Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Rais kwa Tanzania ni mtu mkubwa sana. Kama kweli mnasema L angekuwa adui ya JPM kama JPM. LIsu ataponaje. Kuweni na akili na acheni kuweka maneno kwa Rais. Hivi kweli mtz unashangilia. mtz anayeshangilia majanga yetu. Ndo tulipofika kweli. Watz mahali pote hawatakiani mema wivu na malengo mabaya. Sasa wananchi tunsahau kama nchi ni yetu. Sasa tumekaa nia yetu nchi ishindwe kutawalika na sie tubaki nyuma tunaumia. Kutumiwa na mabepari ni dalili mbaya sana .endeleeni na siasa. Lakini kama mnataka maendeleo Watz lazima kupitia kaa La moto.
 
Ungejua loss aliyotutia huyu raisi ...usingeyaongea hayo......embu linganisha hasara aliyotutia kikwete kwa awamu zote na ya huyu kwa hiki kipindi alichokianza
 
Unaelewa kwamba hizo billioni 80 unalipa wewe? pamoja na kulipa boda boda 30,000, pia unalipa na hizo billion 80 ambazo zimetokana na wao

Ahsante raisi wangu kwa kuliona hili
Lakin si watakusanya wao ,,mim deni halihusuuu
 
Kuzikusanya hizo watatoa jasho
 
Aliyeshangilia ni nani na alishangilia wapi?
 
kenya kuna upinzani ila sio wa kijinga kama wakina tundu lisu wakutakia mabaya nchi na kuwa abudu weupe, kuwashinikiza wakamate hiyo ndege, sijapata kuona ujinga kama huu

Sent using Jamii Forums mobile app
Najiuliza tu ivi mzungu anaweza shinikizwa na TL akamate ndege, ndo maana inafikia maali mtu anakwambia treni imeshafirishwa mpaka DSM bila mteja kujulikana na watu wanaamini tu

spensa_e
 
Ccm walikuwa wanasubiri Siku ya mnada ndio watanzania wajue kwamba ndege inauzwa,lissu mzalendo na muungwana kaamua kutustua kwamba ndege yetu inauzwa halafu kuna misukule inamlaumu,sasa angekaa kimya wakati Mali ya Tanzania inataka kupigwa mnada
Deal ya Lisu ilikuwa imetengenezwa ndege iuzwe, serikali kupitia waziri wa mambo ya kigeni, wakalistukia deal likabumburuka, mazungumzo yanaendelea ndege ilishaachiwa bila ya wapiga deal kujulishwa, walipo liamsha dude, wakakuta zamaani serkali ishaweka mambo sawa, tumewajua wapiga deal, kwani haya ndio maisha yaliyokuwepo kabla ya ujio wa Magufuli, tutawatambua mmoja mmoja na umma utwajua tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati Trafiki, TRA na Sumatra wanawaonea boda boda kwa kukamata piki piki zao.

Ndege yao nayo imekamatwa boda boda wamelipa fain elf 30, wao wanalipa bilion 80.


Sent using Jamii Forums mobile app
nadhani kuna haja ya kupima ufahamu wa watanzania maana hii ni zaidi ya siasa ni zaidi ya ujinga na upunguwani wa kupitiliza shame on you all behind this na hakika mtashindwa na kina manywele na matundu wenu
mungu ibariki Tanzania ya wazalendo wafia nchi na uwalaani wachumia tumbo kizazi cha mafisadi.
deni sio la ndege linahusu ujenzi wa barabara sasa msioitakia mema nchi mnafurahia kuona magufuli akikwamushwa ili mpate pa kuanzia kampeni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hii akili ya ajabu sana.

Kufichua madudu myafanyayo gizani na kuhatarisha ustawi wa Taifa letu ndo kushabikia majanga?Be serious bhana.

Alichokifanya Shujaa Lissu,ni "kubutua" funiko lenu la kuihujumu nchi yetu.

Wapuuzi kweli nyie, tena ndo mnaifanya Tanzania yetu kuendelea kuwa dhaifu kiuchumi,wanafiki sana
 
TUNDU ANTIPAS LISSU siyo wakupuuzwa hata kidogo!
Angalia kama unaweza kupuuza hoja zake!
Ni rahisi kumpuuza Baba Jesikana si TL, kil akisimama kuna watu matumbo joto. Tuifanye inji hii kua ya bayana muda wote, tunadaiwa hatudaiwi?. kama tunadaiwa msababisha deni nani? na anawajibikaje?. Ahsante lisu kwa kutujulusha ungese wa huu utawala
 
Ni kweli kabisa nakubaliana na msemaji wa serikali kwamba wanasiasa waliovunja mikataba na wawekezaji ndio wametufikisha hapa. Ikiwezekana wakamatwe na kufungwa jela ili liwe fundisho kwe wengine. Isingekuwa wao kutusababishia mgogoro huu, bombadier yetu ingekwishawasili nchini. Hawa wajenga migogoro ni watu hatari sana katika nchi hii.
 
Nimefurahi kweli leo kusikia mchungaji anawahimiza waumini wake kuwa wamwombee wakili msomi Tundu Lissu dhidi ya watesi wake. Hakika nami nasema Mungu ampe maisha marefu Tundu Lissu.
mkuu wapi hapo?? hebu nipe kavideo nishangilie....
 


Wanasiasa hao ndio waliovunja mkataba??????????????????
 
Hivi huyu msemaji ni mtoto wa Kawawa (PM wa zamani) au ni mwingine? Ama kweli sijawahi kuona msemaji mbumbumbu kama huyu mama!
 
sisi wenyewe wanyonge tunashangilia matajiri ambao ni watanzania wenzetu wakifilisiwa hata kwa kuonewa....kisa wote tuwe maskini. sasa kama tunataka wote tuwe maskini, acha tufilisiwe
 
Mkuu pole,kumbe tuko wengi.yaani naiona hasira yako kwenye haya maneno!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…