mwakijembe
JF-Expert Member
- Mar 20, 2017
- 1,664
- 2,324
Hatutaki jinsi zilivyopunguzwa maana hazikuwepo. Anataka kutoa ufafanuzi wa punguzo la tozo ambayo haikuwepo, au anatuona hamnazo nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tozo zilete unafuu kwa wananchiu tena?😂😂😂 Huyo mnsemaji anastahili makofi kabisa. Watu wanalalamiuka hela zao zinakwapuliwa nyie mnasema kuna unafuu kwa mwananchi like serious, katika serikali ambazo zishawahi feli hii ya awamu hii itakuwa mfano duniani.Kupitia ukurasa Rasmi wa mtandao wa Twitter, Msemaji Mkuu wa Serikali umetoa taarifa ifuatayo kuhusu upotoshaji unaoendelea kuhusiana na Tozo mbali mbali
"TAARIFA
Kuna upotoshaji mkubwa kuhusu tozo za miamala ya kielektroniki iliyoanza katika mwaka huu wa fedha (2022/23). Serikali imepunguza kwa kiasi kikubwa tozo hizo. Wizara ya Fedha itatoa ufafanuzi kuhusu tozo hizi na namna zilivyoleta nafuu kwa wananchi. NAOMBA TUTULIE."
View attachment 2330434
Cha muhimu ni kuziondoa siyo kuzipunguza kwani hawakushirikisha wananchi. Yaani hazitakiwi hakuna atakayeshangilia hata kama watabakiza 0.0001Kupitia ukurasa Rasmi wa mtandao wa Twitter, Msemaji Mkuu wa Serikali umetoa taarifa ifuatayo kuhusu upotoshaji unaoendelea kuhusiana na Tozo mbali mbali
"TAARIFA
Kuna upotoshaji mkubwa kuhusu tozo za miamala ya kielektroniki iliyoanza katika mwaka huu wa fedha (2022/23). Serikali imepunguza kwa kiasi kikubwa tozo hizo. Wizara ya Fedha itatoa ufafanuzi kuhusu tozo hizi na namna zilivyoleta nafuu kwa wananchi. NAOMBA TUTULIE."
View attachment 2330434
Tena afanyiwe kama walivyofanyiwa machief wa kingoni pale SongeaTozo zilete unafuu kwa wananchiu tena?😂😂😂 Huyo mnsemaji anastahili makofi kabuisa. Watu wanalalamiuka hela zao zinakwapuliwa nyie mnasema kuna unafuu kwa mwananchi lime serious, katika serikali ambazo zishawahi feli hii ya awamu hii itakuwa mfano duniani.
Yani mnaona sisi wajingaKupitia ukurasa Rasmi wa mtandao wa Twitter, Msemaji Mkuu wa Serikali umetoa taarifa ifuatayo kuhusu upotoshaji unaoendelea kuhusiana na Tozo mbali mbali
"TAARIFA
Kuna upotoshaji mkubwa kuhusu tozo za miamala ya kielektroniki iliyoanza katika mwaka huu wa fedha (2022/23). Serikali imepunguza kwa kiasi kikubwa tozo hizo. Wizara ya Fedha itatoa ufafanuzi kuhusu tozo hizi na namna zilivyoleta nafuu kwa wananchi. NAOMBA TUTULIE."
View attachment 2330434
wao haiwahusu haya mana hawakatwi kodi wala nini,kina yahe twafwa.Msemaji mkuu wa serikali ametoa tamko kupitia kwenye ukurasa wa Twitter akisema, namnukuu; "Kuna upotoshaji mkubwa kuhusu tozo za miamala ya kielektroniki iliyoanza katika mwaka huu wa fedha (2022/23). Serikali imepunguza kwa kiasi kikubwa tozo hizo. Wizara ya Fedha itatoa ufafanuzi kuhusu tozo hizi na namna zilivyoleta nafuu kwa wananchi. NAOMBA TUTULIE."View attachment 2330442
Hata msipoamini ,taarifa rasmi itatolewa kama suala la salary na itakwisha..Hivi kuna mtu atawaamini kweli kwenye huo ufafanuzi wao! Maana jamii imeshawapuuza kitambo! Na badala yake inatafuta tu nafasi ya kulipa kisasi cha maumivu ya hizo tozo zao kandamizi.
Hatutaki jinsi zilivyopunguzwa maana hazikuwepo. Anataka kutoa ufafanuzi wa punguzo la tozo ambayo haikuwepo, au anatuona hamnazo nini?
Kwahiyo baada ya ufafanuzi ndio ugumu wa maisha utakwisha?Kupitia ukurasa Rasmi wa mtandao wa Twitter, Msemaji Mkuu wa Serikali umetoa taarifa ifuatayo kuhusu upotoshaji unaoendelea kuhusiana na Tozo mbali mbali
"TAARIFA
Kuna upotoshaji mkubwa kuhusu tozo za miamala ya kielektroniki iliyoanza katika mwaka huu wa fedha (2022/23). Serikali imepunguza kwa kiasi kikubwa tozo hizo. Wizara ya Fedha itatoa ufafanuzi kuhusu tozo hizi na namna zilivyoleta nafuu kwa wananchi. NAOMBA TUTULIE."
View attachment 2330434
Hili nalo litapita kama la watumishi..Msemaji mkuu wa serikali ametoa tamko kupitia kwenye ukurasa wa Twitter akisema, namnukuu; "Kuna upotoshaji mkubwa kuhusu tozo za miamala ya kielektroniki iliyoanza katika mwaka huu wa fedha (2022/23). Serikali imepunguza kwa kiasi kikubwa tozo hizo. Wizara ya Fedha itatoa ufafanuzi kuhusu tozo hizi na namna zilivyoleta nafuu kwa wananchi. NAOMBA TUTULIE."View attachment 2330442
Hivi kuna mtu atawaamini kweli kwenye huo ufafanuzi wao! Maana jamii imeshawapuuza kitambo! Na badala yake inatafuta tu nafasi ya kulipa kisasi cha maumivu ya hizo tozo zao kandamizi.
Wao na watulie tu. Tuko kwenye kupasha moto misuli:Hivi kuna mtu atawaamini kweli kwenye huo ufafanuzi wao! Maana jamii imeshawapuuza kitambo! Na badala yake inatafuta tu nafasi ya kulipa kisasi cha maumivu ya hizo tozo zao kandamizi.
Ufafanuzi si tulikubaliana na waziri wa fedha tuhamie burundi.Kupitia ukurasa Rasmi wa mtandao wa Twitter, Msemaji Mkuu wa Serikali umetoa taarifa ifuatayo kuhusu upotoshaji unaoendelea kuhusiana na Tozo mbali mbali
"TAARIFA
Kuna upotoshaji mkubwa kuhusu tozo za miamala ya kielektroniki iliyoanza katika mwaka huu wa fedha (2022/23). Serikali imepunguza kwa kiasi kikubwa tozo hizo. Wizara ya Fedha itatoa ufafanuzi kuhusu tozo hizi na namna zilivyoleta nafuu kwa wananchi. NAOMBA TUTULIE."
View attachment 2330434
Msigwa wa Sasa siyo Yule ya JPM. Amekuwa muongo muongo sanaKupitia ukurasa Rasmi wa mtandao wa Twitter, Msemaji Mkuu wa Serikali umetoa taarifa ifuatayo kuhusu upotoshaji unaoendelea kuhusiana na Tozo mbali mbali