Msemaji Mkuu wa Serikali: Kumekuwa na upotoshaji kuhusu tozo, Wizara ya Fedha itatoa ufafanuzi tozo zilizopunguzwa

Tozo zilete unafuu kwa wananchiu tena?😂😂😂 Huyo mnsemaji anastahili makofi kabisa. Watu wanalalamiuka hela zao zinakwapuliwa nyie mnasema kuna unafuu kwa mwananchi like serious, katika serikali ambazo zishawahi feli hii ya awamu hii itakuwa mfano duniani.
 
Pamoja na utitiri wa tozo bado wastaafu wanasotea mafao,watumishi wanadai malimbikizo na mapunjo ya mishahara.

Sijui zinapelekwa Zanzibar maana hakuna lolote jipya la maana limefanyika,miradi ni ileile ya awamu ya tano.

Kapewa za COVID,anakopa na tozo juu lakini wapi!
 
Cha muhimu ni kuziondoa siyo kuzipunguza kwani hawakushirikisha wananchi. Yaani hazitakiwi hakuna atakayeshangilia hata kama watabakiza 0.0001
 
Tena afanyiwe kama walivyofanyiwa machief wa kingoni pale Songea
 
Yani mnaona sisi wajinga

Maana akaunti ni yanu na makato nayaona sasa ufafanuzi wa nini??!

Bora mkae kimya itapendeza
 
wao haiwahusu haya mana hawakatwi kodi wala nini,kina yahe twafwa.
 
Hivi kuna mtu atawaamini kweli kwenye huo ufafanuzi wao! Maana jamii imeshawapuuza kitambo! Na badala yake inatafuta tu nafasi ya kulipa kisasi cha maumivu ya hizo tozo zao kandamizi.
Hata msipoamini ,taarifa rasmi itatolewa kama suala la salary na itakwisha..
 
Wizara ya fedha inayoongozwa na Mwigulu ndio ije itoe ufafanuzi, huyu Miguu ya chemba si atatutukana tena huyu?

Nashauri this time aende kutuombea kabisa uraia wa Burundi.
 
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania!

"Toozoo ziendelee.....
 
Kwahiyo baada ya ufafanuzi ndio ugumu wa maisha utakwisha?
 
Hili nalo litapita kama la watumishi..

Utukane au usitukane ndio itakuwa imepita hivyo.
 
Gerson anatumia nguvu sana kutoa ufafanuzi.... Hata kwenye nyongeza ya mishahara niliona jinsi anavyotumia nguvu kutoa ufafanuzi kwa mambo ambayo yako wazi....

Kimsingi... Tozo ni nyingi mno! Huu ndo ukweli...
 
Km Mishahara
Hivi kuna mtu atawaamini kweli kwenye huo ufafanuzi wao! Maana jamii imeshawapuuza kitambo! Na badala yake inatafuta tu nafasi ya kulipa kisasi cha maumivu ya hizo tozo zao kandamizi.
 
Huyu msemaji ni mmoja wa watu failures Sana. Yeye kazi yake ni kusema mtulie ufafanuzi unakuja, hii ni mara ya 3 anakuja na hii kauli.

Unawaambiaje watu watulie ilhali wanaumia? Hivi mnawaza watunaowaongoza kweli au mnawaona mang'ombe tu aisee.

Amini nawaambia endeleeni kuwajaza watu uchungu, chuki na hasira. Ipo siku mtashangaa pamoja na kujiwazia manguvu mliyonayo kwenye TISS, polisi na Tume ya uchaguzi

Uzuri mnazidi kupunguza idadi ya wanaowatetea Kwa kiasi kikubwa mno!

Mungu ni mwema sana
 
Ufafanuzi si tulikubaliana na waziri wa fedha tuhamie burundi.
 
Msigwa wa Sasa siyo Yule ya JPM. Amekuwa muongo muongo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…