Kitendo cha Tundu Lissu kushabikia matatizo ya Nchi mama yetu, for right or for wrong, ni usaliti.
Tena usaliti ambao unashabihiana na uhaini.
Nchi ikiwa na matatizo, kila mzalendo anapaswa kuwa upande wa Nchi yake.
Kweli ,kulikuwa na matatizo ya mikataba, na hatimaye kwa sababu nzuri tu au mbaya mikataba ikavunjwa.
Sasa kukaa upande wa pili, na kuituhumu , kuibeza, kuikejeli Nchi yako, its uheard of.
Ta.
Kwani kafanyaje huyo Lissu.Kitendo cha Tundu Lissu kushabikia matatizo ya Nchi mama yetu, for right or for wrong, ni usaliti.
Tena usaliti ambao unashabihiana na uhaini.
Nchi ikiwa na matatizo, kila mzalendo anapaswa kuwa upande wa Nchi yake.
Kweli ,kulikuwa na matatizo ya mikataba, na hatimaye kwa sababu nzuri tu au mbaya mikataba ikavunjwa.
Sasa kukaa upande wa pili, na kuituhumu , kuibeza, kuikejeli Nchi yako, its uheard of.
Tuliokuweo miaka ya Mwalimu, tunajua kuwa Lissu angesha wekwa Detention(Kizuizini) for a number of years!!
Walikuwepo kina Tuntekmeke Sanga, Elli Anangisye, leo wangehadihia.
Tungetegemea wanasheria machachari kama Lissu kusaidia kuitoa nchi matatizoni kisheria.
Kwa vigezo vyovyote vile, Lisu ameisaliti Nchi mama yake Tanzania, na hafai kula kiapo chochote kuitetea.
HOJA inajibiwa kwa hoja si vinginevyo...Hhahahahahaaha...Kweli ,kulikuwa na matatizo ya mikataba, na hatimaye kwa sababu nzuri tu au mbaya mikataba ikavunjwa.
Sasa kukaa upande wa pili, na kuituhumu , kuibeza, kuikejeli Nchi yako, its uheard of.
Tuliokuweo miaka ya Mwalimu, tunajua kuwa Lissu angesha wekwa Detention(Kizuizini) for a number of years!!
Walikuwepo kina Tuntekmeke Sanga, Elli Anangisye, leo wangehadihia.
Aliwashauri tufuate sheria tunaposhughulikia Mikataba vinginevyo tutanyolewa mapemaKitendo cha Tundu Lissu kushabikia matatizo ya Nchi mama yetu, for right or for wrong, ni usaliti.
Tena usaliti ambao unashabihiana na uhaini.
Nchi ikiwa na matatizo, kila mzalendo anapaswa kuwa upande wa Nchi yake.
Kweli ,kulikuwa na matatizo ya mikataba, na hatimaye kwa sababu nzuri tu au mbaya mikataba ikavunjwa.
Sasa kukaa upande wa pili, na kuituhumu , kuibeza, kuikejeli Nchi yako, its uheard of.
Tuliokuweo miaka ya Mwalimu, tunajua kuwa Lissu angesha wekwa Detention(Kizuizini) for a number of years!!
Walikuwepo kina Tuntekmeke Sanga, Elli Anangisye, leo wangehadihia.
Tungetegemea wanasheria machachari kama Lissu kusaidia kuitoa nchi matatizoni kisheria.
Kwa vigezo vyovyote vile, Lisu ameisaliti Nchi mama yake Tanzania, na hafai kula kiapo chochote kuitetea.
Hivi kwani kutumia akili ni dhambi wandugu? Hivi huo mkataba usingevunjwa kinyume na taratibu huyo Lissu mngekuwa mnamzungumzia saa hii? Siegemei upande wowote but kwa hoja hizi, TL aachwe kabisaaaaaaaaTushaambiwa kuwa ni mmoja wa Director wa kampuni ya uwakili inayowakilisha hao wanaotudai deni feki la kutengenezwa na hiyo kampuni baada ya kututengenezea barabara chini ya kiwango
Hivyo jibu ni hayuko kwa maslahi ya Taifa bali ni kwa maslahi ya hao majizi wanaowawakilisha na tumbo lake
Tatizo anaposhauri, hasa akiwa bungeni, watu wanamtazama katika kofia ya uanasiasa na kusahau kuwa ana kofia ya sheria ndani yake. So, people politicize everything he says, and look at us now!Aliwashauri tufuate sheria tunaposhughulikia Mikataba vinginevyo tutanyolewa mapema
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepakua hiyo clip. Kweli hapo kiatu vimezidi mguu. Kuwa 'msemaji' huwa inaambatana na hekima na uvumilivu wa hali ya juu coz chochote utakachosema/fanya utakuwa unaonyesa mawazo/hisia za aliyekutuma. So unaweza ukasababisha watu wakamchukulia vibaya aliyekutuma kwa ukosefu wako wa hekimaHuyu dada nilianza kumuona kwenye press wakati yule msanii ROMA anaongea na waandishi wa habari baada ya kutoka mafichoni akiwa na waziri Mwakyembe huyu dada alizomewa baada ya kuonekana anapangua hoja kibabe nikataka kumfahamu zaidi nikagundua ni kaimu mkurugenzi habari maelezo na msemaji wa serikali, kwa sasa mh raisi ameshateua mkurugenzi wa habari maelezo na msemaji mkuu wa serikali kwa hiyo huyu dada amekuwa mkurugenzi msaidizi wa habari maelezo na msemaji wa serikali msaidizi inasikitisha sana huyu dada anapopewa dhamana ya kuongea kwa niaba ya serikali kwa vitu ambavyo vina maslahi kwa taifa ambapo mara zote huishia kuzomewa na hupatwa na jazba ikiwa ni kiashiria dhahiri kuwa viatu alivyopewa hamtoshi. Tazama video ambatanishi kama moja ya mfano
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kwanini serikali isiende mahakamani kama kweli ni wanasiasa ndiyo wasababishaji?Je wanasiasa ndiyo mahakama? Hatutaki utani,kama ambavyo serikali yetu ilivyosema kuwa ni wanasiasa ndiyo wasababishaji basis ni swala lakuwapuuza hao jamaa,maana wao si mahakama ,hivyo basi mkachukuwe hiyo ndege.Mchakato umeingiliwa Na lissu Na umeingiliwa kisiasa. Lissu Na baadhi ya watu wa mataifa wasioipendea mema Tanzania,
Na mtatiro kaa chonjo habari tunazo