Samweli Mathayo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 1,578
- 1,722
Si uende ulete wewe?Ile press release ya Tundu Lissu ipo humu nenda kaisome upya halafu uje utwambie ni wapi aliposema kuwa mkataba ulivunjwa mwaka 2009.
Soma upya kunadeni jengine la 1.3 trionSasa si unaona unavyoonyesha unyang'au na upumbavu wako hapa, kwani tunasungumzia masuala ya samaki hapa na hizo trilioni 3?
Tena sifahamu umeandika kitu gani hapo eti nini 1.3 tirion?
Wacha kumsifu ujinga huyo kada wa Sisiem anayefanya kazi za kuwaogesha wazungu wazee huko kwenye makazi yao huko majuu......
Ulivyunjwa 2009 Rais Magufuli akiwa Waziri wa MifugoHizi Ndiyo arguments. Safi sana Gamba la Snake. Sasa hapo ili kukamilisha hoja vizuri weka Tarehe, Mkataba wa Ujenzi wa Barabara hiyo uliingiwa lini Waziri akiwa Nani na ulivunjwa lini kipindi cha Waziri nani na hukumu ilitolewa lini kipindi cha Waziri nani ili ulinganisho wa matukio wauelewa vema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Enzi za Mkapa mwaka gani?mnajaribu kuwahadaa watu kwa kumfitinisha na Rais wao hamtafika mbaliMsichanganye tarehe ya hukumu na tatrehe ya kunyang'anya mtu kandarasi.
Ni wazi alinyang'anya hiyo kandarasi akiwa waziri enzi za Mkapa.
Acha kupotosha maandiko. Huyo mwanamke aliyekuwa akipiga makelele aponyeshewe na Yesu kuhusu binti yake alikuwa MKANANAYO. Na wakananayo si miongoni mwa makabila 12 aliyotumwa nayo Yesu kuja kuyaokoa. Kumbuka aliposema NA KATIKA MIJI YA MATAIFA MSIENDE.....WALA MIJI YA WATAKATIFU BALI IFUATENI NJIA KWA KONDOO WALIOPOTEA WA NYUMBA YA ISRAEL. Kwa nini alisema hivyo kwa sababu anasema SIKUTUMWA ILA KWA KONDOO WALIOPOTEA WA NYUMBA YA ISRAEL.
Usipotoshe masndiko kwa kudhani kuwa Yesu hakuvutiwa na makelele ya mwanamke Mkananayo bali hakupaswa kumponya maana si miongoni mwa makabila 12 ya Israel.
Wasomi wa biblia tupo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa wasemaji wa serikali wameamua kujibu ili kututoa kwenye mstari wa kuulizia habari za kikao chao na barrick. Zamaradi tuambie na utupe mrejesho wa kikao kile na maamuzi yake pia. Au nacho kimehujumiwa na Lissu?Asante sana Tundu Lissu..
Bila wewe hii habari muhimu ya kodi za watanzania isingetolewa..
Mungu Akulinde Mh Lissu.
Enzi za mkapa enzi msoga?Msichanganye tarehe ya hukumu na tatrehe ya kunyang'anya mtu kandarasi.
Ni wazi alinyang'anya hiyo kandarasi akiwa waziri enzi za Mkapa.
.Tafakari kwa kina yawezekana Mimi na wewe ndo mbwa wenyewe "tunaoswongomela" mahitaji ya "watoto".Sijamlenga mtu.Ila kwa staili na namna yotote ile ukishindwa kujali ustawi wa watanzania wenzio na Taifa kwa ujumla wake basi huna tofauti na mbwa wanaopewa tafakari katika mada hii.
Kibovu kwa criteria zipi?Siongelei typo. Naongelea Kingereza kibovu.
Haya mama heri chako kizuri, na nakipenda kweli cha kwako!Siongelei typo. Naongelea Kingereza kibovu.
Defamation usipoomba radhi unakwenda sero?we kweli Dr Kiazi
Kama huelewi vizuri kuandika Kingereza andika kwa lugha yako ya Taifa usilazimishe.Unafikiri wote tulipata upendeleo wa kusomeshwa kwenye elite schools kama wewe?!