Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Wazee wa kutupia lawama wengine kwenye ubora wao

OvA
 
Yani ni bora Serikali ingekaa kimya...yani ife na tai shingoni kulikoni kujiabisha namna hii
 
Huyo msemaji wa serikali baadala ya kutuambia sababu ya ndege hiyo kukamatwa ameimba taarabu mwanzo mwisho, kwa viongozi wa aina hii tusitegemee maendeleo kamwe.
 
Haya ndio tumekuwa tukiyasema kila siku....Hawa wapinzani wa nchi hii wakae wakijua hawamkomoi MAGUFULI bali wanatukomoa sisi WATANZANIA
sasa wapinzani wametukomoa vipi?
hebu elezea point yako
 
Wamepigwa makofi ya usoni hadi udenda umeruka! Hahahahaaa!

!
!
Ha! Ha. Just ha! Ha

Hata mimi ngoja nicheke.....bwa ha ha ha😀

Bombadier imepotea kama ile ya malaysia

Sent using Jamii Forums mobile app

Acha afurahi

Tuna subiri kupimwa mkojo

Ndugu zangu tunafurahia lipi hapa!! Kuzuiliwa kwa bombadier?! Aibu kwetu! Bado tunahitaji miongo kadhaa kujitambua!! Mungu Ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika!!!!
 
Ndugu zangu tunafurahia lipi hapa!! Kuzuiliwa kwa bombadier?! Aibu kwetu! Bado tunahitaji miongo kadhaa kujitambua!! Mungu Ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika!!!!
Hapana mkuu hatufurahi kukamatwa kwa bombadia,tunafurahi majibu ya serekale
 
Imebidi ni ku - quote tu japo maelezo yako ni mengi sana!

Nani kakataa kuwa Tundu Lisu sio mwanasheria!? Fine, mwanasheria ana haki ya kumtetea yeyote ndio, ni lini hao wa Canada wameomba uwakili wake!? Kwa kesi ipi!? Na wakili anatafutwa na mteja au anatafuta mteja!

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama unaona hayo maelezo yangu ni mengi sana unaweza kusoma kitabu cha kurasa 1200?

Habari za wakili na mteja wake na mahusiano yao ni siri yao, inatetewa na faragha ya wakili na mteja, huelewi hilo?

Ukisema mwanasheria ana haki ya kumtetea yeyote, ukielewa kwamba "yeyote" inajumuisha hata mtu ambaye hajaomba utetezi (mwanasheria anaweza kutetea upande wa mtu katika mahojiano ya TV kwa sababu anaona upande huo ni wa haki, bila hata ya kuwa mwanasheria rasmi wa upande huo) halafu ukauliza ni lini hao wa Canada wameomba uwakili wake, kwa kesi ipi, na wakili anatafuta na mteja au anatafutwa na mteja unajionyesha hujui unataka kusema nini na unauliza maswali ambayo ushayafuta umuhimu wake pale ulipoandika "fine, mwanasheria ana haki ya kumtetea yeyote".

Ukishasema "mwanasheria ana haki ya kumtetea yeyote" hutakiwi kuanza kuuliza maswali kuhusu anayemtetea tena, kwamba lini wa Canada wameomba uwakili, kwa kesi ipi, nani anamtafuta mwenzake. Kuuliza maswali hayo ni kuji contradict.

Ni kama mtu anasema "unaruhusiwa kwenda mkoa wowote Tanzania" halafu anaanza kukuuliza maswali mengine mengi kama "ni lini umeenda Tabora, kwa usafiri gani, nani kaanzisha hiyo safari?".

Hayo maswali kabla ya kujibiwa ni lazima yawe justified kwamba yapo warranted na si unreasonable, ukishasema ni ruhusa kwa mtu kwenda mkoa wowote Tanzania, hayo maswali yana relevance gani? Kwa nini yajibiwe? Yana umuhimu gani wakati ushasema ni ruhusa kusafiri kwenda mkoa wowote Tanzania?

Unajichanganya kwa kukubali kitu, halafu kuhoji kitu kile kile ulichokikubali.
 
Hizi pesa akatwe kwenye mshahara wake zilipe hilo deni, ametuchosha kutuingiza kwenye hasara.
 
Kitu siyo uzalendo, kitu nikuwa traitors. Aliyewaambia hawa wazungu ni akili za mwafrika kabisa kachongea. Mzungu akikaa miaka 2 ana rwite off deni, bad debt anaachana nalo. Ila hii mbinu ya kufufua makaburi ya miaka 10 iliyopita ni mzungu kashawishiwa na akili za kiafrika, wicked one.

Hiii inaonekana aliye initiate ni kutoka ndani after all chief Magungo hawakuanza leo. Waambieni wazungu madeni yenu yote mwalipe mkatwe kodi ili myalipe ili mfurahie.
Unaandika na kutetea ujinga tupu, unataka watu wasiseme.
 
Kwa serikali hii ipo tayari kuficha Ufisadi ili ijulikane ipo safi. Huu ni ujinga tulipe vya watu
 
upinzani nao hautoi option or solution zaidi ya kulaumu badala ya kutoa mawazo nini kifanyike
Upinzani utoe solution kwa Serikali ipi..?? Serikali hii inayotaka kuhakikisha upinzani unakufa, Serikali hii inayonyanya Wapinzani kila siku, Serikali hii ambayo haitaki kusikia kitu kinaitwa upinzani..


Hebu wacha utani
 
Mnaona jinsi gani bado tuna safari ndefu?
Badala ya kuangalia wapi tulipojikwaa tukaanguka, tunaanza kugeuka kulia na kushoto kuona ni nani alituona wakati tunaanguka ili tumlaumu.
Very pathetic...

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni upumbavu wa "my government, right or wrong" huu pamoja na uzalendo uchwara.

Mzalendo hasa anatakiwa kuinanga serikali yake ikikosea ili kuinusuru nchi yake.

Sasa kuna watu wengi hapa hata hawajui kutofautisha serikali na nchi, wanaona serikali ni nchi na nchi ni serikali.

Wanaona kwamba ukiisema vibaya serikali, umeisema vibaya nchi.

Mark Twain aliandika "Patriotism is supporting your country all the time and supporting your government when it deserves it".

Sasa naona watu wengi wanachanganya "country" na "government" wanaona ni kitu kimoja.
 
Shangilieni kulipa deni. Na hata hiyo 2020 sifikiri kama mtatoboa, mtaendelea kushangilia kulipa deni.
Dawa ya deni kulipa lakini lazima tumwambie aliyesababisha deni NEXT TIME aache kufanya maamuzi ya kukurupuka.
 
Back
Top Bottom