IPECACUANHA
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 3,230
- 1,925
Mkuu, Hoja kwa sasa ni Je alichosema Lissu kuhusu bombardier ni sahihi? hayo ya nani kasema, katoka chama gani na ana cheo gani huko sidhani yana tija yoyote kwa sasa.Ukiangalia tamko la Lissu alilotoa majuzi, utajua yeye ana ndimi mbili. Moja ni mbinafsi na pili ni mroho.
Ubinafsi: Anataka aonekane kama yeye ndo chama na chama ni yeye. Kwa mjibu wa Katiba ya CHADEMA kuna wasemaji wakuu wawili; Katibu Mkuu na Msemaji wa Chama. Kama hawapo, manaibu wao wanasimama. Ukiangalia sana utatambua kuwa Lissu hafuati hayo ili ndani ya chama asimame kama yeye.
Uroho: Ijapokuwa dhamira ya CHADEMA imekuwa nzuri kwa miaka mingi, ila kwa sasa inaongozwa na uroho wa madaraka. Wanataka hata leo waingie madarakani wapige mambo yao hata kama si kwa matakwa ya wananchi. Hii ni hatari sana. Lissu ndio kiongozi wa hili. Ukiangalia viongozi wengine wamekuwa si watu wa kusema kwa kejeli hata kama wameumizwa.
Haya yanaoendelea yanahitaji watu wa kuyasema na kuonya juu yake. Ukiwa na dhamira bora kuna siku utapata tu. Sisi wananchi tunaona.
Ila hatatokea kwa bahati mbaya, zaidi ya kusema steling imekatika. Gari linajiendea lenyewe na kila mtu anatafuta pa kutokea.
Ukiangalia tamko la Lissu alilotoa majuzi, utajua yeye ana ndimi mbili. Moja ni mbinafsi na pili ni mroho.
Ubinafsi: Anataka aonekane kama yeye ndo chama na chama ni yeye. Kwa mjibu wa Katiba ya CHADEMA kuna wasemaji wakuu wawili; Katibu Mkuu na Msemaji wa Chama. Kama hawapo, manaibu wao wanasimama. Ukiangalia sana utatambua kuwa Lissu hafuati hayo ili ndani ya chama asimame kama yeye.
Uroho: Ijapokuwa dhamira ya CHADEMA imekuwa nzuri kwa miaka mingi, ila kwa sasa inaongozwa na uroho wa madaraka. Wanataka hata leo waingie madarakani wapige mambo yao hata kama si kwa matakwa ya wananchi. Hii ni hatari sana. Lissu ndio kiongozi wa hili. Ukiangalia viongozi wengine wamekuwa si watu wa kusema kwa kejeli hata kama wameumizwa.
Haya yanaoendelea yanahitaji watu wa kuyasema na kuonya juu yake. Ukiwa na dhamira bora kuna siku utapata tu. Sisi wananchi tunaona.
Ila hatatokea kwa bahati mbaya, zaidi ya kusema steling imekatika. Gari linajiendea lenyewe na kila mtu anatafuta pa kutokea.
Yanakuhusu nini kama anayotenda ndani ya Chadema wenyewe hayawasumbui?
Ulitaka job descriptions za Mwanasheria mkuu Wa Chadema ziandaliwe na Kinana?
Nimegundua kuwa kazi anayoifanya Lissu ambayo ndani ya Chadema ni ya kawaida kwenu ccm ni ya hatari sana kwa uhai Wa chama chenu
Kuna mdau humu alisema siku Lissu alipoa tamko,alisema itawachukua wiki mbili lumumba kujibu press ile ya dakika chache!Naanza kuamini maneno yale!Ukiangalia tamko la Lissu alilotoa majuzi, utajua yeye ana ndimi mbili. Moja ni mbinafsi na pili ni mroho.
Ubinafsi: Anataka aonekane kama yeye ndo chama na chama ni yeye. Kwa mjibu wa Katiba ya CHADEMA kuna wasemaji wakuu wawili; Katibu Mkuu na Msemaji wa Chama. Kama hawapo, manaibu wao wanasimama. Ukiangalia sana utatambua kuwa Lissu hafuati hayo ili ndani ya chama asimame kama yeye.
Uroho: Ijapokuwa dhamira ya CHADEMA imekuwa nzuri kwa miaka mingi, ila kwa sasa inaongozwa na uroho wa madaraka. Wanataka hata leo waingie madarakani wapige mambo yao hata kama si kwa matakwa ya wananchi. Hii ni hatari sana. Lissu ndio kiongozi wa hili. Ukiangalia viongozi wengine wamekuwa si watu wa kusema kwa kejeli hata kama wameumizwa.
Haya yanaoendelea yanahitaji watu wa kuyasema na kuonya juu yake. Ukiwa na dhamira bora kuna siku utapata tu. Sisi wananchi tunaona.
Ila hatatokea kwa bahati mbaya, zaidi ya kusema steling imekatika. Gari linajiendea lenyewe na kila mtu anatafuta pa kutokea.
Huna hoja wewe nzi wa kijani, ulitaka taifa lipate hasara ya mabilioni tena kwa maamuzi ya ovyo halafu wazalendo kama Lisu wakae kimya?Kwani Kinana ni mwanasheria wa CCM? We kweli kazi yako kupiga makofi kwa viongozi.
Huyo ni mtu wenu wa ufipa pale kwenye jengo la baba mkwe!Kuna mdau humu alisema siku Lissu alipoa tamko,alisema itawachukua wiki mbili lumumba kujibu press ile ya dakika chache!Naanza kuamini maneno yale!
Mpaka sasa LUMUMBA hakujatulia,ni mihemko kwenda mbele!