GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
- Thread starter
- #41
Kuna kipindi mtoa mafa ulikuwa kimya sana hivi na wewe ulienda kuchukua phd maana nyuzi zako za sasa zimeenda shule
Kwa IQ yangu niliyonayo tu yenye Damu ya Kizanaki na Kimakuwa ni 'PhD' tosha Mkuu na huwezi amini wala sina Elimu Kubwa kama udhaniavyo.