tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
And to be honest those who shall cast their vote in the so called election are considered to be dumb and idiots, periodVitisho
Kwani kuna uchaguzi?Msemaji Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, DCP David Misime, amesema jeshi hilo limekuwa na utaratibu wa kujiweka tayari kila Uchaguzi Mkuu unapokaribia, huku likiwajengea uwezo askari wake kuhakikisha nchi inabaki salama.
DCP Misime ameyasema hayo leo Julai 30, 2025, jijini Dodoma, wakati wa mdahalo wa kitaifa wa kuimarisha amani na umoja wa kitaifa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025.
Amesema askari wamekuwa wakipatiwa mafunzo ya kusimamia amani kila mara ya uchaguzi na wakati wote, wakipata mafunzo hayo kutoka vyuo vya ndani na nje ya nchi kwa kuzingatia mikataba ya kimataifa.
Soma pia: Sheikh Akilimali: Tudumishe amani na utulivu kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hata hivyo, DCP Misime alisisitiza kuwa jeshi hilo halitakuwa tayari kuvumilia mtu yeyote au kikundi chochote kitakachojaribu kuvuruga au kuharibu amani ya nchi.
"Kila mtu akiamka asubuhi nyumbani kwake anatakiwa kufikiria namna ya kutunza na kulinda amani ya nchi kwanza ili tuweze kuwa na maendeleo," amesema.
Source: Nipashe
Wale TRAFIC wanaochukua RUSHWA MCHANA Mnaweza KUWAVUMILIA au Siyo??Msemaji Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, DCP David Misime, amesema jeshi hilo limekuwa na utaratibu wa kujiweka tayari kila Uchaguzi Mkuu unapokaribia, huku likiwajengea uwezo askari wake kuhakikisha nchi inabaki salama.
DCP Misime ameyasema hayo leo Julai 30, 2025, jijini Dodoma, wakati wa mdahalo wa kitaifa wa kuimarisha amani na umoja wa kitaifa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025.
Amesema askari wamekuwa wakipatiwa mafunzo ya kusimamia amani kila mara ya uchaguzi na wakati wote, wakipata mafunzo hayo kutoka vyuo vya ndani na nje ya nchi kwa kuzingatia mikataba ya kimataifa.
Soma pia: Sheikh Akilimali: Tudumishe amani na utulivu kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hata hivyo, DCP Misime alisisitiza kuwa jeshi hilo halitakuwa tayari kuvumilia mtu yeyote au kikundi chochote kitakachojaribu kuvuruga au kuharibu amani ya nchi.
"Kila mtu akiamka asubuhi nyumbani kwake anatakiwa kufikiria namna ya kutunza na kulinda amani ya nchi kwanza ili tuweze kuwa na maendeleo," amesema.
Source: Nipashe
Watakuwa wao wenyewe,wizi utatokea wapi?Sisi tunajua jambo moja kuwa hao polisi ni washirika wa CCM kuingiza kura za wizi vituoni.
Vitisho ambavyo vinaashiria wana hofu tu nothing moreKwani wapo wangapi idadi yao? Tugawane