Msemaji wa JWTZ kuteuliwa kwenye NEC ya CCM, hii imekaaje?

Sio lazima awe alikuwa mwanachama.Aweza kuwa kaanza jana hiyo hiyo kila kitu kina tarehe ya kuanza
Kwahiyo kaacha jeshi jana na kaomba uanachama jana na jana hyo hyo kapewa uongozi aise jana ilikuwa nzuri sana kwake
 
Mbona hushangai mita 200 na viti maalum?
 
CCM wako katika matayarisho ya kuiba kura 2020 ndio maana wanajipanga kabisa
 
Kwa hiyo uteuzi wake uliegemea kwenye lugha ya mawasiliano sio? Ingekuwa lugha ya mawasiliano ndiyo kigezo cha uteuzi hivi leo ungemteua mtu anayozungumza broken english?

Wewe umeelewa vipi kuhusu lugha ya mawasiliano maana sijazungumzia "Broken English".

Nikisema lugha ya mawasiliano namaanisha lugha ya kutumia diplomasia, na mawasilinao mengine iwe majibu ya CCM na mawasiliano kwa umma, na kutengeneza picha ya CCM mpya.

Kama upo kwenye hili eneo utanielewa.
 
Lowasa walipomchukua CHADEMA walimjua siku nyingi? Mbona aliingia tu na kupewa ugombea uraisi wakati hajawahi kuwa kiongozi wa tawi la chadema
we nae acha ubichwa maji lowassa alikuwa mwananchama wa chama cha siasa kabla hajahamia CDM uzoefu alioupata akiwa ndani ya CCM ulikuwa unatosha kuchaguliwatofauti na huyo kanali ambaye hakuwahi kuwa mwanachama
 
Anaweza itwa njoo tukupe kadi ya CCM akasema nakuja mbio mwendo wa kunyakua wa kijeshi kuja kuchukua
Mbona mlikuwa mnahoji uhalali wa mchakato uliotumika kumpa Lowassa nafasi ya kugombea urais kupitia chadema wakati mambo yenu ni machafu? Lowassa alipewa kadi live, kila mtu alimuona kwenye luninga na kusoma habari zake kwamba amejiunga na chadema na amepewa kadi, huyo Ngemela alijiunga lini ccm na kuna halfa yoyote ilifanyika kumkabidhi kadi? Usituambie kwamba kwa mtu mkubwa kama Ngemela anaweza kukaribishwa chamani kama wanachama wa mitaani. Kwanini ni awe yeye na si wanachama wakongwe wa ccm?

Mtu mzima atishiwi nyau.
 
Hivi watu kama nyie mnaishi dunia ya wapi?
Afu utakuta una elim ya chuo kikuu!!
Unaweza ukawa na elimu ya chuo kikuu lakini bado usielimike kwa kwa namna inavyopasws. Kuna watu sijui mtu vile ana Phd lakini ana kasoro ya kutojua ile nini vilee ah nimesahau
 
sasa ww unayejua habari kamili si uweke hapa ! unafanya kitu hicho hicho unacho walaumu wenzako huku ww naye analeta habari nusu nusu
 
Naomba kupata uelewa hivi huyu si kasitafu
 
Nami niliogopa sana baada ya kusikia! Rais magufuli maamuzi afanyayo mengine yana utata na ni kinyume na katiba. Anajiona Mungu mtu, yupo juu ya sheria, lakini kwa hakika ni DIKTETA! Magufuli ana tabia za kidikteta!
 
Lugha ya kidiplomasia inaweza kuzungumzwa kwa kiswahili, kireno, kiingereza, kirusi nk hizi ni njia tu ya kuwasiliana kwa namna unayoitaka wewe, hivi ninyi mnatumia lugha ipi kati ya kiswahili au kiingereza?
 
Siku unayoteuliwa unaacha jeshi huwi mwanajeshi na unashika madaraka siku hiyo hiyo kama ambavyo lowasa alivyofanya.Siku alipoteuliwa na CHADEMA kuwa mgombea siku hiyo hiyo aliacha CCM na kuwa mgombea uraisi

Kwamjibu wa katiba ya CCM mtu yeyote atakuwa na haki yakupata uongozi wa chama baada ya miaka miwili ya uanachama wake ndani ya chama...Sheria za utumishi jeshini huruhusiwi kuwa "mwanachama" wa chama cha kisiasa, wala huruhusiwi kuwa kiongozi wa chama kwa kuchaguliwa wala kuteuliwa.

Ni lini Kanali Ngemela Lubinga amestaafu/ameacha utumishi Jeshini?? Ni lini amekidhi vigezo vya kikatiba vya ccm kuwa kiongozi?
Je ccm imeamua kuingiza siasa majeshini tena ilihali zilishafutwa tangu 1992 baada ya Azimio la Arusha kuvunjwa na kuundwa Azimio la Zanzibar?
 
Vingine ni vizuri uwe unasoma tu mkuu
 
Akikujibu niPm
Mbona Lowasa alihamia Chadema na bila ya kuwa mwanachama kwa kipindi hata cha siku tatu akawa mgombea urais??? Je unaweza ukatuambia kwamba Lowasa naye alikuwa mwanachama wa Chadema kwa muda mrefu??
Sina hazuiliwi kuwa mwanasiasa pale anapostaafu, wala hazuiliwi kuacha jeshi ili akajiunge na siasa pale anapoamua kufanya hivyo.
 
usiulize sana utatuvunjia a man I yetu na kukwamisha maendeleo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…