mapinduzi daima
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 1,724
- 2,709
HhhhaaahhhTutamuungaje mkono rais , wakati yeye ndiye kinara wa ukabola na uchama!!! Kweli hoja za Lissu zinawafanya mchanganyikiwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaaahhhaa
Si wanadharau Wataalam acha waabike
Haaaahhhaa
*Mi napambana na hali yangu*
Sitaki maneno
Haaaahhhaa
Chief Economist
Jana nilimsikia wakili na mbunge Tundu Lissu akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam na kusema ana taarifa kutoka kwenye vyanzo vyake serikali vilivyomwambia kuwa ndege ya serikali aina ya Bombadier imekamatwa na kutishia kupigwa mnada!.
Kauli ya Lissu iliibua mjadala mkali kwenye mitandao ya kijamii,katika pita pita zangu mtandani nikakuta "Conversation" kati ya Zitto Kabwe na Waziri mwenye dhamana Prof Mbarawa,kwenye maelezo yake Prof alisema si kweli kuwa ndege imekamatwa na hakuna mgogoro bali kuna mambo madogo madogo yanakamilishwa kati ya serikali ya kampuni ndiyo maana ndege imechelewa na kuja na itakuja siku si nyingi.
Asubuhi ya leo,idara ya maelezo ambayo ndiyo mdomo wa serikali imezungumza na waandishi wa habari kupitia naibu Mkurugenzi wake mkuu Zamaradi Kawawa na kujibu kuwa ni kweli kuna kesi ya msingi iliyosababisha ndege hiyo kuzuiwa huku akiwatuhumu baadhi ya wanasiasa kuwa wapo nyuma ya kesi hiyo.
Zamaradi amedai kesi hiyo imesababishwa na baadhi ya wanasiasa ila ameshindwa kuwataja majina na kusema tayari serikali imechukua hatua za kisheria na kidiplomasia kumaliza kesi hiyo!.
My take.
Serikali ilikuwa inamsubiri Lissu aseme ndiyo nayo ijitokeze kumjibu?Rais aliahidi ndege kuwa ingewasili mwezi July mwaka huu,mwezi umekwisha ndege haijaja.
Kulikuwa na ugumu gani kwa serikali kulisemea hili mapema kuliko kumsubiri Lissu aiseme ndiyo ijitokeze kujibu,Je Lissu angekaa kimya serikali nayo ingekaa kimya?
Matokeo yake,majibu ya wizara husika kutoka kwa waziri husika na yale ya idara ya habari maelezo yanatofautiana,wananchi washike lipi?
Serikali imetoa maelezo ya kulaumu zaidi bila kuuambia umma,hiyo kesi inahusu nini? na kama kweli kuna wanasiasa wapo nyuma ya kesi hiyo,kuna ugumu gani kuwataja?
Siku zote ukweli utakuweka huru.
Yaani tuendelee kukaa kimya ili wazue kesi nyingine sisi tulipe!!? Uzalendo wa aina hiyo ni Mpumbavu+.Nyie watanzania yani baba yako akinyanganywa shamba ama nyumba kisa anadaiwa watoto mtafurahia. Kizazi cha nyoka hiki-wicked society.
Je hamjui ya kwamba hizo pesa mtazilipa ninyi wana nchi kwa kupitia kodi zaidi? Je hamjui ninyi ndo mtaathirika zaidi na mfumko wa bei kwasababu dola zaenda nje? Mnafikiri serikali ama waziri ama rais ataathirika kwa lolote? Watu hawa wanaangamia kwa kukosa maarifa, iliwapasa kuhuzunika na kusikitika.
Unajua watu wenye fikra kama zako kwenye huu ulimwengu wa utandawazi na uwazi, kwenye huu ulimwengu ambao nyeupe inaitwa nyeupe na si vingine, mtapata shida sana... maskini! Mnatia huruma sana, dah!!!Ku share publically na kU damage reputation Ya serikali au nchi? Lisu kuna kitu hajui when freedom fighters wakiingia msitu watu wa kwanza kuuawa kabla ya mkoloni huwa ni puppets
Ha!ha! Just ha!ha!View attachment 570274
Lissu katika mtandao wake wa twita ameonekana kuyacheka majibu ya serikali juu ya "kupotea" kwa Bombadia.
Serikali imetoa majibu yasiyoridhisha na ya kujikanganya kuhusu kashikiliwa kwa ndege yake nchini Canada. Serikali imelaumu wanasiasa kuingilia mchakato huku ikiogopa kuwataja wanasiasa hao
Nini maoni yako
Better for a hopeless..Hopeless
kwahiyo ulitaka tukae kimya?Nyie watanzania yani baba yako akinyanganywa shamba ama nyumba kisa anadaiwa watoto mtafurahia. Kizazi cha nyoka hiki-wicked society.
Je hamjui ya kwamba hizo pesa mtazilipa ninyi wana nchi kwa kupitia kodi zaidi? Je hamjui ninyi ndo mtaathirika zaidi na mfumko wa bei kwasababu dola zaenda nje? Mnafikiri serikali ama waziri ama rais ataathirika kwa lolote? Watu hawa wanaangamia kwa kukosa maarifa, iliwapasa kuhuzunika na kusikitika.
Kitu siyo uzalendo, kitu nikuwa traitors. Aliyewaambia hawa wazungu ni akili za mwafrika kabisa kachongea. Mzungu akikaa miaka 2 ana rwite off deni, bad debt anaachana nalo. Ila hii mbinu ya kufufua makaburi ya miaka 10 iliyopita ni mzungu kashawishiwa na akili za kiafrika, wicked one.Yaani tuendelee kukaa kimya ili wazue kesi nyingine sisi tulipe!!? Uzalendo wa aina hiyo ni Mpumbavu+.
ACHA nikae KIMYA...!
Sasa umeuliza ili ujibiwe niniSijui.
Kamwulize yeye.
Kitu siyo uzalendo, kitu nikuwa traitors. Aliyewaambia hawa wazungu ni akili za mwafrika kabisa kachongea. Mzungu akikaa miaka 2 ana rwite off deni, bad debt anaachana nalo. Ila hii mbinu ya kufufua makaburi ya miaka 10 iliyopita ni mzungu kashawishiwa na akili za kiafrika, wicked one.
Ni msaliti namba moja!Halafu anatokea mtu anagomea watu kufanya siasa kwani anajua wanasiasa wakiongea wataweka mambo hadharani. Hapa ndio naona jinsi Tundu Lisu alivyomzalendo kwa nchi yake na sio kujipendekeza kwa rais.