Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Haya ndio tumekuwa tukiyasema kila siku....Hawa wapinzani wa nchi hii wakae wakijua hawamkomoi MAGUFULI bali wanatukomoa sisi WATANZANIA
Hakika wewe in genius
Wengi hawajui kuwa mkulu akikurupuka matokeo yake huwa ni wapinzani kusababisha wananchi wakomolewe.
Quantum Coefficient of correlation

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama umenisoma hapo juu nimesema tutalipa wote aliyekuemo na asiyekuwemo. Sasa nashangaa mtu kururahia kulipishwa kodi zaidi ili maisha yake yawe mabaya zaidi.
Ha ha ha Just ha ha ha kishavuta chake. Wacha maisha yawe taiti.
so we ulfkiri namba tnaisoma wapinzani tuu?
ivo ivo ma.gu timu akili kisude nguvu kontena had 2020 ttakua tnaongea lugha 1 au vp?

ha! ha! just bwaah bwaaah bwaaah
 
Eti wamehatarisha usalama wa raia.

Ukisema ndege ya Tanzania imekazwa hukumu Canada unahatarisha vipi usalama wa raia Tanzania?

Daaaah... ruling class soft-headedness
 
mkuu leo nlikua na wazo kama hili lako halaf hiyo kesi si haina dhamana , yaani wanakaa ndani hadi wakija toka ni 2012 Magu yuko awamu ya pili mwaka wa pili
Mkuu, wewe unahesabu miaka kurudi nyuma?
2012 ilishapita mkuu.
 
Yaan kesi ya 2010 aliyesababisha ni Tundu lissu?? Yaan hata kama mnatuona mazoba sio kwa kiwango hiki. Tundu lissu alikua wakili wa hiyo kampuni?? Kwann mnatuona malofa na vichaa wakat tuna akili timamu??
 
Huu ni upumbavu wa hali ya juu. Uovu afanye dikteta uchwara halafu kufungwa afungwe kamanda Lissu! Kweli nchi hii upumbavu unazidi kushamiri kwa kasi ya kutisha. Anayestahili kufungwa hapa ni mhujumu uchumi mkwapuzi wa nyumba serikali, mnunuzi wa kivuko uozo, anayechota pesa hazina in trillions bila ya idhini ya Bunge, aliyekwapua mabilioni ya waathirika wa tetemeko etc.

upload_2017-6-13_14-5-10-jpeg.570380


Habari zenu wakuu, serikali ya awamu ya tano inajitahidi kwa hali na mali kuhakikisha Tanzania inapiga hatua kiuchumi ili kujikwamu kutoka dunia ya tatu kwenda dunia ya pili.Tumeona Juhudi kubwa zikifanyika katika kuhakikisha hilo linawezekana.Tumeona jinsi serikali ilivyodhibiti ufisadi ambao kwa kiasi kikubwa uliturudisha nyuma.

Tunaona serikali ilivyojitahidi kujenga miondombinu nzuri ili kuhakikisha kila kona inafikika tena kirahisi ikiwezekena miaka ya mbele mtu awe anaishi morogoro anafanya kazi dar es salaam.Tumeona upokonywaji wa viwanda kwa watu walioshindwa kuviendeleza ili vienelezwe.Tumeona jinsi wawekezaji wanavyobanywa ili rasilimali zitunufaishe watanzania.

Lakini kumeibuka wanasiasa njaa wachache wenye njaa ambao wanatumika na watu wasiitakia mema Tanzania yetu kama vile mafisadi wauza madawa na wawekezaji wengi kurudisha nyuma juhudi za mh Rais katika kuleta maendeleo kwa kuwachochea na kuwashawish wananchi wasimuunge mkono mh Rais.Pia wanatumika katika kueneza habari za uongo zenye lengo la kuwakatisha tamaa wananchii.Tunaomba serikali iwachukulie hatua wanasiasa wa namna hii ikiwezekana washitakiwe kama wahujumu uchumi au wahaini.
 
Bei ya Bombadia Moja tume tununua kwa Bei Ya Mbili .....yaani ingekua sio kuvunja mikataba kibabe basi Bombadia zingekua 4 bukheri
 
Back
Top Bottom