Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Ndugu umeshajibiwa lakini hutaki kukubali ukweli.Sawa walienda kwa magari na wakauwa watu 1400 .swali ni kwanini wa uchukue mwili wa Joshua tu kuuteka kwenda nao Gaza? Kwanini hawakuchukua na miili ya wale wengine waliowaua?
Najaribu kukuweka sawa.
1. Sio watu wote 1400 waliuwawa siku moja. Mauaji yalikuwa ya mwendelezo kufikia hiyo idadi.
2. Sio mwili wa mtanzania pekee ndio inadaiwa kuwa mikononi mwa Hamas, mamia kadhaa ya miili inadaiwa kuwa mikononi mwa Hamas.
3. Watanzania wote wawili hawakuwa miongoni mwa watu waliotangazwa kuuawawa siku ya uvamizi, bali walitangazwa kuwa ni mateka waliokuwa mikononi mwa Hamas, ni baadaye sana ndio imekuja kufahamika kuwa, Hamas waliamua kuwaua hao mateka.
4. Israeli imetoa taarifa tu kuonyesha hao watanzania waliuwawa mikononi mwa Hamas na mpaka sasa mwili wa mtanzania mmoja bado haujaweza kupatikana, hivyo Hamas ndio wanawajibika kusema uko wapi.