kikokoti
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 678
- 275
Msitufanye Watanzania wote punguani kawadanganye Lumumba wenzako wenye akili za kushikiwa na Mkiti.
Naona tukija na hoja za mantiki wanasepa.
Kuna watu unaanza kubishana nao kwa kasi halafu mmoja mmoja anasepa hawajibu hoja.
deni ni la 2009 acha ukuda bobKWani nani kalisababisha deni ni la miaka 2006 aliyefuta huo mkataba ni Anna Abdalah.
Ununuzi wa ndege ya 3 ya Bombadier umeingiliwa na mgogoro uliotengenezwa na wanasiasa na watu wasioitakia mema Tanzania.
"Wanasiasa waliotengeneza mgogoro huo wanahujumu maendeleo ya nchi na usalama wa raia"-Kaimu Mkurugenzi Mkuu-Idara ya Habari Zamaradi Kawawa
Ndege ya 3 ya Bombadier ipo na inakuja kwahiyo wananchi waiamini Serikali yao. Serikali imesikitishwa na ushiriki wa wanasiasa na baadhi ya watu kuhujumu maendeleo ya nchi.
Watanzania tuwe wazalendo kulinda,kutetea na kukabiliana na hujuma zozote zinazorudisha nyuma maendeleo ya Nchi.
Watanzania, Tuunge mkono jitihada za Rais Magufuli katika kuleta maendeleo bila kujali itikadi ya chama, kabila au dini. Kuhusiana na mgogoro wa ununuzi wa ndege hatua za Kidiplomasia na sheria zimeanza kuchukuliwa ili kumaliza jambo hili.
Unaweza kusoma mwenyewe tweets za kaimu msemaji wa serikali.
View attachment 570220
View attachment 570219
Ulinzi wa Mungu unamtosha....... Binadamu wasaliti sana
Serikali ilipe deni tu.Na sisi tuishitaki Kampuni iliyopata tender ya kututengenezea ndege kwa kuvunja mkataba kwa kutotukabidhi ndege according to mkataba. Awali ya yote naona hao walioshika hiyo ndege wameingia mkenge kama tungekuwa nawanasheria wasiogopa wazungu. Mimi nahoji hiyo ndege inakuwaje mali yetu kabla ya kukabidhiwa? Au hayo yalishafanyika? Hiyo ndege kama ni yetu ina namba za uajili za Tanzania? Hatuoni kama madai ya kukurupuka kwa serikali yetu kunafanana na kukutupuka kwa serikali ya wenzetu? Basi na sisi tucheze karata zetu vizuri ili tufidiwe matrilion ya fedha kwa kucheleweshewa ndege yetu. Sisi tunakomaa na kiwanda tu
Sent using Jamii Forums mobile app
deni ni la 2009 acha ukuda bob
ha! ha!
Just hahaah!!! hahahaha!!!
Kadiri unavyozidi kutiririsha pumba ndivyo unavyojianika zaidi na kuonyesha jinsi ulivyo upstairs, pole!Huelewi nini? Huelewi maana ya maneno "kuinanga" na "kuinusuru"?
Usipoeleza kinagaubaga usichoelewa usiowaelewa watashindwa kukuelewesha kwa sababu katika kusema kwako huelewi na wewe hueleweki.
Au na wewe ni kati ya wale msiojua tofauti ya nchi na serikali?
Wewe unasema huelewi nilichoandika halafu unasema kitu hicho hicho usichokielewa mimi niliyekiandika sikijui?
Ni kama umeangalia hyeroglyphics za Wamisri wa kale ukatoka patupu hujaelewa kilichoandikwa, halafu ukaishia kusema "hawa walioandika hapa hata hawajui wameandika nini".
Utakuwa mjinga. Kwa sababu umerukia kusema hawajui walichoandika bila ya kuelewa wameandika nini.
Acha ujinga, kama hujaelewa uliza ueleweshwe halafu kama ulichoeleweshwa unaona anayekuelewesha haelewi hapo ndipo useme hivyo, kwa hoja.
Si kwa ku dismiss kitu usichokielewa.
Dismissing what you don't understand is the hallmark of a fool.
kwan we hutalipia hilo deni?Sasa tuone kama hutalipa deni kwa nguvu, na utalia maisha magumu na kodi lazima ulipe utake usitake, ili hilo deni lilipwe. Na hutasikia serikali itayolia njaa, wewe ndo utakamuliwa na ndo utalia njaa. Chongeaneni tena tafuta deni jingine, ili wewe kamanda usiwe mjinga.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....Kagame mti mkavu hana utani hata kiduchu.Mkuu huyu jamaa TL hata kipindi cha Mkapa sasa hivi ingekuwa story nyingine,ila dawa yake inachemka kwa kasi sana,kile kitambi kitashuka ghafla kama puto(balloon).Kagame huwa anawafata hata U.S anawatungua huko huko kwa maslahi mapana ya nchi.
kwan we hutalipia hilo deni?
anyway kama wewe haupo nchini c unatuma hela?
c kuna babu zako huku
uzuri wa bongo asie kua na kazi na aliekua nayo wote wanalipa kodi
ha! ha! ha! Just hahah.... hahaa!!!!!!
Kwa hyo mmeamuaje ss lipen deni acha kupayuka mzee mkuki kwa nguruwe kwa binadam mchunguMchakato umeingiliwa Na lissu Na umeingiliwa kisiasa. Lissu Na baadhi ya watu wa mataifa wasioipendea mema Tanzania,
Na mtatiro kaa chonjo habari tunazo
Lipen deni hizi n drama tu mnafanya hku JFUnunuzi wa ndege ya 3 ya Bombadier umeingiliwa na mgogoro uliotengenezwa na wanasiasa na watu wasioitakia mema Tanzania.
"Wanasiasa waliotengeneza mgogoro huo wanahujumu maendeleo ya nchi na usalama wa raia"-Kaimu Mkurugenzi Mkuu-Idara ya Habari Zamaradi Kawawa
Ndege ya 3 ya Bombadier ipo na inakuja kwahiyo wananchi waiamini Serikali yao. Serikali imesikitishwa na ushiriki wa wanasiasa na baadhi ya watu kuhujumu maendeleo ya nchi.
Watanzania tuwe wazalendo kulinda,kutetea na kukabiliana na hujuma zozote zinazorudisha nyuma maendeleo ya Nchi.
Watanzania, Tuunge mkono jitihada za Rais Magufuli katika kuleta maendeleo bila kujali itikadi ya chama, kabila au dini. Kuhusiana na mgogoro wa ununuzi wa ndege hatua za Kidiplomasia na sheria zimeanza kuchukuliwa ili kumaliza jambo hili.
Wewe kwa kuwa hujanisahihisha kwa kunieleza maana za maneno hayo, umejionyesha unaleta pumba zaidi ya zozote nilizoweza kuleta mimi.Kadiri unavyozidi kutiririsha pumba ndivyo unavyojianika zaidi na kuonyesha jinsi ulivyo upstairs, pole!
Jaribu kuchunguza zaidi maana ya maneno haya: kunanga na kunusuru.