Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

To me naona both parties wanapenda leta siasa on serious things, gov imeshindwa kulihandle professional na upinzani nao hautoi option or solution zaidi ya kulaumu badala ya kutoa mawazo nini kifanyike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee huyu mtu si mzima kichwani. Sidhani kama hili ni jambo la kuchekesha..
 

Nchi inaongozwa na minyang'ao
 
Haitatokea hats siku moja nchi hii kuongozwa na CHADEMA , chama cha Udini Lowasa " ni wakati wa nchi kuongozwa na Waluteri.: Sumaye " ni wakati sasa Rais atoke kaskazini. Mbowe " Lowasa fisadi , Mbowe " Lowasa karibu CHAGADEMA. Shem on you
 
Lissu anawachezesha ccm kigoma cha canada

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Mkuu Malisa upo??
 
Baba Mzuri ni yule anayesikiliza wenzake. Baba ambaye hasikilizi ushauri na anayejifanya kuwa yeye anajua kila kitu akiadhibiwa siyo wa kumuonea Huruma.
 
Hii kauli haiingii akilini,hapa hoja ni kwamba je tunadaiwa au hatudaiwi? Hizi habari za wanasiasa ndiyo wasababishaji kwakweli hazina mashiko kwa MTU mwenye akili timamu.Hivi kwanini hamkutueleza kabla ya lisu kudadavua? Je hao wanasiasa ndiyo mahakama? Tuache kueleza vitu ambavyo ilibidi vizungumzwe enzi zile kabla ya Tanganyika kupata uhuru, maana wasomi walikuwa wachache.
 
To me naona both parties wanapenda leta siasa on serious things, gov imeshindwa kulihandle professional na upinzani nao hautoi option or solution zaidi ya kulaumu badala ya kutoa mawazo nini kifanyike

Sent using Jamii Forums mobile app

Tundulisu alishaandika barua ya kuonana na Rais lakini hajajibiwa hadi leo,sasa hayo.mawazo yao mbadala watatolea wapi? Mikutano mmezuia,hata huko bungeni wakiongea mambo kama hayo mnawatimua kwa kutumia uwingi wenu...

Lisu dawa ni hiyo hiyo ,mwaga tu mboga kama mbwai na iwe mbwai
 
Kwani hilo deni alisababisha nani? Kwa nini huwalaumu hao? Sisi hata tukilia haitatusaidia tutalipishwa tu
 
Baba Mzuri ni yule anayesikiliza wenzake. Baba ambaye hasikilizi ushauri na anayejifanya kuwa yeye anajua kila kitu akiadhibiwa siyo wa kumuonea Huruma.

Hilo deni ni toka miaka ya 2006 sasa ni baba yupi unayongelea?

Mimi ninachosema hapa mnachongeana wenyewe kwa wenyewe, sasa lipeni ili maisha yawe magumu zaidi maana ndo furahaa yetu maisha yanapotaiti zaidi. Kumbuka hakuna kitu kinachoitwa serikali kulipa deni, ni wananchi ndo wanalipa hilo deni.
 
Watanzania wanajua fika watahusika ktk kulipa deni kwa namna moja ama nyingine, kinachonekana ni chuki na ubaguzi unaopandikizwa na serikali kupitia siasa, huwenzi kuwapenda viongozi wanaofanya siasa za chuki na ubaguzi, hapa niwakumbushe kidogo, wakati wa vita ya kagera wanganda waliwashangilia wanajeshi wetu na pengine kutoa msaada dhidi ya wanajeshi wao si kwa kuwa waliichukia nchi yao bali vitendo vya kibaguzi na chuki vilivyofanywa na watawala wakati huo. Kama Taifa tuanapaswa kujitafakari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona wasioitakia nchi mema waliivunja mkataba na kampuni hiyo na wao pia ndo walitoa hukumu mahakamani au walihonga mahakimu ,hawakuishia hapo wakasababisha serikali isiripe kwa muda deni halali ,pia wao ndo wameishika hiyo ndege,aidha ni wshenzi kuliweka hili wazi kwa walipa kodi .....HIVI MNAMFANYA NANI BASHITE HIVI HEBU PAMBANENI NA MADENI HALALI YENU
 
Mchakato umeingiliwa Na lissu Na umeingiliwa kisiasa. Lissu Na baadhi ya watu wa mataifa wasioipendea mema Tanzania,
Na mtatiro kaa chonjo habari tunazo
Jaribu kujifikirisha basi... Lissu ndo alificha huo mchongo?
Na kwa nini ulifichwa?

Wanatafuta nitoke vipi, kuwagombanisha upinzani na wanachi..
This tome around hatudanganyiki.
Msema kweli mpenzi wa Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa naanza kumwelewa Kagame kwa nn huwa hawachekei wasaliti wa nchi kama hawa! Huwezi kuhujumu nchi ukabaki kupigiwa makofi!! Ni Tz tu!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…