Hahahaha! Sikiliza we punguani Mimi nina Digrii mbili za Sheria na Post Graduate Diploma in legal Practise.
Degree yangu ya pili nimepata UK. Kwa iyo huwezi kujilinganisha vyovyote kielimu na kiupeo. Familia yangu ni ya wasomi, Kuna MD’s ambao ni ma specialist kabisa. Mdogo wetu wa mwisho ni PhD candidate.
Ngoja nikuelimishe we muhuni wa mataga. Tanzania hakuna PhD inayoweza kuitwa PhD kweli. Kuna wahuni Kama wewe ambao mnasoma ili majina yenu yaanze kuitwa Dr au Prof! Kuna wanaosoma wawe na degree 3 ili wawe mabosi n wawe na vyeo kwenye taasisi zao na ofisi zao. Kifupi mnasoma ili muwe na cv Nzuri tu!!!
Nchi za wenyetu research za watu wa PhD ni lulu, zinauzwa kwa serikali, makampuni na taasisi kwa sababu ya kuleta mabadiriko kwenye sera, maisha, uchumi, telnolojia na sayansi. Research zao zinakuwa published kusomwa na kupimwa kweli na watu wengine wataalamu. Hapa Tanzania wapi yanafanyika hayo????
Labda nikuulize wewe kama kweli una PhD, iyo PhD yako imeisaidia nini jamii ya Tanzania au shrika lolote lile?????