Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Halafu anatokea mtu anagomea watu kufanya siasa kwani anajua wanasiasa wakiongea wataweka mambo hadharani. Hapa ndio naona jinsi Tundu Lisu alivyomzalendo kwa nchi yake na sio kujipendekeza kwa rais.
Mwengine kashakamatwa huko kwa kufanya siasa nje ya jimbo lake, hii miaka mitano hii wanasiasa kazi wanayo.
 
Asante sana Tundu Lissu..
Bila wewe hii habari muhimu ya kodi za watanzania isingetolewa..
Mungu Akulinde Mh Lissu.
Sio Tundu.ni Zito ' ie alianza kuulizia. Tundu akadandia gari kwa mbele. Hata hivyo mi nashangaa, issue za ndege zinashungulikiwa na serikali ndio ambayo iliamua inunue ndege.. bila kuhusisha manyang'au mengine. sielewi kwa nini wengine wanavalia bango mambo ambayo hata hayakuwahi kuwepo akilini mwao. Kiukweli akili zao zilikua ni kuchukua mafisadi, kuyasafisha na kuyasukumia mbele yagombee eti hata urais.. akilini mwao kulikuwa na sera za kutetea wafanyabiashara wakwepa kodi.. na wengine walikua wamelenga kuua ajenda za ufisadi.. hayo yoooooote yamewashinda yamedandia hii biashara.. hapo ndio utakapoona mapungufu ya sera kichwani yanavyoleta shida kwa sasa
 
Ni upumbavu wa "my government, right or wrong" huu pamoja na uzalendo uchwara.

Mzalendo hasa anatakiwa kuinanga serikali yake ikikosea ili kuinusuru nchi yake.

Sasa kuna watu wengi hapa hata hawajui kutofautisha serikali na nchi, wanaona serikali ni nchi na nchi ni serikali.

Wanaona kwamba ukiisema vibaya serikali, umeisema vibaya nchi.

Mark Twain aliandika "Patriotism is supporting your country all the time and supporting your government when it deserves it".

Sasa naona watu wengi wanachanganya "country" na "government" wanaona ni kitu kimoja.
Sielewi umeandika vitu gani hapa!
Inaelekea ulichoandika hata hukijui.
 
Sio Tundu.ni Zito ' ie alianza kuulizia. Tundu akadandia gari kwa mbele. Hata hivyo mi nashangaa, issue za ndege zinashungulikiwa na serikali ndio ambayo iliamua inunue ndege.. bila kuhusisha manyang'au mengine. sielewi kwa nini wengine wanavalia bango mambo ambayo hata hayakuwahi kuwepo akilini mwao. Kiukweli akili zao zilikua ni kuchukua mafisadi, kuyasafisha na kuyasukumia mbele yagombee eti hata urais.. akilini mwao kulikuwa na sera za kutetea wafanyabiashara wakwepa kodi.. na wengine walikua wamelenga kuua ajenda za ufisadi.. hayo yoooooote yamewashinda yamedandia hii biashara.. hapo ndio utakapoona mapungufu ya sera kichwani yanavyoleta shida kwa sasa
Muda mwingine iache akili ifanye kazi yake, sio makalio. Stu.pid
 
Dawa ya deni kulipa lakini lazima tumwambie aliyesababisha deni NEXT TIME aache kufanya maamuzi ya kukurupuka.

KWani nani kalisababisha deni ni la miaka 2006 aliyefuta huo mkataba ni Anna Abdalah.
 
Hao wanasiasa ndio walinyang'anya tender kinyemela?!

Hao wasioitakia mema nchi hii ndio mahakama iliyotoa huo uamuzi?

Mahakama iliyotoa huo uamuzi haitambuliki katika mkataba tuliosaini wenyewe na mkandarasi/mdeni wetu tukiwa na akili timamu?

Nani amesema mkilipa deni la watu hiyo ndege haiji?

Mbona mnataka kutufanya nchi nzima mabashite?

Alafu mbona mliukuwa mnafanya siri?!

Nyinyi mlioamu kufanya siri kwa walipa kodi na alieamua kuwaeleza ukweli walipa kodi,ni nani mzalendo?

Anaetuambia kila siku msema kweli ni mpezni wa Mungu ni nani kama sio boss wake?

Pathetic!!
PATHETIC INDEED,
 
Sio Tundu.ni Zito ' ie alianza kuulizia. Tundu akadandia gari kwa mbele. Hata hivyo mi nashangaa, issue za ndege zinashungulikiwa na serikali ndio ambayo iliamua inunue ndege.. bila kuhusisha manyang'au mengine. sielewi kwa nini wengine wanavalia bango mambo ambayo hata hayakuwahi kuwepo akilini mwao. Kiukweli akili zao zilikua ni kuchukua mafisadi, kuyasafisha na kuyasukumia mbele yagombee eti hata urais.. akilini mwao kulikuwa na sera za kutetea wafanyabiashara wakwepa kodi.. na wengine walikua wamelenga kuua ajenda za ufisadi.. hayo yoooooote yamewashinda yamedandia hii biashara.. hapo ndio utakapoona mapungufu ya sera kichwani yanavyoleta shida kwa sasa
Unashangaa wananchi wanapohoji habari zinazohusu matumizi ya fedha zao za kodi?

Unafikiri serikali inatoa wapi hizo fedha za kununua ndege na kulipa wakandarasi?
 
Ndugu zangu tunafurahia lipi hapa!! Kuzuiliwa kwa bombadier?! Aibu kwetu! Bado tunahitaji miongo kadhaa kujitambua!! Mungu Ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika!!!!
Kucheka Lazima maana hiki ni Kituko

Ova
 
CCM walishakata tamaa na serikali yao kabisa.
Ni sahihi kuota ndoto za mchana za dua hasi, japo matunda ya utawala wa sasa ni kwa Watanzania wote.

Wakati mnashabikia uzushi na umbeya, Serikali iko kazini kuleta maendeleo.
 
dahh.. huyu lisu huyu.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio huyu ambaye alikuwa akiliaminisha Taifa kuwa Lowasa ni fisadi papa na hawezi kusafishika milele..au yupiii wajameni tupeni majibu. Tundu huyu aliekua akisema Barrick hawatakaa na serikali na kuzungumza, wataipeleka mojakwamoja mahakamani. Au yupiii
 
Back
Top Bottom