Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Yote mazuri na ya kweli ila hapo katika "mkataba wa bandari" si hoja ya walio wengi.....Ni muelekeo mzuri sana kwa Serikali kutambua na kuthamini michango ya JamiiForums.
Kulingana na kauli ya Msemaji Mkuu wa Serikali, kuwa Serikali inapanga kuchukua hatua za kupongezwa na muhimu, kama vile kufuata ushauri wa wana JF, kukabiliana na changamoto zinazoikabili Taifa and so on, nashauri wazingatie Akili bandia,Habari potofu na Habari zisizo za kweli.
Nasisitiza, Serikali iendelee kuheshimu na kulinda utamaduni na mila za Watanzania.
Hatahivyo,Watanzania wanasema hatujardhika na Mkataba mbovu wa Bandari.
Una takwimu ya wapingao mkataba wa bandari??!! [emoji1787]