Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Hili deni lipo toka 2009 nasikia, hizi ndege mbili za mwanzoni hazikukamatwa. Ila cha ajabu imekamatwa hii ya tatu.

Is this not an inside job of the traitors?
Zilikua mitumba zile, nani akamate mitumba? Baada ya kuzodolewa kuwa wanatununulia mitumba kwa bei ya Mpya ndo wakaamua kununua kapya, hapo ndipo mwenye Mali akaona hapo ndipo pakupata ule utajiri wa mzembe moja hivi.
 
Tambua kuna tofauti kubwa kati ya Yutong na Coaster japo yote ni magari na yana matairi manne.

"PAMBANA NA HALI YAKO"
 
Kama anataka iwe siri watoto au wajukuu zetu watajifumza wapi? Tunataka katiba yenye uhuru wa Kweli suo katiba ya kanda. Sisi sote ni watanzania tunastahili kuishi kama watu wengine. Jamaa kaweka madaraja ya kuishi.

Ukoloni mamboleo ulishapitwa na wakati. Mh. Kila MTU anapenda lakini maamuzi Pupa na kupenda sifa. Wakati anatakiwa ajitathimini wadhifa wake unamadhara gani kwa anaowatawala
Yeye ni kiongozi jambo lenye stata tafuta ushauri kama vikundi citati upokee taarifa na utoesamo ikiwezekana hata kambi ya upinzani anaweza kuunda na kuanalia taarifa zao. Cicimizi sitaki kuisikia kabisa na ndio maana hata watu walipo nje hawataki kurudi. Lissu mungu atakulinda tunakuombea isolate tamaa. Huyu fukuza fukuza kama mmbwa mungu anaemwita atamwonyesha haphapa duniani.
Ajiamini miaka kumi suo mingi atakujakushindwa kutoa sura yake kama Mkapa. Aangalie mabaya hayasahauliki lakini mazuri ni massa sita tu wameshasahau.
 
Siku zote ukiona mfanyakazi anajituma kwa maneno na vitendo huku akiwaponda wafanyakazi wenzake wa kitengo tofauti, jitahidi kumpeleleza kuna madudu mengi anayaficha na yatakuja kuonekana mara tu utakapo badili mfanyakazi.
Kuhusu ndege:
Ni kwanini kabla ya lisu na zito kuwaamshia dude serikali walikuwa kimya?
Inatia shaka:
Sikh zote ukiona kosa moja ujue yametendeka makosa mengi.
Hapa ni wazi kuwa kuna mali nyingi za nchi yetu zimezuiliwa na mataifa mbali mbali maana tunapenda saana kupokea mikopo na misaada yao lakn tujue kuwa na wao syo mambwiga kukubali hasara.
Tumesamehewa deni_:
Bila shaka hlo neno limetumiwa sana serikalini kwa miaka mingi na watawala waliopita kuwa nchi fulani imefuta deni lao kwetu.
Inatia shaka:
Hapa kuna mali za wananchi zilizo zuiliwa huko nchini mwao lakn serikali ikatuliwaza kuwa tumesamehewa deni yamkini kuna mali za nchi zilishikiliwa nchini mwao:

Jiulize kibiashara:

Umeshawahi kumkopesha mtu tsh 500,000/= kisha ukamsamehe tu asikulipe na kesho ukamkopesha tena??????????

Majibu tunayo:
 
Pia nilikuwa najiuliza swali kama hili, pengine Bombadier wamecheza mchezo na hao wadai, halafu wameruhusu ndege ikamatwe kwenye premises yao kabla ya kukabidhi kwa mnunuzi, serikali iwaambie bombadier walete ndege yetu kama ilivyopanga,waki delay wawe fined au tuwafungulie mashitaka ya kushindwa ku deliver ndege yetu ontime hivyo kuliingizia taifa hasara.
 
Wakati wa ndege za kwanza? Sikumbuki vyema ila itakuwa bado yalikuwa hayajashikwa.

Yalivyokamatwa Yale ndio sokosoko lilianza, vichwa vikakaa, Lisu amongst them bila shaka, wakacalculate namna ya kuiumiza nchi ili alaumiwe presdaa.

Sasa hv ccm wote kila mmoja akitengeneza propaganga yale lazima amtaje Lisu hata kwa bahati mbaya. Ukiuliza kwanini hakuna anayehoji sababu ya deni, wote sura zinawashuka. Andamaneni aongozewe muda ili utumike mshahara wake kulipa madeni ya kujitakia. Ubabe mwisho chattle.
 
Upumbavu ndiyo huu. Yaani umetafuta uhalali wa kumuunganisha Lissu kwenye ujinga mliofanya wenyewe. Mkae mjilaumu kwa ukarumekenge wenu. Acheni kuanzisha nyuzi za kipumbavupumbavu humu. You CCMs are freaks!
 
Amani ya nchi ikivurugika wasaliti watakimbilia kwa waliowatuma wewe mleta mada uliyepo hukio nakapanya utakimbilia wapi.

Kuweni makini na wanasiasa wasio na misimamo kama hao watetezi wa accacia.
Hivi kwa Akili yako ndogo kabisa mpka mwisho muanzilishi wa kitu falani na mtetezi wa kitu falani nani wa kuchukuliwa hatua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani huyo bwana mkubwa akiamua Lisu atafanya nini,?

Si itakuwa sawa na 2015 tu jinsi Lisu alivyoufyata mbele ya Mbowe na Lowassa?

......
Jitoe fahamu kashaa waambia atanyamaza akiwa mfu ......" kila mtu kwa nafasi yake apaze sauti dhidi ya huyu...." tundu masheria antipas the legend lissu so just know tupooo weeengi zaidi ya ile 6mill kwenye uchaguzi haya amueni tuone
 
Hili deni lipo toka 2009 nasikia, hizi ndege mbili za mwanzoni hazikukamatwa. Ila cha ajabu imekamatwa hii ya tatu.

Is this not an inside job of the traitors?
Hatuna tabia ya kulipa Madeni tena Ambayo yapo kisheria
 
Makinikia ndio naona inaweza kuwa sababu coz watu wa Acacia Canada ndio kwao so wanatufanyia fitina baada ya kuona tumewabana kwenye kuzuia makontena
 
Nimeota ndoto hii mwenye weledi anifasirie..

Tuna kiongozi wa nchi ambaye hataki mchezo, ukikosea anakuadabisha hapo hapo hata kama ulikosea miaka kumi iliyopita utawajibishwa tu.

Sasa kuna mtu aliyekuwa na mamlaka katika wizara ya ujenzi , mwaka 2009 wakati mkataba wa barabara ya bagamoyo ukivunjwa.

Kuvunjika kwa mkataba huu kumepelekea one of president special project kufail kiwakati. Namaana ndege kung'ang'aniwa na kutishiwa kupigwa mnada huko canada.

Nasubiri huyu waziri wa kipindi hicho atakapo wajibishwa na mtukufu raisi hawezi kukosea kwa kiwango hicho na kulipaka tope jina la nchi yetu Tanzania.

Hii ndoto ina majibu yake...

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…