Kwanini tusiwarudishe na wakoloni ili kuwapunguzia mzigo?Katibu Mkuu na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amewahakikishia Watanzania kuwa mkataba wa uboreshaji wa reli ya TAZARA kati ya Tanzania, Zambia na China utaleta manufaa makubwa ya kiuchumi na kijamii kwa Tanzania.
Akitoa ufafanuzi kufuatia taarifa potofu zinazosambazwa mitandaoni, Bw. Msigwa amesema reli ya TAZARA, iliyojengwa kati ya mwaka 1970 na 1975 kwa mkopo usio na riba kutoka China na kukabidhiwa kwa Tanzania na Zambia mwaka 1976, imekuwa ikikabiliwa na changamoto kubwa za uendeshaji. Changamoto hizo zilisababisha reli hiyo kukosa tija, kushindwa kujiendesha kibiashara na kulazimu Serikali kuendelea kutumia fedha zake kuiendesha.
Aidha akitolea ufafanuzi taarifa hiyo amesema kuwa ni kweli wachina wataiendesha TAZARA kwa miaka 30 ili kupunguza mzigo wa kiuendeshaji kwa serikali na kupata faida zaidi.
Pia Soma: Kampuni ya China CCECC kukabidhiwa kuendesha Reli ya TAZARA kwa miaka 30
Halafu wapuuzi wa hivyo utasikia wakisema wapinzani wanataka nchi ili waigawe kwa wageni!Katibu Mkuu na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amewahakikishia Watanzania kuwa mkataba wa uboreshaji wa reli ya TAZARA kati ya Tanzania, Zambia na China utaleta manufaa makubwa ya kiuchumi na kijamii kwa Tanzania.
Akitoa ufafanuzi kufuatia taarifa potofu zinazosambazwa mitandaoni, Bw. Msigwa amesema reli ya TAZARA, iliyojengwa kati ya mwaka 1970 na 1975 kwa mkopo usio na riba kutoka China na kukabidhiwa kwa Tanzania na Zambia mwaka 1976, imekuwa ikikabiliwa na changamoto kubwa za uendeshaji. Changamoto hizo zilisababisha reli hiyo kukosa tija, kushindwa kujiendesha kibiashara na kulazimu Serikali kuendelea kutumia fedha zake kuiendesha.
Aidha akitolea ufafanuzi taarifa hiyo amesema kuwa ni kweli wachina wataiendesha TAZARA kwa miaka 30 ili kupunguza mzigo wa kiuendeshaji kwa serikali na kupata faida zaidi.
Pia Soma: Kampuni ya China CCECC kukabidhiwa kuendesha Reli ya TAZARA kwa miaka 30
Katibu Mkuu na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amewahakikishia Watanzania kuwa mkataba wa uboreshaji wa reli ya TAZARA kati ya Tanzania, Zambia na China utaleta manufaa makubwa ya kiuchumi na kijamii kwa Tanzania.
Akitoa ufafanuzi kufuatia taarifa potofu zinazosambazwa mitandaoni, Bw. Msigwa amesema reli ya TAZARA, iliyojengwa kati ya mwaka 1970 na 1975 kwa mkopo usio na riba kutoka China na kukabidhiwa kwa Tanzania na Zambia mwaka 1976, imekuwa ikikabiliwa na changamoto kubwa za uendeshaji. Changamoto hizo zilisababisha reli hiyo kukosa tija, kushindwa kujiendesha kibiashara na kulazimu Serikali kuendelea kutumia fedha zake kuiendesha.
Aidha akitolea ufafanuzi taarifa hiyo amesema kuwa ni kweli wachina wataiendesha TAZARA kwa miaka 30 ili kupunguza mzigo wa kiuendeshaji kwa serikali na kupata faida zaidi.
Pia Soma: Kampuni ya China CCECC kukabidhiwa kuendesha Reli ya TAZARA kwa miaka 30
Na vile wanajua 2030 ni ngumu wao kurudi madarakani, wanaona bora waigawe nchi kwa wachina ama wa Russia, ila wakipora uchaguzi wapate backup.Kila kitu hawa WAHUNI wanauza.Ikifika 2030 watakuwa wameimaliza kabisa nchi yetu kuiuza.
Halafu wapuuzi wa hivyo utasikia wakisema wapinzani wanataka nchi ili waigawe kwa wageni!
Ertugrul Bey HAYA LAND HOV Tlaatlaah Robert Heriel Mtibeli
Je mzigo wa sirikali ndiyo utekaji,ufisadi na wizi wa rasilimali au yapo majukumu mengine mazito na yanayofanywa kwa uzito kwa manufaa ya mtanzania?Katibu Mkuu na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amewahakikishia Watanzania kuwa mkataba wa uboreshaji wa reli ya TAZARA kati ya Tanzania, Zambia na China utaleta manufaa makubwa ya kiuchumi na kijamii kwa Tanzania.
Akitoa ufafanuzi kufuatia taarifa potofu zinazosambazwa mitandaoni, Bw. Msigwa amesema reli ya TAZARA, iliyojengwa kati ya mwaka 1970 na 1975 kwa mkopo usio na riba kutoka China na kukabidhiwa kwa Tanzania na Zambia mwaka 1976, imekuwa ikikabiliwa na changamoto kubwa za uendeshaji. Changamoto hizo zilisababisha reli hiyo kukosa tija, kushindwa kujiendesha kibiashara na kulazimu Serikali kuendelea kutumia fedha zake kuiendesha.
Aidha akitolea ufafanuzi taarifa hiyo amesema kuwa ni kweli wachina wataiendesha TAZARA kwa miaka 30 ili kupunguza mzigo wa kiuendeshaji kwa serikali na kupata faida zaidi.
Pia Soma: Kampuni ya China CCECC kukabidhiwa kuendesha Reli ya TAZARA kwa miaka 30
Mkataba gani ulishawahi kufanya mzuri na sisi kenge hadi leo wawe malaika wakufurahishe wewe hapo matopeni? Ishatoka hiyo wanakula Maisha hadi ya wanao! 30yrs yani wamejihakikishia ulaji wanakufa watoto wao Wanaendelea kukingaHili sio jambo baya kama mkataba upo vizuri na kutakuwa na usimamizi mzuri kujua kila kinachoendelea. China wanawekeza pesa ndefu 1.4bn USD. TAZARA itakuwa kwenye viwango vya kimataifa.
Muhimu kuangalia ajira zinaenda kwa wazawa sio China kujaza watu wao.
Kam mkataba gani vile tulinganishe nao?Ni sawa mradi huo mkataba usiwe wa manufaa kwa upande mmoja na vile vile kipengele cha kusitisha mkataba iwapo mmoja ataenda kinyume na yaliomo.
Mkataba gani ulishawahi kufanya mzuri na sisi kenge hadi leo wawe malaika wakufurahishe wewe hapo matopeni? Ishatoka hiyo wanakula Maisha hadi ya wanao! 30yrs yani wamejihakikishia ulaji wanakufa watoto wao Wanaendelea kukinga
Nawaambia ule upuuzi wenu mnaowambia wananchi kuwa wapinzani wanatumika na wazungu ili wagawe raslimali za nchi. Sasa unafiki wenu huo hapo hadharani.Mkuu toa mawazo na sio kuamini wenzako wanakosea
Nyerere aliwahi kumwambia Mkapa, wameamua kuibinafsisha miradi, watabinafsisha mpaka magereza.Kila kitu hawa WAHUNI wanauza.Ikifika 2030 watakuwa wameimaliza kabisa nchi yetu kuiuza.