Msemaji Serikali ya Israel: Mwili wa Mtanzania Joshua unashikiliwa na Hamas

Msemaji Serikali ya Israel: Mwili wa Mtanzania Joshua unashikiliwa na Hamas

View attachment 2848571View attachment 2848572
Tuambie, hawa hapa wawili huyo wa kwanza ndiye Joshua aliyeuawa kwenye ile clip, na huyo kwenye mavazi ya askari wanafanana? tumewawekea chuo morogoro msome pengine mtakuwa na akili lakini bado tu. hauoni aibu kwamba unataka kuuambia umma kwamba hizo picha hapa ni za mtu mmoja? magaidi kumbe hamnaga akili?
We ni mpumbavu, ina maana huoni hizo sura zinataka kufanana? masuala ya ugaidi yameingiaje?
 
HIYO PICHA KWANINI INAJADILIWA. MBONA HUYU MTU HAFANANI NA JOSHUA?
 
Soma tena mkuu hilo bandiko hapo juu naona hujaelewa vzuri

Nimeelewa na nimesoma Kwa umakini Mkuu. Hii yote imekuja baada ya Ile video ya mauaji ya huyu kijana kuchafua hali ya hewa..

Hapa ni kujaribu kutuliza ghadhabu na hasira za watu na ikiwezekana, kutowahusisha Hamas na huyu kijana. Ndio maana nimeenda mbali na kurejea tamko la msemaji wa Hamas.
 
Nashukuru mungu mwakani natimiza miaka 5 ya kuwa raia wa kudumu ndani ya taifa hili la fursa.
Naukana uraia wangu kwa maslahi mapana ya watoto wangu na familia yangu ya baadae.
Serekali ya hii nchi ipo serious juu ya raia wake, na hili limenivutia kubadili uraia.
Motherland tutaiheshimu daima na tutarudi baadae kuipigania.
Poleni waTanzania wote na familia ya wafiwa.
Kwanini unakwepa kujibu maswali yangu?
 
Nimeamini Tanzania kuna magaidi mengi sana, na mengi pia yapo humu jf. imagine watu wanaweka sura ya mtu mwingine kabisa na kusema ni sura ya Joshua Molel na Clement Mtenga waliouawa Israel, ili tu awasafishe Hamas waonekane walifanya sahihi kuwauwa. cha muhimu mmekubali hamas waliwauwa na sio israel, kilichobaki hangaikeni kutafuta picha ili kuwasafisha kwenye mitandao, ila kule israel wanakamatwa, wanaogeshwa na kupakwa mafuta, na kuvalishwa nguo mpya.
Mkuu punguza mihemko. Jibu swali langu la msingi sana kama joshua aliuliwa na hamas tarehe 7.10.2023 miongoni mwa wale 1400 kwanini Hamas waamue kuuchukua mwili wa Joshua tu mateka kwenda nao Gaza? Je mwili bado upoq salama haujaoza?
 
Maelezo ya msemaji yanaeleweka mbona yule wa mwanzo mwili wake ulipatikana na ukaletwa sasa serikali au Israel wazuie mwili wa mtu ili iweje, hawana access ya huo mwili sababu upo na hamas ndo maana mzazi wake anaenda huko sasa tunashindwa kuelewa nini hapo maana kila mtu anatengeneza maswali yake
Mwili wa clement ulipatikana ndani ya mipaka ya israeli kwenye eneo la tukio I guess. Huyu joshua tunaambiwa mwili unashikiliwa na hamas huko Gaza na aliuwawa tarehe 7.10.2023 ndani ya israeli . Sijui kama unanielewa ninachouliza.
 
Maswali ya kujiuliza, huyu kijana alitekwa wapi?
Kama hakutekwa Gaza, inakuwaje Hamas wabebe mwili wake hadi Gaza na kuuweka huko?
Au labda msemaji wa serikali ya Israel itakuwa alisema tu na hawana uhakika mwili ulipo., Kama Gaza yenyewe imelipuliwa yote na majengo yameshuka huo mwili umetunzwa wapi?
 
Hizi dini zingine zina villaza wa kufa mtu.
Huna taarifa kuwa kuna wayahudi weusi?
Ndiyo kama wewe ni myahudi mweusi yoyote anayewatetea hawa wanaojiitwa zionist.wewe dini imekifanya kuwa kikaza kwa kutokuona ugaidi wao.lakini mimi dini haijan ifanya kuwa kilaza japo mimi ni mkristo.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Hii nchi ina matahira mengi sana hivi hizo picha mbili kweli zina fanana? Kusoma hamjui hata picha hamuoni??
Mkuu mimi sipo kwenye picha. Taarifa ya habari azam saa 2 leo msemaji wa serikali ya israeli amesema mwili wa Joshua unashikiliwa mateka na hamas huko Gaza . Ikumbukwe kuwa joshua ameuwawa tarehe 7.10.2023 kwenye tukio huko israeli ambapo walikua watu 1400 saa nauliza. Ilikuaje hamas wachukue mwili wa Joshua mateka kwenda nao Gaza waache miili 1399? Joshua alikua ana umuhimu gani kwa hamas? Kwanini hamas hawakumtaja Joshua miongoni mwa mateka waliofariki huko gaza?
 
Back
Top Bottom