Msemaji Serikali ya Israel: Mwili wa Mtanzania Joshua unashikiliwa na Hamas

We ni mpumbavu, ina maana huoni hizo sura zinataka kufanana? masuala ya ugaidi yameingiaje?
 
HIYO PICHA KWANINI INAJADILIWA. MBONA HUYU MTU HAFANANI NA JOSHUA?
 
Soma tena mkuu hilo bandiko hapo juu naona hujaelewa vzuri

Nimeelewa na nimesoma Kwa umakini Mkuu. Hii yote imekuja baada ya Ile video ya mauaji ya huyu kijana kuchafua hali ya hewa..

Hapa ni kujaribu kutuliza ghadhabu na hasira za watu na ikiwezekana, kutowahusisha Hamas na huyu kijana. Ndio maana nimeenda mbali na kurejea tamko la msemaji wa Hamas.
 
Kwanini unakwepa kujibu maswali yangu?
 
Mkuu punguza mihemko. Jibu swali langu la msingi sana kama joshua aliuliwa na hamas tarehe 7.10.2023 miongoni mwa wale 1400 kwanini Hamas waamue kuuchukua mwili wa Joshua tu mateka kwenda nao Gaza? Je mwili bado upoq salama haujaoza?
 
Mwili wa clement ulipatikana ndani ya mipaka ya israeli kwenye eneo la tukio I guess. Huyu joshua tunaambiwa mwili unashikiliwa na hamas huko Gaza na aliuwawa tarehe 7.10.2023 ndani ya israeli . Sijui kama unanielewa ninachouliza.
 
Maswali ya kujiuliza, huyu kijana alitekwa wapi?
Kama hakutekwa Gaza, inakuwaje Hamas wabebe mwili wake hadi Gaza na kuuweka huko?
Au labda msemaji wa serikali ya Israel itakuwa alisema tu na hawana uhakika mwili ulipo., Kama Gaza yenyewe imelipuliwa yote na majengo yameshuka huo mwili umetunzwa wapi?
 
Hizi dini zingine zina villaza wa kufa mtu.
Huna taarifa kuwa kuna wayahudi weusi?
Ndiyo kama wewe ni myahudi mweusi yoyote anayewatetea hawa wanaojiitwa zionist.wewe dini imekifanya kuwa kikaza kwa kutokuona ugaidi wao.lakini mimi dini haijan ifanya kuwa kilaza japo mimi ni mkristo.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Hii nchi ina matahira mengi sana hivi hizo picha mbili kweli zina fanana? Kusoma hamjui hata picha hamuoni??
Mkuu mimi sipo kwenye picha. Taarifa ya habari azam saa 2 leo msemaji wa serikali ya israeli amesema mwili wa Joshua unashikiliwa mateka na hamas huko Gaza . Ikumbukwe kuwa joshua ameuwawa tarehe 7.10.2023 kwenye tukio huko israeli ambapo walikua watu 1400 saa nauliza. Ilikuaje hamas wachukue mwili wa Joshua mateka kwenda nao Gaza waache miili 1399? Joshua alikua ana umuhimu gani kwa hamas? Kwanini hamas hawakumtaja Joshua miongoni mwa mateka waliofariki huko gaza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…