Msemaji Serikali ya Israel: Mwili wa Mtanzania Joshua unashikiliwa na Hamas

Msemaji Serikali ya Israel: Mwili wa Mtanzania Joshua unashikiliwa na Hamas

Mazayuni ni waongo, habari zinazovuja kutokea kwao wenyewe ni kuwa waliua watu wao wenyewe kwa kutumia helikopta na vifaru.

Mazayuni wao huwa hawaheleweshi kuzika maiti zao za kizayuni. Ukiwa mgeni unafukiwa tu bila heshima yoyote, hususan ukiwa mkristo ndiyo hupewi heshima yoypote wanakuona kafiri tu.

Bora hata maiti za Waislam wanawapa Waislam waliopo huko wazike au wawatayarishe kuzikwa Kiislam chini ya uangalizi wao.

Mazayuni usiwaamini hata wakikwambia nje mchana na ni jua kali basi toka nje uhakikishe.
Jamaa ni waongo sana .naamini kabisa huyo mtanzania mwenzetu ametumiwa vibaya na jeshi la Israeli kueneza propaganda za kuwachafua Hamas.
 
Yoni ni edit hiyo na aliyeedit hata hawez kuedit vzr,minguo kikubwa kola ipo upande, kifua kinaonekana si chake,
 
Nimeelewa na nimesoma Kwa umakini Mkuu. Hii yote imekuja baada ya Ile video ya mauaji ya huyu kijana kuchafua hali ya hewa..

Hapa ni kujaribu kutuliza ghadhabu na hasira za watu na ikiwezekana, kutowahusisha Hamas na huyu kijana. Ndio maana nimeenda mbali na kurejea tamko la msemaji wa Hamas.
Tamko la msemaji wa hamas limesemaje hilo ulilolirejea???
Kama ni lile liloletwa humu na mpiga propaganda wa kiyahudi na kizayuni kuhusu kuua watu weusi sijui nini basi umelishwa propaganda mfu na wewe ukazimeza
Ama ulete hilo tamko msemaji alisemaje tu mskilize nasie wengine
 
Ndugu umeshajibiwa lakini hutaki kukubali ukweli.
Najaribu kukuweka sawa.

1. Sio watu wote 1400 waliuwawa siku moja. Mauaji yalikuwa ya mwendelezo kufikia hiyo idadi.

2. Sio mwili wa mtanzania pekee ndio inadaiwa kuwa mikononi mwa Hamas, mamia kadhaa ya miili inadaiwa kuwa mikononi mwa Hamas.

3. Watanzania wote wawili hawakuwa miongoni mwa watu waliotangazwa kuuawawa siku ya uvamizi, bali walitangazwa kuwa ni mateka waliokuwa mikononi mwa Hamas, ni baadaye sana ndio imekuja kufahamika kuwa, Hamas waliamua kuwaua hao mateka.

4. Israeli imetoa taarifa tu kuonyesha hao watanzania waliuwawa mikononi mwa Hamas na mpaka sasa mwili wa mtanzania mmoja bado haujaweza kupatikana, hivyo Hamas ndio wanawajibika kusema uko wapi.
Hizi ni taarifa mpya kutoka kwako. Na since day one hakukua na taarifa za maiti zilizochukuliwa mateka siyo kutoka kwa IDF wala Hamas. Taarifa zilizotolewa ni idadi ya watu waliokufa..
 
Bibi hujawahi kuwa na akili nani. Analia lia asamegewe?
Nan kamchokoza mwenzake?
 
Mbona yule binti wa kijerumani walimuua, wakaondoka na mwili wake?
Yule binti alioneshwa siku ya kwanza ya tukio kati ya watu waliochukuliwa kwenye jeep ya jeshi la israeli na waliondoka nae akiwa hai alifariki akiwa mateka . Umeona video ya joshua?
 
Hata huo mwili ungekuwa huku Tanzania kwa mgao huu wa umeme pia ungeshaharibika, huko umeme hawana je mortuary zina hali gani?

Hivi jeshi letu liliruhusu je mzazi kwenda kumfuata mwanae huku wao wapo tu, maana ya viongozi tumeshindwa acha tulie na jeshi.

Mheshimiwa ametoa tamko gani kuhusu vijana hao waliokufa?
Serikali yetu haiwezi kuihoji israeli wanaiogopa.
 
View attachment 2848571View attachment 2848572
Tuambie, hawa hapa wawili huyo wa kwanza ndiye Joshua aliyeuawa kwenye ile clip, na huyo kwenye mavazi ya askari wanafanana? tumewawekea chuo morogoro msome pengine mtakuwa na akili lakini bado tu. hauoni aibu kwamba unataka kuuambia umma kwamba hizo picha hapa ni za mtu mmoja? magaidi kumbe hamnaga akili?
Mbona picha ni za watu wawili tofauti.... Nikiwaambia JF inazidi kuwa na members vilaza mnaanza kulalamika.
Those are two different people.
 
Anaweza kusomea kilimo na akapiga deiwaka ya jeshi vilevile.
Mbona kuna Charlie mwingine alienda kusoma US ila yuko jeshini,anauza sura sana Insta.
Kuna yule mwingine aliyekua anahimiza green card,
Anajiita kanali mstaafu US Navy huku hajawai hata kuvaa gwanda.
Ukimpa bunduki alenge shabaha anza kukimbia
Aaah kama anaweza kupiga na deiwaka ya jeshi basi deiwaka yake itakua aliipiga siku mbaya deiwakani
 
Jifunze kufikiri kama mtu mwenye akili timamu hapa JF badala ya kuandika andika vitu bila kufikiri.

Sasa, uwezo wa Israel kipelelezi unawezaje kuupima na kuukosoa kwa tukio hilo katika mazingira hayo?
Basi israhell wao ndio best kwenye ujasusi
Hapa je???
 
Haya mambo yanafikirisha, mkiona mpaka mzazi wa marehemu kaamua kwenda kupambania mwenyewe kuhusiana na kifo cha mwanaye huku serikali iliyoapa kulinda raia wake ikikaa kimya kama vile hamna kilichotokea au ni kuku kapoteza maisha basi mjue kuna shida kubwa sana kwenye utawala wa hii nchi
Screenshot_20231110-005706.jpg

KULA CHUMA HICHO EWE KAFIRI
 
Kumbuka vita sio harus mpaka ualikwe itakapo kukutia kama una mbio kimbia sana kama unapakujifisha jfche uko uko na usjejtokeza kamwe. Jamaa kuvaa gwanda uez jua n stuation gan ilwakuta mpakq wakaenda front na kuvaa gwanda refer mtanzania wa urus vita ilmkutq yuko jela wakataarfiwa watakao enda vtan wakirud wako huru kurud uraian kwann jamaa astumie fursa kumbe yeye ndio fursa yenyew.. kwaio tumwombeen tu kijana mwenzetu mwendo kaumalza kwa stail yake Na hao hamas Walaaniwe
Screenshot_20231110-005706.jpg

MLAANIWE KWANZA MAKAFIR WOTE NA USHOGA WENU
 
Sasa kama ni kweli jamaa aliungana na jeshi na kuwa ndio sababu ya kuuwawa.

Vipi kwa wale waliokuwa wanapinga kuwa wale wauwaji sio Hamas?

Japo kwa utandawazi wetu tuliofikia saizi wa teknolojia mimi naamini picha ni rahisi sana kuichezea kuliko video.

Hii picha aliyovaa gwanda za jeshi kuna asilimia kubwa ikawa imeeditiwa lakini ile video ni ukweli.

Sasa swali linalobakia ni kwamba kwakua mchizi alijiunga na jeshi kisha baadaye alikamatwa akiwa na Hamas badi ni wazi alikuwa na magwanda

Kwa mujibu wa ile video jamaa alivaa kiraia tena simple tu, sasa sijui kama Hamas ndio walimvua gwanda na kumtafutia nguo zingine kisha wamuue hapo ndio sijajua
Dogo alikuw na bokxa ya jeshi either not
 
Back
Top Bottom