Msemaji Serikali ya Israel: Mwili wa Mtanzania Joshua unashikiliwa na Hamas

Msemaji Serikali ya Israel: Mwili wa Mtanzania Joshua unashikiliwa na Hamas

hamas walienda pale na magari na pikipiki, hawakwenda kwa mguu. maiti zilizoshikiliwa sio za mtanzania tu hata za israel zipo kadhaa, na wanafanya hivyo ili kuwatesa kisaikolojia wayahudi.
Katika taarifa ya Israeli na hamas hakuna taarifa ya maiti zilizotekwa mkuu. Kama ipo iweke hapa.
 
Tuanzie hapa kwanza, kwenye orodha ya waliotekwa na Hamas, majina ya watanzania wawili yalikuaepo au hayakuaepo? Zingatia walioshikiliwa mateka sio walikua hawajulikani walipo.

Pili, taarifa ya kifo chake ilitolewa lini na nani aliitoa?
Haya maswali unatakiwa kuuliza serikali ya israeli mkuu siyo mimi. Mimi na wewe tunapokea taarifa kutoka israeli.
 
Nimeelewa na nimesoma Kwa umakini Mkuu. Hii yote imekuja baada ya Ile video ya mauaji ya huyu kijana kuchafua hali ya hewa..

Hapa ni kujaribu kutuliza ghadhabu na hasira za watu na ikiwezekana, kutowahusisha Hamas na huyu kijana. Ndio maana nimeenda mbali na kurejea tamko la msemaji wa Hamas.
Mnakwepa sana kujibu maswali yangu hapo juu mkuu?
 
We kiazi tumia hata madarasa ya Google kuboresha rutuba ya ubongo wako. Huoni hiyo ni photoshopped photo? Ama kweli ujinga ni kansa kamili.
Dini imewafanya kuwa wajinga mnatetea hili taifa ambalo linaua watoto na kina Mama na mnasema hilo ni taifa la Mungu.Mungu hawezi kuwa katili kiasi hiki.alafu hiyo sio Photoshop.Mimi ni kristo lakini sipo brainwashed kama wewe.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Haya maswali unatakiwa kuuliza serikali ya israeli mkuu siyo mimi. Mimi na wewe tunapokea taarifa kutoka israeli.

Basi msingi wa maswali yako ni mbovu , inaondoa mtiririko na mantiki ya maswali yako hapo juu.
 
Utawala wa nchi si upo pamoja na palestina na wapalestina si pamoja na Hamas sisi wananchi tusemeje sasa.

Japo hiyo video ya Jo inafikirisha lakini waislamu baadhi kufurahia kifo cha Joshua Mollel inafikirisha zaidi

Ni watu wanamna gani hawa waislamu kati lbgtq na waislamu ni kundi gani hatari zaidi kwa binadamu wengine

Maana kama Jo angetekwa na mashoga yawezekana angekuwa hai mpaka wakati huu
Lakini katekwa na watu wa allah akbar wakammiminia risasi hadharani na sasa wanakuja na propaganda kuwa yule mkulima alikuwa mwanajeshi wa Israel.
Waislamu Wa Tz Hawajafuhishwa Na Mauaji Ya Joshua Ila Wanaamin Kuwa Hzo Ni Propaganda Za Wayahudi Za Kuwavuta Waafrika Upande Wao Kwa Nn Hamas Wahifadh Huo Mwili Mpaka Sasa Waache Kuhifadhi Miili Ya Wayahud Maadui Zao,Fikiria.Unaingiza Masuala Ya Ushoga Kwenye Mgogoro Wa Palestina Unatetea Hao Elgbt Sishangai Hata Papa Aliwatetea
 
Maswali ya kujiuliza, huyu kijana alitekwa wapi?
Kama hakutekwa Gaza, inakuwaje Hamas wabebe mwili wake hadi Gaza na kuuweka huko?
Au labda msemaji wa serikali ya Israel itakuwa alisema tu na hawana uhakika mwili ulipo., Kama Gaza yenyewe imelipuliwa yote na majengo yameshuka huo mwili umetunzwa wapi?
Exactly there you are. Haya ndio maswali ninayouliza kwa lugha rahisi sana
 
Haya mambo yanafikirisha, mkiona mpaka mzazi wa marehemu kaamua kwenda kupambania mwenyewe kuhusiana na kifo cha mwanaye huku serikali iliyoapa kulinda raia wake ikikaa kimya kama vile hamna kilichotokea au ni kuku kapoteza maisha basi mjue kuna shida kubwa sana kwenye utawala wa hii nchi
Hv hz nafasi za kwenda kusoma israel huwa mnaletewa kwenye makanisa
 
Back
Top Bottom