Elissante
JF-Expert Member
- Aug 10, 2022
- 335
- 344
You will be stoned to deathNawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania!
"Toozoo ziendelee.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You will be stoned to deathNawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania!
"Toozoo ziendelee.....
Atakuwa anadhani nasi tunalamba asali kama wao.Tozo zilete unafuu kwa wananchiu tena?😂😂😂 Huyo mnsemaji anastahili makofi kabisa. Watu wanalalamiuka hela zao zinakwapuliwa nyie mnasema kuna unafuu kwa mwananchi like serious, katika serikali ambazo zishawahi feli hii ya awamu hii itakuwa mfano duniani.
Wanajua wameshatufanya mazuzu / misukule kitambo....Yani makato niyashuhudie mwenyewe halafu uje na maneno eti upotoshaji
Hawa wangese ni kuhakikisha utaratibu wa wao kuwepo ofisini haupo yani kukinukisha tuAtakuwa anadhani nasi tunalamba asali kama wao.
Hivi hadi inafikia hatua ya kupunguza, nani aliyezi-initiate?"TAARIFA
Kuna upotoshaji mkubwa kuhusu tozo za miamala ya kielektroniki iliyoanza katika mwaka huu wa fedha (2022/23). Serikali imepunguza kwa kiasi kikubwa tozo hizo. Wizara ya Fedha itatoa ufafanuzi kuhusu tozo hizi na namna zilivyoleta nafuu kwa wananchi. NAOMBA TUTULIE."
Hakuna kupoa. Ukombozi wetu uko mikononi mwetu:Hawa wangese ni kuhakikisha utaratibu wa wao kuwepo ofisini haupo yani kukinukisha tu
🤣FFS. Wenye hela zetu tunaona zinaibiwa halafu unatuambia kuna upotoshaji? Jinga kabisa.
Cha muhimu ni kuziondoa siyo kuzipunguza kwani hawakushirikisha wananchi. Yaani hazitakiwi hakuna atakayeshangilia hata kama watabakiza 0.0001