YING AND YANG
Member
- Jul 23, 2017
- 72
- 70
Hakika wewe in geniusHaya ndio tumekuwa tukiyasema kila siku....Hawa wapinzani wa nchi hii wakae wakijua hawamkomoi MAGUFULI bali wanatukomoa sisi WATANZANIA
Majibu yke Yan km mchuzi wa maharage sijui ya wap?Huyu msemaji waserikali ametoa majibu yahovyo sijapata kuona.
so we ulfkiri namba tnaisoma wapinzani tuu?Kama umenisoma hapo juu nimesema tutalipa wote aliyekuemo na asiyekuwemo. Sasa nashangaa mtu kururahia kulipishwa kodi zaidi ili maisha yake yawe mabaya zaidi.
Ha ha ha Just ha ha ha kishavuta chake. Wacha maisha yawe taiti.
wakija kutuka watakuja kushangaa treni za umeme na mafly over na ndege za kumwagamkuu leo nlikua na wazo kama hili lako halaf hiyo kesi si haina dhamana , yaani wanakaa ndani hadi wakija toka ni 2012 Magu yuko awamu ya pili mwaka wa pili
Mkuu, wewe unahesabu miaka kurudi nyuma?mkuu leo nlikua na wazo kama hili lako halaf hiyo kesi si haina dhamana , yaani wanakaa ndani hadi wakija toka ni 2012 Magu yuko awamu ya pili mwaka wa pili
Kwa hyo km wamewanyima kufanya mikutano Yao unazan kwa fikra zenu mgando watafanya nn km sio propagandaHaya ndio tumekuwa tukiyasema kila siku....Hawa wapinzani wa nchi hii wakae wakijua hawamkomoi MAGUFULI bali wanatukomoa sisi WATANZANIA
Ha!ha Just ha!hawakija kutuka watakuja kushangaa treni za umeme na mafly over na ndege za kumwaga
Habari zenu wakuu, serikali ya awamu ya tano inajitahidi kwa hali na mali kuhakikisha Tanzania inapiga hatua kiuchumi ili kujikwamu kutoka dunia ya tatu kwenda dunia ya pili.Tumeona Juhudi kubwa zikifanyika katika kuhakikisha hilo linawezekana.Tumeona jinsi serikali ilivyodhibiti ufisadi ambao kwa kiasi kikubwa uliturudisha nyuma.
Tunaona serikali ilivyojitahidi kujenga miondombinu nzuri ili kuhakikisha kila kona inafikika tena kirahisi ikiwezekena miaka ya mbele mtu awe anaishi morogoro anafanya kazi dar es salaam.Tumeona upokonywaji wa viwanda kwa watu walioshindwa kuviendeleza ili vienelezwe.Tumeona jinsi wawekezaji wanavyobanywa ili rasilimali zitunufaishe watanzania.
Lakini kumeibuka wanasiasa njaa wachache wenye njaa ambao wanatumika na watu wasiitakia mema Tanzania yetu kama vile mafisadi wauza madawa na wawekezaji wengi kurudisha nyuma juhudi za mh Rais katika kuleta maendeleo kwa kuwachochea na kuwashawish wananchi wasimuunge mkono mh Rais.Pia wanatumika katika kueneza habari za uongo zenye lengo la kuwakatisha tamaa wananchii.Tunaomba serikali iwachukulie hatua wanasiasa wa namna hii ikiwezekana washitakiwe kama wahujumu uchumi au wahaini.
Punguza haraka na kukurupuka huo mwaka ni kwa mujibu wa Before Christ aumkuu leo nlikua na wazo kama hili lako halaf hiyo kesi si haina dhamana , yaani wanakaa ndani hadi wakija toka ni 2012 Magu yuko awamu ya pili mwaka wa pili
Mkuu ota kwanza mkia.Ni sahihi kuota ndoto za mchana za dua hasi, japo matunda ya utawala wa sasa ni kwa Watanzania wote.
Wakati mnashabikia uzushi na umbeya, Serikali iko kazini kuleta maendeleo.
hata wakishinda watakuwa washaisoma namba rumandeNinadhani hapa swala la kutafakari ni kuwa kwanini wamefanya waliyoyafanya kuwashtaki hairasaidia watashinda tu hiyo kesi