Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Haiitaji Ph D kujua kama madeni lazima yalipwe na mikataba lazima ieshimiwe. JPM na serikali yake wanafunga biashara nyingi kwa kushindwa kulipa madeni, JPM ame auction majumba ya watu, hakujali watu waliokuwa wanaishi majumbani umo. Next, Ubalozi wa Italy and DC, lazima majengo yale yauzwe kulipa madeni yaliyosababishwa na ubabe wa Pombe
 
Tupige kura ya wazi na kutoa maoni yetu juu ya wanaoshirikiana na wahujumu wa uchumi.
 
Hivi deni la samaki wa Magufuli limeisha tusijeagiza mv bagamoyo mpya hela ikabebwa tena
 
Tupige kura kati ya nani na nani,kati ya kipi na kipi???

[HASHTAG]#jingalao[/HASHTAG]
 
Serkali..tunaomba mlipe deni mnalodaiwa..Panga boy litue KingsLanding/magufulisLanding
[HASHTAG]#maendeleo[/HASHTAG] hayana chama
 
pongezi serikali imejibu kwa wakati muafaka lakini jibu la kuingiza wanasiasa halijakaa vyema tujulisheni kabisa tujue nchi nzima kila mmoja anadaiwa bei gani!
 
Dawa ni kulipa deni Bombardier iachiwe kule Canada..
There's no short-cut..
Mungu Akulinde Tundu Lissu.
Taifa lina madeni mengi sana ....kiasi kwamba mali zetu zikishikwa itakuwa ni hatari.
 
Na mkiagiza dream liner Barrick watakuwa wameshinda kesi.Tutaikamata na kuipiga mnada kupata malipo ya awali ya madai yetu.Baada ya hapo tutakamata mali zote za Tanzania zilizopo Canada Uingereza na Marekani. Hatutaki mzaha na ushenzi sisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…