Hakuna mwanajeshi anayeruhusiwa kujihusisha na mambo ya siasa. Kama hili limetokea kwa huyu msemaji wa jeshi kuteuliwa nafasi hiyo basi huu ni ukiukwaji wa katiba na kuingilia miiko ya kijeshi.Sawa lkn hii ni picha kuwa wakati alipokua jeshini alikua ni mwanachama wa ccm. Haiwezekani kuwa wamemchukua MTU wasiomjua. Ndio maana tunasema vyombo vyetu vya usalama sio huruma na haviko tayari kuona ccm ikishindwa ndio maana hutumia mbinu yote hata za wizi kuleta ushindi kwa ccm
Ni kigezo kipi kimetumika kumchagua huyo jamaa,,,,,,maswali ya kujiuliza 1…ina maana kipindi yupo jeshini alikuwa ni mwana chama mtiifu wa ccm?…2 kama ni ndio basi anatakiwa achukuliwe hatua za kisheria kwa kuwa katka jeshi na kujihusisha na siasa,,,…3 kama ni sio inawezekana vip mtu usiemfahamu umuachie nyumba akulindie......je tutaamin vp na hao waliobakia kama co wanachama watiifu wa ccm!!! Ni mtazamo tyuuSiku unayoteuliwa unaacha jeshi huwi mwanajeshi na unashika madaraka siku hiyo hiyo kama ambavyo lowasa alivyofanya.Siku alipoteuliwa na CHADEMA kuwa mgombea siku hiyo hiyo aliacha CCM na kuwa mgombea uraisi
Hapo Lowassa kafikaje mkiferi darasani mnasingizia walimu hawafundishi hivi kabla hujalala lazima umtaje Lowassa inaonekana bila Lowassa hizo book 7 huwezi kuzitafuta kwa shughuli nyingine badilika kwa kujibu kwa hojaSiku unayoteuliwa unaacha jeshi huwi mwanajeshi na unashika madaraka siku hiyo hiyo kama ambavyo lowasa alivyofanya.Siku alipoteuliwa na CHADEMA kuwa mgombea siku hiyo hiyo aliacha CCM na kuwa mgombea uraisi
We huelewi nn sasa hapoNI UKIUKWAJI WA KATIBA AU MAJINA YAMEFANANA KATI YA MSEMAJI WA JWTZ NA HUYU MTEULE WA NEC YA CCM?
JPM JITOKEZE KUUELEZEA UMMA KUHUSU UTATA HUU.
Msemaji wa JWTZ ni Kanali Ngemela Lubinga.
Katibu Mteule wa NEC ya CCM Siasa na Uhusiano wa Kimataifa ni Kanali Ngemela Eslom Lubinga.
Katiba ya Jamhuri 1977 inasema :-
SURA YA TISA
MAJESHI YA ULINZI
Ibara ya 147.
Ibara ndogo ya (3),
Itakuwa ni marufuku kwa mwanajeshi yeyote kujiunga na chama chohote cha siasa, isipokuwa tu kama atakuwa na haki ya kupiga kura iliyotajwa katika ibara ya 5 ya Katiba hii.
Ibara ndogo ya (4),
Kwa madhumuni ya ibara hii, "mwanajeshi" maana yake ni askari aliyeajiriwa kwa masharti ya muda au ya kudumu katika Jeshi la Ulinzi, Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza au Jeshi la Kujenga Taifa.
Umeshaona fursa kijana ... ?! [emoji23] [emoji23] [emoji23]Do you have An Advocate and Tsh 7,000,000=/ Cash
Siku unayoteuliwa unaacha jeshi huwi mwanajeshi na unashika madaraka siku hiyo hiyo kama ambavyo lowasa alivyofanya.Siku alipoteuliwa na CHADEMA kuwa mgombea siku hiyo hiyo aliacha CCM na kuwa mgombea uraisi
Hahaha hutapata jibu kaka hapoAkikujibu niPm
Hapo sasa.Hoja si uteuzi wake tu,alianza lini kuwa mwanachama wa Chama cha mapinduzi huku akiwa mwanajeshi?
Hakuna mwanajeshi anayeruhusiwa kujihusisha na mambo ya siasa. Kama hili limetokea kwa huyu msemaji wa jeshi kuteuliwa nafasi hiyo basi huu ni ukiukwaji wa katiba na kuingilia miiko ya kijeshi.
Dj tusindikize na Nyimbo ya Mbele kwa Mbele ya Marehemu Komba
Ndiyo hivyo ndg yangu MTU mwenye cheo cha juu jeshini anachaguliwa kushika nafasi kktk chama. Mtu anajua mbinu zote za vita na za kimapinduzi ya nchi anaingiaje chamani? Amekifanyia nn chama hadi kumtunuku cheo hicho?Hakuna mwanajeshi anayeruhusiwa kujihusisha na mambo ya siasa. Kama hili limetokea kwa huyu msemaji wa jeshi kuteuliwa nafasi hiyo basi huu ni ukiukwaji wa katiba na kuingilia miiko ya kijeshi.