Yaan kesi ya 2010 aliyesababisha ni Tundu lissu?? Yaan hata kama mnatuona mazoba sio kwa kiwango hiki. Tundu lissu alikua wakili wa hiyo kampuni?? Kwann mnatuona malofa na vichaa wakat tuna akili timamu??
Ndio kuchanganyikiwa huko. Na bado, ***** namba tuisome wote, sisi na yeye..
Na nasema hivi hiyo ndege isirudi, laana za ndugu zetu wanaokufa kwa kukosa dawa hospitalini kisa pesa zimepelekwa kwenye ndege ziwashukie, wakose amani ya nafsi Leo na hata milele.