Msemaji Serikali ya Israel: Mwili wa Mtanzania Joshua unashikiliwa na Hamas

Msemaji Serikali ya Israel: Mwili wa Mtanzania Joshua unashikiliwa na Hamas

Unapoongelea mwili wa marehem inamaana mtu amefariki, mauti imehusika Hilo ni jambo la kwanza.

Sasa nimeuliza, nani aliitoa taarifa za kifo cha huyu jamaa?

Na taarifa ilitolewa lini?

Sasa hapo nimekwepa swali gani?
Taarifa ya kifo imetolewa na serikali ya israeli. Na clip ikasambazwa mitandaoni japo msemaji wa serikali ya israeli anasema walioisambaza ni Hamas hatuwezi kukataa maana mpaka sasa Hamas hawajaongea lolote kuhusu joshua. Mpaka sasa tunapokea maelezo ya upande mmoja tu. Maswali yangu hapo juu bado sijajibiwa mkuu.
 
Mkuu punguza mihemko. Jibu swali langu la msingi sana kama joshua aliuliwa na hamas tarehe 7.10.2023 miongoni mwa wale 1400 kwanini Hamas waamue kuuchukua mwili wa Joshua tu mateka kwenda nao Gaza? Je mwili bado upoq salama haujaoza?
Hili swali lako gumu sana hakuna wakulijibu wanajifanya km hawalioni yaani hamas waache miili ya wa israel wakachukue mwili wa mchaga ambae kwao hamas hana faida yoyote maana israel raia wake ndio wanauchungu nae hata km maiti
 
Msemaji wa Hamas aliweka wazi mauaji ya raia wa nchi zingine waliowateka ni Salam kwao kwamba kumpeleka raia wao Israel ni hatari. Na wao wapo vitani na Kila mshirika wa Israel.

Sasa kama walimteka na amafariki wakiwa nae, unataka Israel waseme Wana mwili wake?

Kumbuka kama alikua ameenda Israel Kwa kufuata taratibu zote, serikali yetu itataka kujua Nini kimejiri na mwili wake uko wapi. Lazima Israel watolee ufafanuzi.

Wewe unachopinga ni kipi, kwamba hajatekwa na Hamas, hajauwawa na Hamas au mwili wake haupo mikononi mwa Hamas?
Mwili haupo mikononi mwa Hamas.
Maana hajafa mikononi mwa Hamas alikufa kwa shambulio la ndege.
 
Aisee ndiye huyu dogo kumbe alikuwa askari, sasa Hamas hawana makosa, ile video niliona hata boxer alivaa ilikuwa ya kijeshi.
Tumia ubongo wako vizur wewe!! Huoni hiyo picha kama imetengenezwa?
 
Hili swali lako gumu sana hakuna wakulijibu wanajifanya km hawalioni yaani hamas waache miili ya wa israel wakachukue mwili wa mchaga ambae kwao hamas hana faida yoyote maana israel raia wake ndio wanauchungu nae hata km maiti
Asante mkuu . Watanzania tujifunze kufikiri na kuhoji tusiwe kama kokoro la kubeba kila takataka tunayoambiwa. Serikali ya Israel inawajibu wa kutoa maelezo ya kina juu ya kifo cha mtanzania mwenzetu.
 
Mwili haupo mikononi mwa Hamas.
Maana hajafa mikononi mwa Hamas alikufa kwa shambulio la ndege.

Nasubiria majibu ya maswali yangu Kwa mleta Uzi tafadhali. Hata hivyo, nashukuru Kwa taarifa
 
Taarifa ya kifo imetolewa na serikali ya israeli. Na clip ikasambazwa mitandaoni japo msemaji wa serikali ya israeli anasema walioisambaza ni Hamas hatuwezi kukataa maana mpaka sasa Hamas hawajaongea lolote kuhusu joshua. Mpaka sasa tunapokea maelezo ya upande mmoja tu. Maswali yangu hapo juu bado sijajibiwa mkuu.
Mbona yule binti wa kijerumani walimuua, wakaondoka na mwili wake?
 
Wameenda kusoma kilimo?View attachment 2848558

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Anaweza kusomea kilimo na akapiga deiwaka ya jeshi vilevile.
Mbona kuna Charlie mwingine alienda kusoma US ila yuko jeshini,anauza sura sana Insta.
Kuna yule mwingine aliyekua anahimiza green card,
Anajiita kanali mstaafu US Navy huku hajawai hata kuvaa gwanda.
Ukimpa bunduki alenge shabaha anza kukimbia
 
Dini imewafanya kuwa wajinga mnatetea hili taifa ambalo linaua watoto na kina Mama na mnasema hilo ni taifa la Mungu.Mungu hawezi kuwa katili kiasi hiki.alafu hiyo sio Photoshop.Mimi ni kristo lakini sipo brainwashed kama wewe.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Sitetei hilo taifa mm..hao waarabu na wayahudi ni vichomi wote. picha hiyo ni photoshop ndugu acha kukaza fuvu.
 
Israel wanaitumia kijasusi. Japo kweli ksuwawa na hamas ila nyuma yake kuna siri kubwa.
bado hamkomi kufagilia uwezo wa kijasusi wa taifa hilo ??... Kama wanakiri hawajui mwili ulipo na wala hawawezi kuukomboa ifike mahala mkubali kwamba uwezo wao kijeshi na kijasusi una mipaka
 
Hata huo mwili ungekuwa huku Tanzania kwa mgao huu wa umeme pia ungeshaharibika, huko umeme hawana je mortuary zina hali gani?

Hivi jeshi letu liliruhusu je mzazi kwenda kumfuata mwanae huku wao wapo tu, maana ya viongozi tumeshindwa acha tulie na jeshi.

Mheshimiwa ametoa tamko gani kuhusu vijana hao waliokufa?
 
Back
Top Bottom