Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbas. Je, PhD yako ni ya kuwapatanisha tu akina Mbasha na Mchomvu na siyo Rais na Wapinzani Nchini?

We kumbe boya tu huna lolote we umefanya nini cha maana pamoja na kielimu chako cha kuokota jiulize kwanza then uje useme watu wenye proffessional zao

Kuanzia Wewe tu hadi na Koo zako zote mbili ya Baba na Mama yako mngebahatika tu kuwa na hata 5% tu ya IQ yangu najua 'mngeringa' mno tu.
 
Kupatanisha "serikali na upinzani", what a joke. Kwa nini serikali na upinzani zipatanishwe? Upinzani ufanye kazi ya kuikosoa serikali coz ndio kazi waliyonayo kwa sasa, serikali ichukue positives za ukosoaji izifanyie kazi.

Hata upinzani ukipatanishwa na serikali, ni unafiki tu.
Kuna mimtu humu inafikiri kwa nguvu ya matako kabisa eti wewe uliona msemaji wa serikali amuite rais awapatanishe na wapinzani dah halafu mtu huyo huyo anacheka elimu za watu eti
 
Ajabu hii mkuu, msemaji mkuu wa serikali apatanishe serikali(raisi) na upinzani? Halafu wanananga elimu za wenzao kumbe wao ndio maboya. Hivi JD ya msemaji mkuu wa serikali imetamka mahali awe mpatanishi!! Teh shida hii...
 
Ndo hapo jamaa alitumia tu busara kama expert wa habari kuwapatanisha jamaa lakini engo of thinking ilivyopokelewa na huyu boya ni shame na kichekesho cha hali ya sgr
 
Nina uhakika tena wa 100% kabisa kuwa hii juhudi yako ambayo sioni haya wala aibu kuiita ni ya 'Kinafiki' ya 'Kuwapatanisha' akina Emanuel Mbasha na Adam Mchomvu tena ukiwa 'Mubashara' kabisa katika Kipindi cha XXL cha Clouds FM leo ungeitumia katika 'Kumpatananisha' Bosi wako Mkuu (Rais Magufuli) na Wapinzani huenda Siasa na Demokrasia ya Tanzania ingekuwa ya Kuigwa.

Halafu sikuona haja sana Mtu kama Wewe 'Kuhangaika' na hao 'Wahuni' huku ukitakiwa 'Kumsaidia' mambo Makubwa na Muhimu Bosi wako (Rais).
Mungu mbariki GENTAMYCINE japo inaweza kuwa mwezi bado haujaandama maana anabadilikabadilika.
 
Kuna mimtu humu inafikiri kwa nguvu ya matako kabisa eti wewe uliona msemaji wa serikali amuite rais awapatanishe na wapinzani dah halafu mtu huyo huyo anacheka elimu za watu eti

Aliyekuambia kuwa na Elimu Kubwa ndiyo 'Akili' nani? Tanzania ina 'Doctorates' wengi tu je, mbona nchi bado iko nyume tu Kimaendeleo? Foolish!!
 
Acha basi kudhirihisha upumbavu wako mkuu

Nikugawie kidogo tu sehemu ya 'IQ' yangu ili nawe uwe " Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer " Wewe Juha Mkuu?
 
Aliyekuambia kuwa na Elimu Kubwa ndiyo 'Akili' nani? Tanzania ina 'Doctorates' wengi tu je, mbona nchi bado iko nyume tu Kimaendeleo? Foolish!!
Siwezi kujibidhana na mpumbavu namm nitaonekana mpumbavu kma wewe wapi umeniona nimesema kuwa na elimu kubwa ndo akili wewe ni fool kama fool wengine tu
Wewe mwenye akili umefanya nini ? Au ndo kuja kupiga domo tu humu jf ma'fucka
 
Nikugawie kidogo tu sehemu ya 'IQ' yangu ili nawe uwe " Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer " Wewe Juha Mkuu?
😂😂😂😂😂🤣🍆🍆🍆🚮🚮🚮
Eti game changer dah dunia hii
 
Ndo hapo jamaa alitumia tu busara kama expert wa habari kuwapatanisha jamaa lakini engo of thinking ilivyopokelewa na huyu boya ni shame na kichekesho cha hali ya sgr

Naona 'Partners in Idiocy' mnasapotiana na kupeana Moyo hapa. Halafu kwa 'Upumbavu' huu mlionao ndiyo mnataka JPM na CCM yake apendwe?

Cc: Eli79
 
Siwezi kujibidhana na mpumbavu namm nitaonekana mpumbavu kma wewe wapi umeniona nimesema kuwa na elimu kubwa ndo akili wewe ni fool kama fool wengine tu
Wewe mwenye akili umefanya nini ? Au ndo kuja kupiga domo tu humu jf ma'fucka

Je, BAKITA wanalijua hili neno lako la 'Kujibidhana' uliloliandika hapa? Watanzania wote tunajua kuna neno letu sahihi la Kiswahili la 'Kujibizana' tu.
 
😂😂😂😂😂🤣🍆🍆🍆🚮🚮🚮
Eti game changer dah dunia hii

Vipi nikuazime angalau hata kwa Siku moja hiyo 'Signature' yangu ili nawe uweze kuosha nayo tu 'Nyota' na uweze 'Kukubalika' sana hapa Jamvini?
 
Kwa PHD za makaratasi nikweli, maana nchi Za wenzetu naona PHD zao zinaonekana wazi bila kujitambulisha Dr flani.

Huku kwetu wenye PHD wanakazana kuandika kwenye Mitandao Wakiongea yanayotufurahisha basi tunafurahiii.

Ila inachekesha Sana.
”Mimi naitwa Dr. Fulani. Nina digrii nne, moja ya hapa nchini lakini nyingine mbili za USA na moja ya UK. Hivyo ninyi vidampa hamuwezi kuniambia kitu " Alisikika akisema msomi moja kwa majivuno?
 
Naona 'Partners in Idiocy' mnasapotiana na kupeana Moyo hapa. Halafu kwa 'Upumbavu' huu mlionao ndiyo mnataka JPM na CCM yake apendwe?

Cc: Eli79
Sawa Mr. Perfect, nani asiyejua hutaki hoja kinzani. Lakini ni hivyo tu kuwa yule katumia nafasi ya Katibu wa wizara kufanya reconsiliation. Niambie JD za msemaji mkuu wa serikali ewe kiazi.
 
Neno lako hili la 'reconsiliation' Waingereza wanalijua? Pumbavu kwani ungesema tu 'Mapatano' usingeeleweka hadi 'ujidhalilishe' hivi Wewe Juha?
 
Nimekusoma vizuri ewe kiazi! Nisamehe nimekukosea, nitajirekebisha!
 
Back
Top Bottom