Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Amani ya nchi ikivurugika wasaliti watakimbilia kwa waliowatuma wewe mleta mada uliyepo hukio nakapanya utakimbilia wapi.

Kuweni makini na wanasiasa wasio na misimamo kama hao watetezi wa accacia.
Kwani aliyekurupuka kuvunja mkataba na kusababisha tushtakiwe na kushindwa mara 2 katika mahakama za kimataifa ni Tundu Lissu?
 
!
!
Naona waLUMUMBA wamekuwa wapole mno Leo humu JamiiForums. Siwaoni kabisa. Wapi [HASHTAG]#Polepole[/HASHTAG]

Hawana hoja ya kutetea huu uozo, sasa hivi wanatangaza Lissu auliwe waziwazi hapa jukwaani. Kuna kama wawili mpaka nikawajibu na kuihoji TCRA ile kasi ya kukamata watukanaji imeenda wapi wakati watu wanamtaka rais amuue Tundu Lissu kiwaziwazi hivi na hawawachulii hatua?
 
Kwahiyo nyie ccm mnaoabudu waganga wa kienyeji na mbio za mwenge ndio malaika?
 
Amani ya nchi ikivurugika wasaliti watakimbilia kwa waliowatuma wewe mleta mada uliyepo hukio nakapanya utakimbilia wapi.

Kuweni makini na wanasiasa wasio na misimamo kama hao watetezi wa accacia.

Alievunja mkataba ndio alipe, hatutaku ujinga.
 
kiukwel kama nchi inatakiwa tushikane katika hili,kwann tundu lisu anaonekana kuwa abudu sana hawa jamaa pamoja na kupata habari kwa haraka zaidi.... zihusuzo hawa jamaa na nchi yetu ninawasiwasi ,nakwann yupo upande wa kutukandamiza tu ,nikusema viongozi wetu wanakosea tu hakuna wanayofanya mazuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Crap. Hata kuandika katika mtiririko mzuri inaonekana ni tatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu yeyote mwenye mapungufu ya uelewa hawezi kuelewa post za wanaoelewa, kwake mtu huyu mtililiko mzuri wa uandishi ni kuisema vibaya Serikali na kumsifu Mbowe Ziro na Dj, kumsifu Lowasa Fisadi , kumsifu Shetani Lisu. Lakini kinyume na hapo mtililiko haupo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kweli efd ni maamuzi ya ajabu kweli ,lengo rerikali ipate mapato ni aibu kushindwa kubuni vyanzo vya mapato ambavyo ni endelevu, nasikia watumishi wa umaa (walimu ) kule mwanza walilazimishwa kununua vitenge na washone mavazi kama sare ya mwenge na waka ambiwa lazima wakakeshe kwenye mwenge, mi nmemwambia mama watoto wangu ambaye ni mwalimu hakuna kitu kama hicho. sasa najiuliza ina maana viwanda wanavyo jivunia bidhaa zake zimekosa soko hadi walimu walazimishwe kuzinunua? Badae watu wakihoji utasikia wanasiasa wanakwamisha viwanda kweli? suala la malizetu kukamatwa nje ya nchi ni jambo baya ,tufikie mahala wanao sababisha hasara wawajibishwe mmojammoja .
 
Hizi ndege tatu zilizo nunuliwa CASH .....kwa kwel bora wange JENGA FLYOVER nyingine maana gharam yake ni sawa sawa na kujenga FLYOVER nyingen kama ya TAZARA ingeleta IMPACT kubwa kweny UCHUMI .

Kwa style hii ya madeni tuliyo kuwa nayo kama kwel yapo tuna daiwa na makapuni ya NJE hizi ndege haziko salama kabisa laabda tufanye safari zetu humu humu ndani .



Zimwi likujualo......
 
Kwanza mwanasiasa anakwamishaje?Hawa Ccm wakiishiwa hoja tu wanakimbilia kuwadanganya mbumbumbu.
Kuhusu kuibiwa madini wapinzani walipayukaaaaa weeee mwishowe wakaambiwa wabaionea wivu ccm na wakatolewa nje ya bunge.
Sakata limerudi tena wanamuunga mtu mkono kwa yaleyale yaliyowatoa wengine nje.
OIL CHAFU.

Habeeb Marhan
 
Waliokwamisha ndege yetu ni
No.1 malaika mkuu
No.2 malaika mkuu
No.3 malaika mkuu
..................
...................
...................
...................
....................
....................
No.10 malaika mkuu
Yani yeye ndio mleta hasara mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…