Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Habari za Sengerema Yiyus. Nikusaidie tu kuwa hakuna namna yeyote ambayo findings za Mruma zinaweza kuwa na ukweli, hata kwa asilimia 0.000005%. Muda utasema.

Profesa ashiendwe kusoma hata uzito kwa kutumia mzani? Mimi nita kuwa wa mwisho kuliamini hili. Hata hivyo mwisho wa siku atajaletwa mchunguzi huru. Muda utasema.

Mchina wa jF.
Na washawasha!
 
Naona umeamua kujificha kwenye ujiti wa chelewa, ukiamini kabisa hauonekani.
Kuna mtu juzi alisimama kasema Tanzania bado ni nchi changa, nikavuta picha kule kijijini kuna mzee anamiaka takribani 80, sasa sijui na yeye bado ni mchanga.

"PAMBANA NA HALI YAKO"
 
Aanze kwanza kupigwa vita Mkulu mwenyewe anayeendelea kusababisha majanga kwa Taifa letu kutokana na hulka yake ya ubabe na utemi na kujiona yeye ndiye each and everything na kutuona watanzania wote tuliobaki kuwa wapumbavu na malofa, asiotaka kusikiliza ushauri wetu tunaompa........
 
Kwako wewe wazuri ni wale wanaoshiriki kuficha mambo ya hovyo yayotendwa na walopewa dhamana kuongoza nchi hii.
Wewe na wenzako ndio wachawi wa maendeleo ya nchi hii. Sio yenu pekee yenu.
 
Kunachovutia kwenye storyboard yako ni kwamba Mbwa kaamua kula chakula na kumla mwenye mbwa. Tafakari kisha chukua hatua.

"PAMBANA NA HALI YAKO"


Tafakari kwa kina yawezekana Mimi na wewe ndo mbwa wenyewe "tunaoswongomela" mahitaji ya "watoto".Sijamlenga mtu.Ila kwa staili na namna yotote ile ukishindwa kujali ustawi wa watanzania wenzio na Taifa kwa ujumla wake basi huna tofauti na mbwa wanaopewa tafakari katika mada hii.
 
Uwezi kudhibiti watu kusema ukweli hii nchi ya watanzania sio ya mtu mmoja ukweli lazima usemwe muhimu kufuata sheria utawala wa sheria ni muhimu kwa mustakabali wa nchi yetu la sivyo sio tutalipa madeni mpaka basi
 
mlio wengi wewe na nani? hivi kila mtanzania bu waziri?
hivi baada ya uchaguzi kuisha bado vinyongo na visasi vimeendelea kuutafuna upinzani hadi kiasi cha kutoona maslahi ya taifa kwa upana wake?shame on all of you idiots fusasinism

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumefika hapa kwa upuuzi wa Chama cha makinikia (CCM). Hawa ndio chanzo cha matatizo yote haya, tusitake kulaumu watu wasiohusika.

Siasa basi
 
Reactions: BAK
Umeharibu mada yako kwa kuchanganya Dini na Siasa.
Weka kitu kimoja kimoja ili ueleweke.

DINI
Hilo andiko (Mathayo 15:21-28) ulilolitumia naona umelitumia vibaya ili kupotosha mambo hapa JF.
Tafsiri sahihi kuu ni moja tu katika hilo andiko, MUNGU hana ubaguzi, hata kama hukustahili baraka zake, lakini ukimpendezesha kwa imani basi atakufikia na kukusaidia. Imani ndio njia ya kukufanya ukastahili hata kama hukustahili hapo awali.

SIASA.
Tanzania tunadaiwa, tulikosea kwenye kufanya maamuzi yetu, tusiendelee tena kukosea, tulipe deni. Dawa ya deni ni kulipa tu. Tukiendelea kukwepa kulipa tutaendelea kuvuna aibu milele.
Asante kwa watu wote waliotufungua macho na masikio ya kuyajua hayo madeni makubwa yanayofanywa kuwa siri wakati tunaolipa ni sisi watanzania.
Hapo hakuna cha uzalendo, tulipe deni ili tuwe huru.
 
Wakati fulani hapa chamani tulikuwa na watu waliojulikana kama wanasheria wa chama na ninamkumbuka mmoja akiitwa Kunambi. Lakini zama hizi sijajua kama bado tunao wanasheria wa chama, ila ningeomba tupate mtu mwenye uwezo wa kujibu na kujenga hoja zitokanazo na changamoto mbalimbali. Haiwezekani leo hii Lissu au Zitto wanaibuka na hoja nyepesi zenye majibu ya kawaida lakini sisi kama chama tunabaki kimya. Leo hii Lissu anawaaminisha watanzania kwamba serikali ikiingia mkataba ni mwiko kuhoji au kuuvunja kwa sababu nchi itashtakiwa, na sisi CCM tumebaki kimya tukumbuke kuwa Lissu ni mwanasiasa na anaongea mambo yote kupitia chama chake chadema, hivyo anapaswa kujibiwa kisiasa na chama kilichounda serikali yaani CCM. Ahsante!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…