the obsever
Member
- Oct 4, 2016
- 50
- 25
Hao wanasiasa ndio walinyang'anya tender kinyemela?!
Hao wasioitakia mema nchi hii ndio mahakama iliyotoa huo uamuzi?
Mahakama iliyotoa huo uamuzi haitambuliki katika mkataba tuliosaini wenyewe na mkandarasi/mdeni wetu tukiwa na akili timamu?
Nani amesema mkilipa deni la watu hiyo ndege haiji?
Mbona mnataka kutufanya nchi nzima mabashite?
Alafu mbona mliukuwa mnafanya siri?!
Pathetic!!
Hiv nyie watu mnafikiri kwa kutumia kiungo gani?Mchakato umeingiliwa Na lissu Na umeingiliwa kisiasa. Lissu Na baadhi ya watu wa mataifa wasioipendea mema Tanzania,
Na mtatiro kaa chonjo habari tunazo
Inaelekea walitaka kulipa kimya kimyaaaaHao wanasiasa ndio walinyang'anya tender kinyemela?!
Hao wasioitakia mema nchi hii ndio mahakama iliyotoa huo uamuzi?
Mahakama iliyotoa huo uamuzi haitambuliki katika mkataba tuliosaini wenyewe na mkandarasi/mdeni wetu tukiwa na akili timamu?
Nani amesema mkilipa deni la watu hiyo ndege haiji?
Mbona mnataka kutufanya nchi nzima mabashite?
Alafu mbona mliukuwa mnafanya siri?!
Pathetic!!
Kwenye hili jambo Haya ndio majibu ya serikali? Maana mpaka sasa hivi sijaelewaUnunuzi wa ndege ya 3 ya Bombadier umeingiliwa na mgogoro uliotengenezwa na wanasiasa na watu wasioitakia mema Tanzania.
"Wanasiasa waliotengeneza mgogoro huo wanahujumu maendeleo ya nchi na usalama wa raia"-Kaimu Mkurugenzi Mkuu-Idara ya Habari Zamaradi Kawawa
Ndege ya 3 ya Bombadier ipo na inakuja kwahiyo wananchi waiamini Serikali yao. Serikali imesikitishwa na ushiriki wa wanasiasa na baadhi ya watu kuhujumu maendeleo ya nchi.
Watanzania tuwe wazalendo kulinda,kutetea na kukabiliana na hujuma zozote zinazorudisha nyuma maendeleo ya Nchi.
Watanzania, Tuunge mkono jitihada za Rais Magufuli katika kuleta maendeleo bila kujali itikadi ya chama, kabila au dini. Kuhusiana na mgogoro wa ununuzi wa ndege hatua za Kidiplomasia na sheria zimeanza kuchukuliwa ili kumaliza jambo hili.
Na tutalipa sana bado na watumishi maelfu wanaoelekea mahakamaniSema tu mchakato umeingiliwa na watawala wanao tumia nguvu nyingi kuliko upeo....
Kwanini Rais Magufuli akikosea kunakuwa na kigugumizi cha yeye kuambiwa ukweli?..
Historia inamuelezea wazi Kuwa alinunua Boti chakavu..
Amesababisha hasara kwenye Samaki wa wachina baada ya kukamata ki dicteta Meli yao...
Hivyo hivyo kwa hili yeye sio mgeni kulisababishia hasara taifa.....
Hakuna cha visingizio kwa hili Lazima awajibike kwa watanzania na kuwaambia amewakosea kwa kukurupuka.
Kweli njia ya Muongo ni fupi 'Msema kweli ni mpenzi wa Mungu' Runing away from problems does not solve problems 'Any decision you make in Life You are Responsible for it'Serikali ilipe madeni yake. Iache kulalamikia wanasiasa wakati yenyewe hailipi madeni yake.
Sent from my Kimulimuli
Wanaogopa kumuambia halafu wanao sema ukweli ndio wana laumiwa. Kupoteza pesa za umma mnataka iwe siri kwa vile boss aliharibu?? Lumumba waache mambo ya aibuHiv nyie watu mnafikiri kwa kutumia kiungo gani?
Yaani mtu mmoja akurupuke then kutia hasara taifa lawama ziende kwa lissu, are you serious?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wahenga walisema, penye ukweli, uongo hujitenga.Na tutalipa sana bado na watumishi maelfu wanaoelekea mahakamani
Ukisikia hadi watu masikini ya Mungu wazalendo,wenye nidhamu,wavumilivu ,majasiri na wenye uchungu na nchi kama askari na wanausalama walianza...kunungumika kimya kimya...sasahivi hata wakiingia bar wanalalamika mbele ya raia wazi wazi....
Ujue its too much
Hii nchi ni ngumu sana kuielewa... Nilitengemea watakanusha kwa fact kuzizika nondo za Lisu kumbe wamekuja na taarabu...Kwahiyo ndege imezuiliwa na wanasiasa au ndege imezuiliwa na wadeni wetu?
Kuna watu wa aina mbili duniani.Kweli njia ya Muongo ni fupi 'Msema kweli ni mpenzi wa Mungu' Runing away from problems does not solve problems 'Any decision you make in Life You are Responsible for it'
Uwongo haujawahi kushinda ukweli hata siku moja. Kwani kuna ubaya gani kukubali kuwa tunadaiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app