Msemaji wa Hezbullah: Waisrael Hamtarudi North, Msahau Kabisa

Hawakuona lolote lakin walikufa askari wanne
 
Gharama za nini sijasema gharama nimesema madhara ndege mia ziripue kambi 20 kama walivyosema ziue watu wanne au wameziripua kwa mawe
balestic ziliua mpalestina mmoja akiwa nyumban kwake
 
balestic ziliua mpalestina mmoja akiwa nyumban kwake
Maafa ya ballistic za Iran ziliharibuka baadhi ya Kambi za Israel ikiwemo Nevatim.
Ziliharibu makazi yapatao 100,inamaana kama raia wasingekimbilia katika mahandaki maisha ya watu zaidi ya 200 yangekua rehani.
Ndege 100😂😂😂😂madhara yake hayaonekani kuwa significant na yameua askari wanne tu.
 
Tunaomba picha
 
Nimeulizia picha mkuu sio maelezo. Au hujui hata bbc walitoa maelezo na picha za satellite kule Iran
Uliona maelezo waliyotoa BBC kuhusu shambulio la Israel!?
Walisema "no significant damage was noticed".
Hata picha za satellite walizoleta walisema wenyewe HAZITOSHI KUONESHA MADHARA YA SHAMBULIO.
Kumbuka hao walioandika maelezo walikua eneo la tukio.
Sasa wewe unabisha nini mkuu!?
 
Nimeulizia picha mkuu sio maelezo. Au hujui hata bbc walitoa maelezo na picha za satellite kule Iran
Picha nenda uko uko TZ kwenye kambi ya jesh kapige utuletee utajua wajuba watakufanya nini yani unajua kabisa kambi ya jesh aipigwi picha afu unadai picha ya kambi. Kwann ww vile viuma vikitua ukuona hiii miijamaa itakuwa mizwazwa kupitiliza.
 
Israel hakuna anayeruhusiwa kupiga picha na kutoa taarifa hizo,uchujaji wa taarifa hufanywa na jeshi na hutolewa na jeshi,ukifanya wewe ni kesi na utaenda jela
Kwani Iran nani anaruhusiwa mkuu
 
Picha nenda uko uko TZ kwenye kambi ya jesh kapige utuletee utajua wajuba watakufanya nini yani unajua kabisa kambi ya jesh aipigwi picha afu unadai picha ya kambi. Kwann ww vile viuma vikitua ukuona hiii miijamaa itakuwa mizwazwa kupitiliza.
Sasa si ni yale yale
 
Kwani Iran nani anaruhusiwa mkuu
Picha za Iran husambaa na wao husema madhara,hawakuficha walisema rada mbili zilipigwa, askari wanne walifariki, israel hata urushe nyuklia,utaambiwa ilitua vichakani na hakuna madhara zaidi ya watu wawili kujeruhiwa na shrapnel,lakini wakati huohuo wanalazimisha watu wajiunge jeshini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…