Yaan kesi ya 2010 aliyesababisha ni Tundu lissu?? Yaan hata kama mnatuona mazoba sio kwa kiwango hiki. Tundu lissu alikua wakili wa hiyo kampuni?? Kwann mnatuona malofa na vichaa wakat tuna akili timamu??
hata wakishinda watakuwa washaisoma namba rumande
Ona ulivyo pimbi hujui hata miaka inavyokwenda..mkuu leo nlikua na wazo kama hili lako halaf hiyo kesi si haina dhamana , yaani wanakaa ndani hadi wakija toka ni 2012 Magu yuko awamu ya pili mwaka wa pili
Mbaya zaidi aliyekiuka mkataba huo ni Pombe himself akiwa waziri wa ujenzi 2009.87b, mzigo anatwishwa mtanzania afu Bado wapumbavu wachache wanaojitahidi kumsifia kiranja wao ili wapewe nafasi ya kula jasho la watanzania bila huruma.
Shame shame shame shame
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa mwendo huu akili kisude nguvu kontena? 2020 ni kama kumpiga teke chura....Hasa nyie mnaoshabikia namba lazima muusome tena zote, maana deni litalipwa kwa kodina zenu zikiwemo hata hivyo 2020 hamtoboi na 2025 hamtoboi.
Kweli kwa kasi hii ya magu tunarudi nyuma to 2012mkuu leo nlikua na wazo kama hili lako halaf hiyo kesi si haina dhamana , yaani wanakaa ndani hadi wakija toka ni 2012 Magu yuko awamu ya pili mwaka wa pili
Chief unaamini kabisa wazungu walikuwa wamesahau 20m dollars ambayo mahakama ilihukumu in their favour walipwe? Yaani kukosa Lisu kusema wangeiacha ipotee?Hilo deni kimsingi siyo deni lilikua kukatiza mikataba miaka ya 2000 hivi, ilikuwa dei la madai kuvunja mkataba. Sasa mmechokonoa kwa kushitakiana kwa wazungu, wakati wao walishalisahau na kuachana nalo. Sasa deni lilipwe kwa wanachi kukamuliwa kodi zaidi hakuna namna.
Mkuu ahsante kwa hii data, ngoja niitunze mapambano bado yanaendeleaHuu ni upumbavu wa hali ya juu. Uovu afanye dikteta uchwara halafu kufungwa afungwe kamanda Lissu! Kweli nchi hii upumbavu unazidi kushamiri kwa kasi ya kutisha. Anayestahili kufungwa hapa ni mhujumu uchumi mkwapuzi wa nyumba serikali, mnunuzi wa kivuko uozo, anayechota pesa hazina in trillions bila ya idhini ya Bunge, aliyekwapua mabilioni ya waathirika wa tetemeko etc.
Mkuu ahsante kwa hii data, ngoja niitunze mapambano bado yanaendelea
Ujinha wa ccm ni kuwekeza kwenye vitu. Vitu haviwezi kuleta maendeleo. Wekezeni kwa watu wenu hivyo vitu vitakuja vyenyewe. Hata mjenge flayober za ghorofa 7 haisaidii kitu sana sana mtakuwa mmewapa watu wenu masikini wasio na makaazi sehemu za kulala chini ya hayo madaraja.wakija kutuka watakuja kushangaa treni za umeme na mafly over na ndege za kumwaga
Mchakato umeingiliwa Na lissu Na umeingiliwa kisiasa. Lissu Na baadhi ya watu wa mataifa wasioipendea mema Tanzania,
Na mtatiro kaa chonjo habari tunazo
Lissu kawashika pabaya.Habari zenu wakuu, serikali ya awamu ya tano inajitahidi kwa hali na mali kuhakikisha Tanzania inapiga hatua kiuchumi ili kujikwamu kutoka dunia ya tatu kwenda dunia ya pili.Tumeona Juhudi kubwa zikifanyika katika kuhakikisha hilo linawezekana.Tumeona jinsi serikali ilivyodhibiti ufisadi ambao kwa kiasi kikubwa uliturudisha nyuma.
Tunaona serikali ilivyojitahidi kujenga miondombinu nzuri ili kuhakikisha kila kona inafikika tena kirahisi ikiwezekena miaka ya mbele mtu awe anaishi morogoro anafanya kazi dar es salaam.Tumeona upokonywaji wa viwanda kwa watu walioshindwa kuviendeleza ili vienelezwe.Tumeona jinsi wawekezaji wanavyobanywa ili rasilimali zitunufaishe watanzania.
Lakini kumeibuka wanasiasa njaa wachache wenye njaa ambao wanatumika na watu wasiitakia mema Tanzania yetu kama vile mafisadi wauza madawa na wawekezaji wengi kurudisha nyuma juhudi za mh Rais katika kuleta maendeleo kwa kuwachochea na kuwashawish wananchi wasimuunge mkono mh Rais.Pia wanatumika katika kueneza habari za uongo zenye lengo la kuwakatisha tamaa wananchii.Tunaomba serikali iwachukulie hatua wanasiasa wa namna hii ikiwezekana washitakiwe kama wahujumu uchumi au wahaini.
mkuu leo nlikua na wazo kama hili lako halaf hiyo kesi si haina dhamana , yaani wanakaa ndani hadi wakija toka ni 2022 Magu yuko awamu ya pili mwaka wa pili
AmeennnnAsante sana Tundu Lissu..
Bila wewe hii habari muhimu ya kodi za watanzania isingetolewa..
Mungu Akulinde Mh Lissu.