Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Wasaliti wa nchi yetu ni CCM na SERIKALI for more than 50 years in power. Mlikunywa wine za gharama huku mkitafuna korosho wakati MNAWALETA hao mnaosema WEZI wa maliasili zetu,leo mnasukumia matatizo yenu kwa watu waliopiga kelele kupinga na kuibua madudu yenu. Magu hana maajabu yoyote ya kuitoa nchi ilipo kuivusha katika NCHI YA ASALI na MAZIWA as long as ni OFFSPRING ya CCM (MFUMO). Napenda ari yake na matamanio yake kwa taifa ila his hands are tied,you will see it mwisho wa siku.
 
Wasaliti siyo ccm wote kuna baadhi kama lisuu Na wengine
 
Kama sheria hzo zingetumika tz watu wa kwanza kukumbana nazo wangekuwa hao waliolifikisha taifa ktk hali hii yakuwa omba omba

Sent using Jamii Forums mobile app
Iweje mtu mmoja alitie Taifa hasara sn kuliko wengine?

Meli Trillion 1.2...
Bombadier 87B
Petro station 700m
Nyumba more than 100 trillions
ACACIA/Makinikia 5 Trillions.
IPT Madabida 60 Billions

Symbion.. Trillions

Afu kuna mtu humu eti Samuel kazi yake tokea jana ni kumutishia uhai T. Lissu.

JPM KAMATA WEZI
 
Kaka tusiwe Na jazba, lakin nimesema wasaliti pamde zote
 
Kuna sehem katajwa Lissu?
 
Kwahiyo kwa mtazamo wako mkimuua TUNDU LISU deni haltalipwa, Kwa mtazamo wako maslai mapana ni Ni uvunjaji wa mikataba usiozingatia ushauri wa kisheria
 
na wale:
walioficha mahela nje?
waliojigawia posho za eskro?
wenye kusafirisha twiga wetu kuleee?
waliomaliza tembo wetu?
waliouzia wenzao Dawa feki za vvu?
haw nao sio wahaini?
 
na wale:
walioficha mahela nje?
waliojigawia posho za eskro?
wenye kusafirisha twiga wetu kuleee?
waliomaliza tembo wetu?
waliouzia wenzao Dawa feki za vvu?
haw nao sio wahaini?
 
Laana ya uwaji bashite bwana umekuja kujitangazia jinsi
munavyooua mumesahau wauaji nao wana uliwa kwa aibu kwa kunyongwa kuburuzwa mitaani kama mbwa kutumbukizwa kwenye mashimo wengine walitiwa majiti kwenye njia ya choo wewe nawanaokutuma mtafanyiwa hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…