Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...


Kudaiwa tunadaiwa kweli, hilo sina shida. Shida yangu ni pale ndege hii ilivyokamatwa, mazingira ya kukamatwa ndege inanipa maswali mengi, moja ya swali ni kuwa hiyo ndege kwanza haijawa mali ya Tanzania hadi hapo taratibu zote za bombardier na Gvt of Tanzania zitakamilia,na hivyo bombaider kuikabidhi ndege hiyo kwa serikali, kilichofanywa na hao wadeni ni kuzuia either manufacture,customization kuendelea ambacho ni kunyume cha sharia , wanadai wataipiga mnada watamuuzia nani? ndege haina hata qualification documents /registrations za umiliki halali wa ndege?, hata mnunuzi atakae nunua ata transfer vipi registration aircraft details bila kuwa documents halali, huu ni mchezo ambao either serikali ya Canada wamecheza, au Barrick /acacia wanacheza na bombardier kushinikiza mazungumzo yanayoendelea nchini, nionavyo mimi hili sakata acacia atakuwa ni prime suspect.
 
? ? Serikali ya Canada inahusika nini? Au ndio waliwatonya TZ kwamba ni watu wenu ndio wanahusika na mpango huh wa kuzuia Ndege yetu. Au makinikia wanahusika nini. Hili tuachiye mabox yao..........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulisha ilipia kumbuka hiyo ni ndege mpya nadhani ni baada ya taratibu zote kukamilika 'Anayekudai halali kila kukicha anafikiria deni lake na mbinu ya kupate hela zake'
 
Nafurahishwa sana na watu wanavyotumia neno "Uzalendo" siku hizi. Yaani siku hizi ukiona nyumba inaungua ukapiga kelele unakuwa si mzalendo! "Uzalendo" ni ukimya. Ni kufunga mdomo kwa plasta na kujizuia kusema chochote. Uzalendo ni kushangilia na kupiga makofi tu, hakuna kuhoji wala kuuliza usichokijua. Welcome to the house of morons.....
 
nani amekwambia hio sio mali ya Tanzania??? wabongo bana kwa kujifanya "much know" hamjambo
 
yaaani kuna mambo ya ajabu sana...Sheria ziko kwa ajili ya watu..sheria zinawatumikia watu
Sio watu kuitumikia sheria
Ivi mita 240 kwa kweli unawalaza watu nje..unawakomoa ili iweje??? unanufaika na nini?
Hivi unaongeza rate ya mikopo ya HESLB from 8% to 15% ili iweje...unamkomoa nani? why?
 
sa
sa kwanini musiwaite kuwahoji. mmekazana kumwaga povu wakati lisu ni muhujumu uchumi. akili za kushikiwa hizo
 
Ni kazi ya upinzani kutuhabarisha yale tusioyajua, anaefanya siri ndie hasa asiye na uzalendo kwani siri hiyo anafichwa nani asiye mzalendo wakati deni litakalotokana na maamuzi mabaya ya serikali litagawanywa kwa walipa kodi wote wa nchi hii. Hata Nyerere alitoa amri kina Kambona wataifishiwe majengo yao na matokeo yake yalikuwa ni nini? Serikali inapojinadi kwa mazuri vilevile iwe na utashi wa kutueleza yale yaliokwenda mrama na huo ndio utawala bora.
 
They want all of us to just be "The Walking Dead"!!! Uzalendo my stinking fungered ugly foot[emoji51][emoji51][emoji51]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau tunaomba tushee tulichonacho, kiukweli naona hali hii sio, uchumi umekuwa WA ndivyo sivyo kiujumla plani za maisha hazieleweki.

Naona karibu kila mtu analia kudaiwa madeni, Na kwa hali hii hakuna hata mmoja anaetaka kukopesha mtu hela yake.

Tukienda kwenye uhalisia hivi Kuna.mtu hadaiwi kabisa? Mi hapa nadaiwa vimadeni vya hapa Na pale naona tabu tupu, hela hata haikai, Na wala hakuna hata hakuna jambo la maana linafanyika.
 
Maisha ya Sasa hutakiw kuwa na den maana hutakuwa na aman waden wanadai hatar maana hata wao Pesa hawana. Kipind hiki hutakiwi kukopa Wala kukopesha
 
Wapo watu hawadaiwi kabisa, watoto wadogo na watu wenye ulemavu wa akili.
 
Mtoto am
Maisha ya Sasa hutakiw kuwa na den maana hutakuwa na aman waden wanadai hatar maana hata wao Pesa hawana. Kipind hiki hutakiwi kukopa Wala kukopesha
Amerudishwa Ada shule halaf huna hela unafanyeje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…