Msemaji Serikali ya Israel: Mwili wa Mtanzania Joshua unashikiliwa na Hamas

Mtu akishauliwa anakua na faida gani particularly kama hakuwa na ukubwa wwte kijeshi au kisiasa....waushikilie huo mwili kwa lipi hasa....kuufanyia uchunguzi au kwa dhumuni gani hasa....shida ya Hawa taifa teule kama wanavyilojiita wanadhani bdo Dunia ipo miaka ya 70 huko...wanaweza wakasema lolote na watu wakapokea bila kutafakari....wanajitahidi kupiga Kila aina ya propaganda....wao ndo imeoneshwa pasi na shaka ushahidi wa kuua watu wasio na hatia....wameua mpk raia wao...waandishi wa habari...raia wa ufaransa....Kila aina ya ushenzi wameufanya....sasahv wanakuja kusema mtanzania mwenzetu ameuawa na mwili umeshikiliwa....wacha muda uende ukweli utajulikana tu....once a lier always a lier
 
Yule binti alioneshwa siku ya kwanza ya tukio kati ya watu waliochukuliwa kwenye jeep ya jeshi la israeli na waliondoka nae akiwa hai alifariki akiwa mateka . Umeona video ya joshua?
Akili kisoda hizi. Kwahiyo what is your point terrorist defender? Stupid.
 
Israel si mahali salama kwa watu wasio Waisrael huo ndio ujumbe wa Hamas kwa mataifa mengine na ndio haswa inaaminika sababu ya watu wa mataifa mengine kuuawa wakiwemo hao Watanzania...
Sijakataa mkuu mimi swali langu kwanini wamuuwe waondoke na mwili wake? Mbona wengine waliwateka wakiwa hai na waliowauwa hawakuchukua miili yao?
 
Kwa mujibu wa video ya mauaji ya joshua tukio lilifanyika ndani ya israeli maana Joshua hakuwa akisoma Gaza mkuu. Na ni wazi ilikuwa ni siku ya uvamizi tarehe 7.10.2023 sidhani baada ya hapo Hamas walirudi israeli kufanya tukio jengine baada ya tarehe 7.10.2023.
 
Hamas hawezi kuuwa foreign hili iweje Magaidi wa Israel wamemua wenyewe wameona ngoja watengeneze cinema kuwachafua Hamas.

Wale mateka wao watatu walishasema wameokota miili yao kumbe Hamas walikuwa wanawarekodi. Waliwambia hapa tupo kwenye mapambano mnaweza kufa cha kufanya hapa tunawaachia mjisalimishe shikeni vitambaa vyeupe nyanyueni mikono njoo haya nendeni hawakufika mbali walichezea riaasi za kutosha mmoja akawa analia huku anaongea kiHebrew majuzi tena wameuwa wanawake wawili Kanisa alikuwa anachungulia dirisha kulizwa wanasema walikuwa wafuasi wa Hamas.

Mtajua ukweli muda si mrefu Hamas kama watakuwa na huo mwili wa Joshua tatizo watu wanajifanya wana uchungu kumbe unafiki wakijua kama kauliwa na Israel hamna hata mmoja atanyanyua mdomo wake humu nawajua vizuri Waisrael weusi wa JF.
 
Shukran sana Kwa jibu mujarabu Mkuu, mambo yanatakiwa yaende namna hii.

Oh! Na tangu hiyo taarifa itolewe ndio ikaja hii ya 14 December nayo kutoka serikali ya Israel kwamba amefariki na mwili wanao Hamas, sahihi?
Ndio mujue sasa kufatilia mambo kabla ya kuanza kukurupuka na kutokwa na mapovu
Safi sana kijana naona umeamua kuchutuma baada ya kujua nguo imekuvuka nahuu sasa ndio uungwana utakiwao
 

Umeona lakini jamaa alivyokua anajibu maswali yangu Kwa weledi, ufasaha na bila mihemko? Vyanzo vya taarifa za majibu yake ameviweka hapa.

Taarifa kwamba miongoni mwa mateka waliotekwa na Hamasi, Kuna watanzania wawili, ameweka hapa, taarifa kwamba mmoja amefariki, ameviweka hapa.

Hii vita imezongwa na upotoshaji, hisia, chuki na udanganyifu mwingi sana kutegemea mtu anashabikia upande upi wakati hapa tunaongelea uhai wa watu.

Ni jambo ambalo najizuia sana kulijadili Kwa mihemko, hata kubishana sana kuhusu haya mambo ukizingatia Kuna watu lazima waingizie udini kwenye huu mjadala.

Kama hauna taarifa sahihi za kuhusu utekwaji na mauaji huyu jamaa, kupata majibu ya maswali yako ni ngumu sana.

Haujawezathibitisha kwamba jamaa aliywawa 07 October au alitekwa wakaenda nae Gaza. Na Hamas hawajakanusha kuwa na mwili wa huyo jamaa Kwa vile taarifa za awali, alikua miongoni mwa mateka. Na hawajakanusha kwamba wamemuua au amejeruhiwa na Jeshi la Israel. Kumbuka hili jeshi limewaua raia wao wenyewe ( Kwa mujibu wao ni Bahati mbaya) na hili jambo limezidi kuchochea ghadhabu ya waisrael dhidi ya waziri Mkuu. Wangeweka wazi kwamba mtanzania mwenzetu nae alikua miongoni mwa waliouawa kwenye mashambulio kati Yao na Hamas.

Si unataarifa hadi Leo milipukon ya September 11 huko Marekani bado imeacha maswali mengi yasiyo na majibu?

Cha msingi serikali yetu inatakiwa kutoa taarifa za kilichotokea kutuliza hii tafran.
 
Hata mi ninayo kwa hiyo na mimi ni mwanajeshi?
Ukiwa uwanja wa vita hata na kitambaa tu sio unaonekana mwanajeshi unaonekana komando kabisaa
Yaani umkute mtu na ishara ya uanajeshi halaf uko vitani na sio jamaa yako unapata wapi ujasiri wakumuacha kwanza utakua ama utaonekana mzembe wakiwango chajuu kabisaaaa
Poleni sana kwa familia ya mollel ila kwa hili mazayuni wanahusika
 
Ndio mujue sasa kufatilia mambo kabla ya kuanza kukurupuka na kutokwa na mapovu
Safi sana kijana naona umeamua kuchutuma baada ya kujua nguo imekuvuka nahuu sasa ndio uungwana utakiwao

Chukua muda kidogo kufuatilia mjadala Kwa utulivu. Umeona mtiririko wa majibu ya mwenzako?
 
Kwa hiyo leo tunakubaliana kuwa wale walikuwa ni Hamas?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…