Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbas. Je, PhD yako ni ya kuwapatanisha tu akina Mbasha na Mchomvu na siyo Rais na Wapinzani Nchini?

Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbas. Je, PhD yako ni ya kuwapatanisha tu akina Mbasha na Mchomvu na siyo Rais na Wapinzani Nchini?

Lakini kichwa cha habari kina ongelea PhD!
Lakini wewe hata bachelor huna, na inawezekana ulifukuzwa chuoni au hukuwahi kukanyaga! Ukiona watu wanakasirika kuona wenzao wamesoma na shahada nyingi ujue hao shule kwao ilikuwa ngumu! Mara utawasikia mbona Bakharesa hana degree, ujue hao walikuwa vilaza.
Wewe PhD utaisikia tu hutaipata, na kutokana na mawazo haya - hata watoto na wajukuu hakuna atakaye pata PhD. Pole.
Hizo bure PhD zimeleta bure elimu kwa hiyo watoto na wajukuu watazipata tu Ila inasikitisha kuwa nao watakuwa hawaajiriki na kukimbilia kwenye siasa lakini kama CCM itapewa nafasi ya kuongoza Serikali tena. Miaka mitano tu ya Awamu ya Tano, kila mteuliwa Serikalini ana PhD lakini hawajui lughà yoyote ya kigeni wengine hata Kiswahili hii ikileta maswali ya uhalali wa PhD hizo. Bungeni pia zimejaa za kupiga meza makofi kuunga mkono hoja au juhudi au kupiga kura za ndiyoooo! Kibaji na Musukuma pekee ndo bado hawajapata lakini watapata maana kura za maoni wamepita kwa kishindo na Ndugai nae pia bila hata kutembeza rungu.
 
Jamaa huyu Dkt. Abbas ana PhD ya nini?
Kuna mbunge aliona mbali sana, alishauri serikali ianzishe vyuo vya wezi hatukumwelewa tukamcheka kumbe alibaini kwenye Jamii yetu kuna PHD za kusema uwongo, DHD za kukosa aibu, PHD za unafiki, PHD za kitumwa hivyo alitakatuzitambua and zihalalisha tu!
 
Itakuwa pengine anajifanyisha tu ili kumfurahisha 'mkuu'
By the way siku hizi ukimsikiliza mtu wa PhD huoni tofauti sana na asiye nayo kwenye uelewa wa mambo unakuta hata mwenye diploma anamzidi mwenye PhD.
Hizi PhD,Profesa na wasomi wengine wamejaa serikali lakini Utendaji na Ufanisi ni bora hata enzi za Old CCM na CCM Mpya,ni ile ile.Hivyo ukihoji lazima ufishwe.
 
Nina uhakika tena wa 100% kabisa kuwa hii juhudi yako ambayo sioni haya wala aibu kuiita ni ya 'Kinafiki' ya 'Kuwapatanisha' akina Emanuel Mbasha na Adam Mchomvu tena ukiwa 'Mubashara' kabisa katika Kipindi cha XXL cha Clouds FM leo ungeitumia katika 'Kumpatananisha' Bosi wako Mkuu (Rais Magufuli) na Wapinzani huenda Siasa na Demokrasia ya Tanzania ingekuwa ya Kuigwa.

Halafu sikuona haja sana Mtu kama Wewe 'Kuhangaika' na hao 'Wahuni' huku ukitakiwa 'Kumsaidia' mambo Makubwa na Muhimu Bosi wako (Rais).
Unaongea upumbavu,upumbavu kisha upumbavu.Rais anapatanishwa na mijitu mipuuzi ?
 
Katika vitu vinavyovunjiwa heshima Tanzania ni hadhi PhD na Uaskofu. Siku hizi kila mtu ni Daktari au baba askofu. Hata mtu muhuni kama Gwajima anaitwa baba askofu. Mimi nimeshaandika mara kadhaa hapa JF kuhusu hao wasomi wetu wenye PhD. Wakati mwingine hufanya mambo ya hovyo mpaka unajiuliza hizo PhD walizipataje.
 
Nyie phd zenu ziko wapi mkuu au hivyo videgree vyenu mnafanyia nini mbona hatuwaoni
 
Kuna mtu alihoji PhD ya mtu hadi Leo haonekani
Nakaa pembeni tu
 
Kuwa na PhD au kutokuwa nayo inategemea unataka nini maishani kwako.
Sasa kma ndo ivyo yanini mnabwatuka ovyo kwenye elimu za watu ? Relax meen kwanza hamkuwasaidia hata senti tano kulipia hizo tuition fee so why mnacatch feeling kwenye elimu za watu ?
Kunyweni maji mtulieni tatizo nn?!
 
Tunasema kwasababu wao ndio wanatakiwa kuwa na maarifa lakini wakati mwingine wanatia aibu.

Halafu hata kama hatujawalipia hata senti tano kwenye elimu zao tuna haki ya kuwahoji kwasababu mishahara yao inalipwa na kodi za Watanzania.
 
Tunasema kwasababu wao ndio wanatakiwa kuwa na maarifa lakini wakati mwingine wanatia aibu.

Halafu hata kama hatujawalipia hata senti tano tuna haki ya kuwahoji kwasababu mishahara yao inalipwa na kodi za Watanzania.
Hata wewe una nafasi ya kutafuta hayo maarifa na kuwa kama yeye why usiende huko badala yake na kwanini uanze kuattack personality ya mtu ?
Kwani wewe hupaswi kuwa na hayo maarifa ? Mbona unajiaibisha hv
 
Kichwa chako ni kigumu sana kuelewa. Nimeshakujibu kwamba sio kila mtu anahitaji kuwa na PhD. Kwahiyo, sihitaji kuwa na hayo maarifa. Lakini hainipunguzii haki ya kuhoji hao wenye maarifa kama kazi wanazozifanya ziko chini ya kiwango.
 
Mkuu ni kwanini unapoteza muda wako na huyo Mpumbavu?

Cc: Dampa
 
Ni hapo ninapo kuwa na mashaka ya elimu zenu! Yaani kuona kama mnachukulia mtu mwenye PhD atakuwa na uelewa wa kila kitu!
Nikupe mfano wa Dr. fulani yeye amebobea kwenye buibui (spiders) - yaani tofauti, aina, zenye sumu, makazi yao n. k. Lakini hana interest na mambo ya sheria! Lakini akija kwenye fani yake ya buibui ni kiboko. Sasa nyinyi mtaanza kumuona huyo hafai, na wa PhD wote hawafai kwa sababu mmetafautiana kiitikadi!
Mnaposema maCCM ovyo na wao wanaposema CHADEMA nyumbu, hiyo inaeleweka na kipimo kiko sawa na ni kile kile. Lakini unapo ongelea PhD ambazo hazifanani na ni speciality ya kitu kidogo katika taaluma kubwa hapo nawashangaa! Naona kama uelewa wa hicho kitu kinachoitwa PhD hakijulikani kwa wengi!
Nikitumia mifano yako - Tundu Lissu siyo kwamba anawazidi wote wenye PhD! Kwa mfano wangu - Huyu mwenye PhD ya buibui hazidiwi na Lissu kwenye fani yake. Dr. Bashiru hazidiwi na Lissu kwenye elimu ya siasa na vile vile Bashiru hamzidi Lissu kwenye sheria.
Tukija kwa Mnyika - Fani ya uchumi ni kubwa na unaweza ukakuta hao unaowasema wenye PhD ya uchumu, ni katika kipengele kimoja kidogo (e. g biashara ndogo ndogo) wakati Mnyika ana general understanding ya uchumi tu - hivyo ni vitu tofauti!
Mwisho niseme kuwa msichanganye mambo ya taaluma na siasa! Kumbuka ili uwe mwanasiasa, lazima ujue kusoma na kuandika - na kutumia lugha ya Kiswahili/kiingereza.
Umekuwa mwalimu miaka kadhaa,umekuwa mwanasiasa miaka 20,una PhD,lakini rais wa Kuwait ni Saddam Hussein!!
Kwelii!!!!!????
 
We kweli zuzu kama hutaki kuwa na hayo maarifa punguza shobo na watu wenye elimu zao by the way huwapangii kufanya chochote wanachokifanya hata kama una haki ya kuhoji hatukatai hoji kwa nidhamu zote sio unakuja na vijifact vyako vya kuokota okota hapa
 
Mkuu ni kwanini unapoteza muda wako na huyo Mpumbavu?

Cc: Dampa
Naona machoko mnapeana support jadilini issues siyo kujadili watu na personality zao mu'fucka
"Big mind discus issues Small mind discuss peoples" inapply kwenu shenzi type nyie.
 
Back
Top Bottom