Sawa kabisa ana siasa za kiserikali serikali zinambana pumzi magu
Bado sijashawishika kabisa mkuu...bado naamini kuna kitu hakipo sawa.Nadhani inategemea na mahali ilipokuwa na ilikuwa chini ya umiliki wa nani. Kama tulishakabidhiwa wanatudaka.
Ndio inavyokuwaga mkuuAtafukuzwa kwa kusema ukweli
Serikali ya ajabu kweli, ndiyo maana ufanisi ni ziro.Ndio inavyokuwaga mkuu
Wa kusema ukweli, nakubaliana na wewe mkuu
Atakuwa kajichanganya na sasa anajutia huko alipo kwa kumjibu LisuMsemaji wa serikali alikuwa anasema yaliyomo moyoni mwake tu. Siamini kama alitumwa na serikali kusema vile.
Maskini wa mungu nadhani hamfahamu vizuri Lissu. Kubadilishana hoja na Lissu inatakiwa uwe na uwezo wa juu wa kufikiri.Atakuwa kajichanganya na sasa anajutia huko alipo kwa kumjibu Lisu