Emanuel Mbasha na Adam Mchomvu ameifanya akiwa anaiwakilisha wizara husika inayohusu Sanaa.

Ndo maana halisi ya Usanii huo.
 
Mwenye PhD nchi hii ni askofu Bagonza tu. The rest ni wa kuungaunga. Ukihoji sana PhD zao unatekwa.
Kwa PHD za makaratasi nikweli, maana nchi Za wenzetu naona PHD zao zinaonekana wazi bila kujitambulisha Dr flani.

Huku kwetu wenye PHD wanakazana kuandika kwenye Mitandao Wakiongea yanayotufurahisha basi tunafurahiii.

Ila inachekesha Sana.
 
Kuna kipindi mtoa mafa ulikuwa kimya sana hivi na wewe ulienda kuchukua phd maana nyuzi zako za sasa zimeenda shule
 
Nina uhakika tena wa 100% kabisa kuwa hii juhudi yako ambayo sioni haya wala aibu kuiita ni ya 'Kinafiki' ya 'Kuwapatanisha' akina Emanuel Mbasha na Adam Mchomvu tena ukiwa 'Mubashara' kabisa katika Kipindi cha XXL cha Clouds FM leo ungeitumia katika 'Kumpatananisha' Bosi wako Mkuu (Rais Magufuli) na Wapinzani huenda Siasa na Demokrasia ya Tanzania ingekuwa ya Kuigwa.

Halafu sikuona haja sana Mtu kama Wewe 'Kuhangaika' na hao huku ukitakiwa 'Kumsaidia' mambo Makubwa na Muhimu Bosi wako (Rais).
Kuna mambo mengi huwa natofautiana nawe 'inyenzi' ila leo umeongea point mkuu.
 
Alikuwa sahihi kufanya hivyo...maana kwanza ni katibu wa wizara ya habari na michezo so Mbasha na Mchomvu ni wadau wake..suala la CCM na upinzani halimhusu.
Nina uhakika tena wa 100% kabisa kuwa hii juhudi yako ambayo sioni haya wala aibu kuiita ni ya 'Kinafiki' ya 'Kuwapatanisha' akina Emanuel Mbasha na Adam Mchomvu tena ukiwa 'Mubashara' kabisa katika Kipindi cha XXL cha Clouds FM leo ungeitumia katika 'Kumpatananisha' Bosi wako Mkuu (Rais Magufuli) na Wapinzani huenda Siasa na Demokrasia ya Tanzania ingekuwa ya Kuigwa.

Halafu sikuona haja sana Mtu kama Wewe 'Kuhangaika' na hao huku ukitakiwa 'Kumsaidia' mambo Makubwa na Muhimu Bosi wako (Rais).
 
Nina uhakika tena wa 100% kabisa kuwa hii juhudi yako ambayo sioni haya wala aibu kuiita ni ya 'Kinafiki' ya 'Kuwapatanisha' akina Emanuel Mbasha na Adam Mchomvu tena ukiwa 'Mubashara' kabisa katika Kipindi cha XXL cha Clouds FM leo ungeitumia katika 'Kumpatananisha' Bosi wako Mkuu (Rais Magufuli) na Wapinzani huenda Siasa na Demokrasia ya Tanzania ingekuwa ya Kuigwa.

Halafu sikuona haja sana Mtu kama Wewe 'Kuhangaika' na hao huku ukitakiwa 'Kumsaidia' mambo Makubwa na Muhimu Bosi wako (Rais).
Huyu jamaa huwa ni mzaliwa wa wapi? tuanzie hapo maana hakuna mtanzania anaitwa Abasi Abasi siju Mohamed
 
Back
Top Bottom