Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbas. Je, PhD yako ni ya kuwapatanisha tu akina Mbasha na Mchomvu na siyo Rais na Wapinzani Nchini?

Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbas. Je, PhD yako ni ya kuwapatanisha tu akina Mbasha na Mchomvu na siyo Rais na Wapinzani Nchini?

Usijisahau mkuu. Wakati wa kuandikwa kwa muswada wa katiba ya Warioba, raisi Kikwete aliwaita ikulu wapinzani na kujadiliana nao baada ya Philip Marmo kubadili badhi ya vifundu vya muswada baada ya kupitishwa na bunge. Niliamini kwamba na Magu pia angefuata mfumo huo kaika kukaa na wapinzani. lakini naona ana haiba ya tofauti kidogo lakini. Tuendelee kujadili hoja.
We uliona wapi huko duniani kuna siasa ya vyama pinzani kupatana we ulisikia wapi huo waliofanya ni unafiki tu ndg yangu so wakipatana nini kilifuata baada ya hapo hicho kitu katika siasa duniani kote hakiwezekani
 
Kwa hiyo mkuu wanasiasa hawaruhusiwi kupatana?
Na je umewahi kusikia maridhiano ya kule zanzibar?
Hayo maridhiano ni unafiki tu kuridhisha upande flani hicho kitu hakipo katika ulimwengu wa democracy
 
Mkuu usidharau mtu Mimi binafsi nina degree lakini pia nakosoa wenye PhD, kukosoa PhD au kukasirishwa na wwnye degree 4 siyo kigezo cha kusema anayewakosoa hana degree wengi tunazo na tunakosoa, sisi tunataka Elimu hiyo midigrii iakisi uelewa kichwani, tunatarajia PhD awe na uelewa mkubwa Sana, ndiyo maana watu kama kina Lissu wenye degree 2 za sheria wanaonekana wana uelewa mkubwa kuliko wenye degree 4/5+ za sheria, hii ni kutokana na kujaza vyeti tu na kuwa mchumia tumbo, mfano mwingine ni Mnyika ambaye hakumaliza degree uelewa wake ni mkubwa kuliko wasomi wa PhD ukitaka kuthibitisha hilo weka Mada ya Uchumi mezani muite mwenye PhD ya Uchumi halafu upande wa pili Muweke Mnyika utaona gap, sana sana mwwnye PhD atajisifu "Mimi Nina degree4"
Ni hapo ninapo kuwa na mashaka ya elimu zenu! Yaani kuona kama mnachukulia mtu mwenye PhD atakuwa na uelewa wa kila kitu!
Nikupe mfano wa Dr. fulani yeye amebobea kwenye buibui (spiders) - yaani tofauti, aina, zenye sumu, makazi yao n. k. Lakini hana interest na mambo ya sheria! Lakini akija kwenye fani yake ya buibui ni kiboko. Sasa nyinyi mtaanza kumuona huyo hafai, na wa PhD wote hawafai kwa sababu mmetafautiana kiitikadi!
Mnaposema maCCM ovyo na wao wanaposema CHADEMA nyumbu, hiyo inaeleweka na kipimo kiko sawa na ni kile kile. Lakini unapo ongelea PhD ambazo hazifanani na ni speciality ya kitu kidogo katika taaluma kubwa hapo nawashangaa! Naona kama uelewa wa hicho kitu kinachoitwa PhD hakijulikani kwa wengi!
Nikitumia mifano yako - Tundu Lissu siyo kwamba anawazidi wote wenye PhD! Kwa mfano wangu - Huyu mwenye PhD ya buibui hazidiwi na Lissu kwenye fani yake. Dr. Bashiru hazidiwi na Lissu kwenye elimu ya siasa na vile vile Bashiru hamzidi Lissu kwenye sheria.
Tukija kwa Mnyika - Fani ya uchumi ni kubwa na unaweza ukakuta hao unaowasema wenye PhD ya uchumu, ni katika kipengele kimoja kidogo (e. g biashara ndogo ndogo) wakati Mnyika ana general understanding ya uchumi tu - hivyo ni vitu tofauti!
Mwisho niseme kuwa msichanganye mambo ya taaluma na siasa! Kumbuka ili uwe mwanasiasa, lazima ujue kusoma na kuandika - na kutumia lugha ya Kiswahili/kiingereza.
 
Kwa muda mrefu sana nilikuwa nafanya Utafiti wangu binafsi wa kumjua 'Member' aliye 'Mpumbavu' kuliko wote hapa hatimaye leo hii nimekupata.
We kumbe boya tu huna lolote we umefanya nini cha maana pamoja na kielimu chako cha kuokota jiulize kwanza then uje useme watu wenye proffessional zao
 
Nina uhakika tena wa 100% kabisa kuwa hii juhudi yako ambayo sioni haya wala aibu kuiita ni ya 'Kinafiki' ya 'Kuwapatanisha' akina Emanuel Mbasha na Adam Mchomvu tena ukiwa 'Mubashara' kabisa katika Kipindi cha XXL cha Clouds FM leo ungeitumia katika 'Kumpatananisha' Bosi wako Mkuu (Rais Magufuli) na Wapinzani huenda Siasa na Demokrasia ya Tanzania ingekuwa ya Kuigwa.

Halafu sikuona haja sana Mtu kama Wewe 'Kuhangaika' na hao 'Wahuni' huku ukitakiwa 'Kumsaidia' mambo Makubwa na Muhimu Bosi wako (Rais).
Mbasha na Mchumvu kwa sasa ni mali ya CCM hivyo mmiliki anapoona ng'ombe wake wanapigana ndani ya zizi hulazimika kuwatenganisha ili zizi lake liwe salama, hongera Dr Abbas msemaji wa serikali na CCM.
 
Hii nchi tulitakiwa tutawaliwe na wakoloni mpaka 1987,nasihi kuna tabia za kijinga zingekuwa hazipo kwenye jamii yetu
 
Hahahaha! Sikiliza we punguani Mimi nina Digrii mbili za Sheria na Post Graduate Diploma in legal Practise.

Degree yangu ya pili nimepata UK. Kwa iyo huwezi kujilinganisha vyovyote kielimu na kiupeo. Familia yangu ni ya wasomi, Kuna MD’s ambao ni ma specialist kabisa. Mdogo wetu wa mwisho ni PhD candidate.

Ngoja nikuelimishe we muhuni wa mataga. Tanzania hakuna PhD inayoweza kuitwa PhD kweli. Kuna wahuni Kama wewe ambao mnasoma ili majina yenu yaanze kuitwa Dr au Prof! Kuna wanaosoma wawe na degree 3 ili wawe mabosi n wawe na vyeo kwenye taasisi zao na ofisi zao. Kifupi mnasoma ili muwe na cv Nzuri tu!!!

Nchi za wenyetu research za watu wa PhD ni lulu, zinauzwa kwa serikali, makampuni na taasisi kwa sababu ya kuleta mabadiriko kwenye sera, maisha, uchumi, telnolojia na sayansi. Research zao zinakuwa published kusomwa na kupimwa kweli na watu wengine wataalamu. Hapa Tanzania wapi yanafanyika hayo????

Labda nikuulize wewe kama kweli una PhD, iyo PhD yako imeisaidia nini jamii ya Tanzania au shrika lolote lile?????
Ulivyo anza kwa matusi inaonyesha hiyo elimu unayosema unayo huna! Na kama ulikanyaga Uingereza na ukasoma huko siyo kweli maana waingereza hawatumii maneno makali hivyo wanasitaha ya lugha. (Rejea alivyosema Prof. Kabudi bungeni!).
Kama uko serious kujua PhD yangu imesaidia nini na imekuwa referenced mara ngapi nitumie number tuwasiliane.
 
We uliona wapi huko duniani kuna siasa ya vyama pinzani kupatana we ulisikia wapi huo waliofanya ni unafiki tu ndg yangu so wakipatana nini kilifuata baada ya hapo hicho kitu katika siasa duniani kote hakiwezekani
🤣 🤣 🤣 siasa sio bifu
 
Ni hapo ninapo kuwa na mashaka ya elimu zenu! Yaani kuona kama mnachukulia mtu mwenye PhD atakuwa na uelewa wa kila kitu!
Nikupe mfano wa Dr. fulani yeye amebobea kwenye buibui (spiders) - yaani tofauti, aina, zenye sumu, makazi yao n. k. Lakini hana interest na mambo ya sheria! Lakini akija kwenye fani yake ya buibui ni kiboko. Sasa nyinyi mtaanza kumuona huyo hafai, na wa PhD wote hawafai kwa sababu mmetafautiana kiitikadi!
Mnaposema maCCM ovyo na wao wanaposema CHADEMA nyumbu, hiyo inaeleweka na kipimo kiko sawa na ni kile kile. Lakini unapo ongelea PhD ambazo hazifanani na ni speciality ya kitu kidogo katika taaluma kubwa hapo nawashangaa! Naona kama uelewa wa hicho kitu kinachoitwa PhD hakijulikani kwa wengi!
Nikitumia mifano yako - Tundu Lissu siyo kwamba anawazidi wote wenye PhD! Kwa mfano wangu - Huyu mwenye PhD ya buibui hazidiwi na Lissu kwenye fani yake. Dr. Bashiru hazidiwi na Lissu kwenye elimu ya siasa na vile vile Bashiru hamzidi Lissu kwenye sheria.
Tukija kwa Mnyika - Fani ya uchumi ni kubwa na unaweza ukakuta hao unaowasema wenye PhD ya uchumu, ni katika kipengele kimoja kidogo (e. g biashara ndogo ndogo) wakati Mnyika ana general understanding ya uchumi tu - hivyo ni vitu tofauti!
Mwisho niseme kuwa msichanganye mambo ya taaluma na siasa! Kumbuka ili uwe mwanasiasa, lazima ujue kusoma na kuandika - na kutumia lugha ya Kiswahili/kiingereza.
Kwanza kabisa, lazima ujue kwamba lengo la elimu siyo kukupa maarifa ya kile unachokisomea tu bali ni kufikiri kwa pande zote ndiyo maana Albert Einstein alisema "Education is not memorizing of facts but the training of the mind to think" hivyo tunatarajia MTU mwenye PhD asiwe na Ujuzi was hicho alichosomea tu bali aweze kufikiri vizuri awe ni msomaji wa mambo mengi (kama tundu lissu anavyofanya)
Kuhusu kusema Ccm hovyo na Chadema Nyumbu ngoja nikuulize swali moja hivi kwa mini Ccm wabunge wao ni kusifu tu? Wengi wao hawataki kutumia hizo PhD zao kuishauri binge na serikali vizuri mfano sharia ya takwimu, sheria kandamizi mfano za online content
 
He stoop so low. Na hawa ndio eti PHD holders wetu. Pathetic!
 
Ulivyo anza kwa matusi inaonyesha hiyo elimu unayosema unayo huna! Na kama ulikanyaga Uingereza na ukasoma huko siyo kweli maana waingereza hawatumii maneno makali hivyo wanasitaha ya lugha. (Rejea alivyosema Prof. Kabudi bungeni!).
Kama uko serious kujua PhD yangu imesaidia nini na imekuwa referenced mara ngapi nitumie number tuwasiliane.
Yaaani unaniona mie mjingaaaaaa kiasi cha kunitega kirahisi ivo eeeh??? Eti tuma no😀😀😀

Kawatege watoto fb huko!!!!

kwa iyo wewe reference yako ni iyo takataka Kabudi ????

Nani kakwambia uingereza hawatumii maneno makali??? Magreth Thatcher the Iron Lady alikuwaga waziri mkuu wa wapi??? Unajua Kwa nini walimpa Jina the Iron lady????
 
Hivi kati ya Masters Degree na Doctorate yake ni ipi labda aliipatia SAUT School of Graduate Studies hapa Dar es Salaam Msimbazi Center Mkuu?
Doctorate Degree alipatia China ya heshima kama ya JK

Huko Msimbazi Center degree zake ni zile za kuunga unga tu kama za yule jamaa mwenye PhD ya Uchumi ya UDSM (from nowhere kawa Daktari wa Uchumi)
 
Pia awe anamkumbusha kumbusha bosi kuwa yale madarasa uliyojenga ajiri na waalimu, yale majengo ya vituo vya afya aajiri na madaktari na wauguzi na dawa asisahau! maswala ya kisanii ni ya kijinga labda kama uko likizo na unafananao ndo uungane nao
 
Msemaji wa Serikali anaji-promoti yeye zaidi ya boss wake!

This nigga bwana....

Never been fan of him since day one!

Useless nigga with low IQ!

Nina uhakika tena wa 100% kabisa kuwa hii juhudi yako ambayo sioni haya wala aibu kuiita ni ya 'Kinafiki' ya 'Kuwapatanisha' akina Emanuel Mbasha na Adam Mchomvu tena ukiwa 'Mubashara' kabisa katika Kipindi cha XXL cha Clouds FM leo ungeitumia katika 'Kumpatananisha' Bosi wako Mkuu (Rais Magufuli) na Wapinzani huenda Siasa na Demokrasia ya Tanzania ingekuwa ya Kuigwa.

Halafu sikuona haja sana Mtu kama Wewe 'Kuhangaika' na hao 'Wahuni' huku ukitakiwa 'Kumsaidia' mambo Makubwa na Muhimu Bosi wako (Rais).
 
Kupatanisha "serikali na upinzani", what a joke. Kwa nini serikali na upinzani zipatanishwe? Upinzani ufanye kazi ya kuikosoa serikali coz ndio kazi waliyonayo kwa sasa, serikali ichukue positives za ukosoaji izifanyie kazi.

Hata upinzani ukipatanishwa na serikali, ni unafiki tu.
 
Back
Top Bottom