Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Naona huu uzi utakuwa hotter than ule mwingine ....wenye more than 130 replies just in a day....mmh
 
Hao wasiotutakia mema ni wanasiasa gani tuwakamate?
 
Kwani hilo deni alisababisha nani? Kwa nini huwalaumu hao? Sisi hata tukilia haitatusaidia tutalipishwa tu

Hilo deni kimsingi siyo deni lilikua kukatiza mikataba miaka ya 2000 hivi, ilikuwa dei la madai kuvunja mkataba. Sasa mmechokonoa kwa kushitakiana kwa wazungu, wakati wao walishalisahau na kuachana nalo. Sasa deni lilipwe kwa wanachi kukamuliwa kodi zaidi hakuna namna.
 
Unaenda kumtunza mpiga guitar wakati muimbaji anakudai hujamlipa?
 
Kwani kuna ambao wanajisikia vizuri mambo yetu ya maendeleo kukwama? Na kuyafanya kichekesho na kebehi? Mbona yanapo mwagwa mapesa nama mabilionea nchini hatuwi Wa kwanza kusifu Sera nzuri ziliopo? Tunaitkia nchi hii mabaya tu?' "What a shame"!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Shangilieni kulipa deni. Na hata hiyo 2020 sifikiri kama mtatoboa, mtaendelea kushangilia kulipa deni.
 
HAPA KAZI TU MTAKOMA MLIOZOEA VYA KUNYONGA VYA KUCHINJA HAMUVIWEZI !
 
Mchakato umeingiliwa Na lissu Na umeingiliwa kisiasa. Lissu Na baadhi ya watu wa mataifa wasioipendea mema Tanzania,
Na mtatiro kaa chonjo habari tunazo
Wewe hujitambuwi,lakini kosa lako alishalieleza Plato kabla hata babu yako hajazaliwa.Alisema kuwa mtu anayeishi bila reasoning ni sawa na mfu.
 
Hapa hakuna jambo jipya hata kidogo. Alichofanya Tundu Lissu ni kutoa siri za client wake kwa manufaa yake binafsi ya kisiasa. Tundu Lissu ni mshauri wa kisheria wa kampuni ya Stirling Civil Engineering Ltd iliyokuwa imepewa kandarasi husika.
 
Sasa naanza kumwelewa Kagame kwa nn huwa hawachekei wasaliti wa nchi kama hawa! Huwezi kuhujumu nchi ukabaki kupigiwa makofi!! Ni Tz tu!!!!
Mkuu huyu jamaa TL hata kipindi cha Mkapa sasa hivi ingekuwa story nyingine,ila dawa yake inachemka kwa kasi sana,kile kitambi kitashuka ghafla kama puto(balloon).Kagame huwa anawafata hata U.S anawatungua huko huko kwa maslahi mapana ya nchi.
 
To me naona both parties wanapenda leta siasa on serious things, gov imeshindwa kulihandle professional na upinzani nao hautoi option or solution zaidi ya kulaumu badala ya kutoa mawazo nini kifanyike

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo mawazo au solution wautoeje wakati jamaa hashauriki,hapangiwi na ukifanya hivyo ndiyo "unaharibu kabisaa!'
 
Lazima acheke kwakuwa yupo kwenye biashara ya kuuza nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na bado mpaka tujue rangi zenu halisi,,

mda ni msema kweli

Nakwenda_Zimbabwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…