PostGE2025 Msemaji mkuu wa Serikali Gerson Msigwa awahakikishia watalii usalama na kupuuza taarifa potofu

PostGE2025 Msemaji mkuu wa Serikali Gerson Msigwa awahakikishia watalii usalama na kupuuza taarifa potofu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa akizungumza na Vyombo vya habari leo Novemba 23, 2025 amewahakikishia watalii wote kutoka mataifa mbalimabali kuwa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inawakaribisha wote nchi yetu itabaki kuwa ya amani na wazi kupokea wote wanaowiwa kuja kushuhudia vivutio vya kitalii Tanzania

Aidha amewasisitizia kupuuza taarifa yooyote potofu inayoweza kuwachanganya na kuwa malazi ni salama na yanaborehswa zaidi, usafiri kuwezesha safari yao kuwa ya kipekee, thamani ya fedha zao na kuwa serikali inajitoa kuhakikisha usalama wao

 
Watalii ni kina Samuya na wazanzibari wenzake.

Ccm na mapolisi yao bado yana teka, yana poteza na kuuwa watu, usalama uko wapi hapo?
 
Huyu jamaa anawasha moto bila kujua, visa vya watu kutekwa na kufirwaaa na kubakwa bado vyasikika huko, kuna mda hadi unaogopa aisee, utekwa na haya mavijana alafu yakufir daah..
 
Hawa ******* wanaona hii nchi ni Mali yao , ni bora tupige kiberiti hili shithole tufute uzao wa ibilisi huu wa ccm wakiongozwa malkia kahaba wa kizimkazi samia na tuanze upya ,Nina hasira Sana kmamaeee zao
 
Naamini Statement ya Serikali kuliko ripoti ya Mkenya Madowo kupitia CNN.
 
Usalama?

GjHGlbmaoAABbhz.jpg


KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Nikufahamishe watalii hawategemei uongo / matamshi yako kuja Tanzania.
Wana njia zao za uhakika wa nimi kinaendelea hapa
 
Kashupaa kwenye tangazo la mualiko na amani.

Tone yake tu inasema yeye mwenyewe hana amani na anachokiongelea hakina amani na huko aliko hakuna amani.

Wazungu wanakusoma mpaka body language.
 
Hapo mwenyewe kasema "Akili za kuambiwa changanya na zakwako".

Mtu unapesa zako huwezi kwenda kwenye nchi ambayo kitu kama Internet kinazimwa fasta tu na kuna utekaji na hata mtu unaweza kupewa kesi ya uhaini bila sababu.
 
Ni haki yako kuamini taarifa ya serekali, lakini hiyo haiondoi ukweli ulioripotiwa na CNN.
Huo unaoita ukweli wa CNN ni haki yako pia kuamini,

Kila mtu abakie na anachotaka kukiamini.
 
Msigwa hajakanusha kuwa video ni za uongo lakini anawata watalii waendelee kuja nchini na kuzipuuza video hizo.
 
Nimeshangazwa na hii serikali iliyojipa mamlaka bila ridhaa ya watanganyika Kila inapotoa tamko inalazimisha kuiaminisha dunia kuwa ni Tanganyika ni sehemu salama ,huku maelfu ya watu wakitekwa na kuuawa Kila siku.

Najua watalii ndo sehemu ambapo serikali haramu inategemea kupata fedha za kununua bunduki na risasi ili kuwauwa watanganyika,hivyo hapa chini nimeweka majina ya kampuni kubwa zinazo fanya logistics za watalii wanaoitembelea Tanganyika pamoja na email zao,kwa umoja wetu tuwajulishe kuwa Tanganyika si salama kwa watalii kuitembelea kwa sasa hivyo waweza makini,tusisahau kutuma video na picha za mauaji yanayofanyika Kila mara .


---

🌍 1. Lion King Adventures

---

🌍 2. Gosheni Safaris Africa

---

🌍 3. Thomson Safaris

---

🌍 4. Intrepid Travel
  • 📍 Ofisi: Australia, Uingereza, Marekani, Kanada
  • 💼 Huduma: Safari za kikundi, za bajeti, na za kiikolojia (eco-tourism) Tanzania na Afrika Mashariki
  • 🌐 Tovuti: www.intrepidtravel.com
  • 📧 Barua pepe: [email protected]

---

🌍 5. Abercrombie & Kent
  • 📍 Ofisi: Marekani, Uingereza, Australia, na nchi nyingine
  • 💼 Huduma: Safari za kifahari Tanzania, zikiwemo hoteli za hadhi ya juu na usafiri wa ndege binafsi
  • 🌐 Tovuti: www.abercrombiekent.com
  • 📧 Barua pepe: [email protected]


My take: Hii serikali Haina usikivu,Kila ikotoka kutoa ufafanuzi lazima ichochee maasi badala ya kulete na kuhubiri amani
 
Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa akizungumza na Vyombo vya habari leo Novemba 23, 2025 amewahakikishia watalii wote kutoka mataifa mbalimabali kuwa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inawakaribisha wote nchi yetu itabaki kuwa ya amani na wazi kupokea wote wanaowiwa kuja kushuhudia vivutio vya kitalii Tanzania

Aidha amewasisitizia kupuuza taarifa yooyote potofu inayoweza kuwachanganya na kuwa malazi ni salama na yanaborehswa zaidi, usafiri kuwezesha safari yao kuwa ya kipekee, thamani ya fedha zao na kuwa serikali inajitoa kuhakikisha usalama wao
Watalii kutoka sumbawanga
 
Ijulikane tu ya kwamba kuna watalii walikuwepo Tanzania siku ya ta 29 na kuendelea...

Ijulikane pia watalii hao walishindwa kuwasiliana na ndugu zao kwa kipindi cha siku kadhaa...

Je, walipeleka ujumbe gani kwa ndugu zao baada ya mawasiliano kurejea haswa swali kama "Is it safe over there? au "What happened, you were not online for a couple of days?"
 
Kwahiyo apingana na taarifa za kutoa tahadhari za ofisi za kibalozi hapa nchini?

Msigwa apaswa kusimama hapohapo kwenye ujinga wake (wa kutumikia uovu) akiendelea atazidi kuelekea kuwa mpumbavu.
 
Back
Top Bottom