....watu walidakia tu serikali ilimeza ndoano ya Tundu Lissu kichwa kichwa bila kuelewa kuwa wamewekewa mtego. Tungejua tunge myuti for a day or two ndiyo tuwaonyeshe makosa yaoHilo kanusho ni fake.
Serikali imesema haihusiki na huyo Abbas yuko likizo.
Huenda wamegundua kwa utetezi huo wataumbuka zaidi maana facts ziko tofauti.
Ndiyo ubongo wenu ukae vizuri maana Lissu mmemfanya anafikiria kwa ajili yenu.Mngetusaidia vizuri kwamba hiyo kandarasi ilikuwa lini, na ilivunjwa lini, na ni nani alikuwa waziri wakati huo. Inawezekana Lissu hakumbuki tarehe hiyo hiyo nani alikuwa waziri, lakini haipunguzi ukweli kwamba hiyo kesi ya kuvunja mkataba ilikuwepo na serekali ilishindwa. Kwa changamoto kama hiyo aliyotoa Lissu imesaidia serekali kujua kwamba watu wako macho na utendaji wa serekali, na hii itapelekea serekali kuwa makini sana kwani inajua kuna watu wanafuatilia kwa makini matumizi ya fedha zao, ukiukwaji wa mikataba na sheria mbalimbali. Hizo ndio changamoto za ofisi ya umma na sio kuendesha kama unaendesha familia yako. Lissu hakikisha unazidi kutoa changamoto kadiri unavyoweza na kuwa makini zaidi unapotoa tarehe ili mtu yoyote asipate pa kuchomokea.
Ndg zangu msipoteze muda kumjadili taahira Tundu LissuNi kweli mkuu lakini kwa jinsi Tundu alivyokuwa anaongea as if mheshimiwa rais alikuwa waziri wa ujenzi wa kipindi hicho unavunjwa huo mkataba,kumbe mheshimiwa rais alikuwa waziri wa kilimo na wizara ilikuwa chini ya shukuru kawambwa.
Yaani Tundu ametokea kumchukia Mheshimiwa rais tu na sijui kwanini? maana kweli serikali walikuwa wakificha habari ya kukamatwa kwa bombadier lakini watakuwa na sababu. Ila Tundu alianza kumshutumu mheshimiwa rais alikurupuka kuvunja mkataba na iyo kampuni ya ujenzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mdau amesema mkataba ulikuwa kati ya 2000-2003, Magu ndio aliuvunja akiwa Waziri mwaka 2003, kesi ikaanza ila imeamriwa mwaka 2009.Ni kweli mkuu lakini kwa jinsi Tundu alivyokuwa anaongea as if mheshimiwa rais alikuwa waziri wa ujenzi wa kipindi hicho unavunjwa huo mkataba,kumbe mheshimiwa rais alikuwa waziri wa kilimo na wizara ilikuwa chini ya shukuru kawambwa.
Yaani Tundu ametokea kumchukia Mheshimiwa rais tu na sijui kwanini? maana kweli serikali walikuwa wakificha habari ya kukamatwa kwa bombadier lakini watakuwa na sababu. Ila Tundu alianza kumshutumu mheshimiwa rais alikurupuka kuvunja mkataba na iyo kampuni ya ujenzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lissu amemwaga sumu kwenye pango la kenge, sahivi naona kenge wote wametoka nje kupambana na hali zaoI heard what the Chadema lawyer said on his press conference on the 18th August 2017, explaining what has happened to the Bombadier plane which is in Canada and yet to be handled to the Tanzania authorities officially.
During that press conference Mr Lissu knowingly accused the president of the United Republic to spearhead the breach of contract with the Striling Construction company and hence cause to the nation a burden of paying the damages as per court verdict.
Mr Lissu knowingly that it is not true, accused the president while quite aware that the president is not in anyway responsible for the breach of the said contract at any time in his career serving the government of the United Republic.
I would like to remind Mr Lissu that, Doctor John Magufuli the current President of the United Republic was a Minister of Livestock and Fisheries Development from the 13th of February 2008 to the 6th of November 2010 And then a minister of Works, Transport and Communication from 28th November 2010 to the 5th November 2015 preceded by Mr Shukuru Kawambwa.
So it is crystal clear that the whole process of the contract termination and the legal battle between the government and the Striling construction company occured when the President was a minister not responsible for What Mr Lissu is accusing him of!.
It is for this matter I request Mr Lissu to come clean on his accusations to the president and be courageous to appologise for this blantant fabrication of events and facts.
I would like to remind mr Lissu that, Sound measures can't be built on top of lies, Neither is the concocting of lies a behaviour that projects dignity!
It is for this matter I request Mr Lissu to appologise for false accusations against the president of the United Republic his Excellency John Magufuli.
I say this without batting an eye, Tundu Lissu you owe us and the President an appology!!
Si ungeandika Kiswahili tu?I heard what the Chadema lawyer said on his press conference on the 18th August 2017, explaining what has happened to the Bombadier plane which is in Canada and yet to be handled to the Tanzania authorities officially.
During that press conference Mr Lissu knowingly accused the president of the United Republic to spearhead the breach of contract with the Striling Construction company and hence cause to the nation a burden of paying the damages as per court verdict.
Mr Lissu knowingly that it is not true, accused the president while quite aware that the president is not in anyway responsible for the breach of the said contract at any time in his career serving the government of the United Republic.
I would like to remind Mr Lissu that, Doctor John Magufuli the current President of the United Republic was a Minister of Livestock and Fisheries Development from the 13th of February 2008 to the 6th of November 2010 And then a minister of Works, Transport and Communication from 28th November 2010 to the 5th November 2015 preceded by Mr Shukuru Kawambwa.
So it is crystal clear that the whole process of the contract termination and the legal battle between the government and the Striling construction company occured when the President was a minister not responsible for What Mr Lissu is accusing him of!.
It is for this matter I request Mr Lissu to come clean on his accusations to the president and be courageous to appologise for this blantant fabrication of events and facts.
I would like to remind mr Lissu that, Sound measures can't be built on top of lies, Neither is the concocting of lies a behaviour that projects dignity!
It is for this matter I request Mr Lissu to appologise for false accusations against the president of the United Republic his Excellency John Magufuli.
I say this without batting an eye, Tundu Lissu you owe us and the President an appology!!
Halafu aingie nani?Ccm ndiyo tatizo sasa maombi hayo yaelekezwe kuitoa ccm madarakani
Tatizo la watanzania ni kuwaza Siasa tu.sijui CCM sijui Chadema sijui CUF... Wengine huko hatuko.Hela unayolipwa na chama ni ndogo kuliko nguvu unayotumia humu kuwachonganisha watetezi wa rasilimali za watanzania dhidi ya wahujumu uchumi CCM
Ashaimwaga original posterIkiwepo humo youtube sio lazima niwe nimeisikia. So siwezi kujenga hoja yangu moja kwa moja bila kuisikia boss. Ila ww uliyesikia alichosema hakuna anayekuzuia kufunguka. Mwagika upendavyo hiyo ndio demokrasia.
Hayo ndiyo matamko ya kibaguzi ambayo tunayapiga vita kila siku.inahujumiwa na watanzania wanaowageuza watanzania mashetani..
njaa kila kona
tanzania inahujumiwa na wanaoua watanzania ambao ndio nguvu kazi ya taifa hili..
R I P MAWAZO
R I P WAPEMBA 70 WALIOUWAWA JANUARY 27 2001
RIP MWANGOSI
Pole Saanane
Poleni masheikh wa Zanzibar.
tuliwahitaji mlitumikie taifa hili lakini ndio vile..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu salama.
Serikali imeshatoa tamko tayari aliye vunja mkataba ni shukuru kawambwa mwaka 2009. Na wamempa Lisu siku 7 aombe radhi na kufuta maneno yake. Tafuta hilo tamko.
Ni kweli mkuu lakini Tundu alimtupia lawama mheshimiwa rais kama yeye ndio alivunja mkataba na iyo kampuni ya ujenzi wakati kipindi icho mheshimiwa rais alikuwa waziri wa kilimo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu PMkama,
Huenda serikali ilikurupuka kutoa tamko na kusema aliyevunja ni Kawambwa. Baada ya muda wameona wamechemka, sasa wamekanusha kwamba hiyo taarifa sio ya kwao.
Ukweli ni kwamba mkataba huu ulivunjwa wakati wa rais Mkapa.
Hii serikali ilitakiwa ikae kimya hata siku nzima wakitafuta facts zote lakini sasa wamekurupuka na kuja na taarifa ambayo inamweka hata rais mahali pabaya Zaidi.
Wewe ni mtu wa IT kwahiyo itumie mitandao vizuri. Ingia link hii na search Bagamoyo au Wazo Hill.
http://stirlingcivileng.com/Stirling Company Profile.pdf
Kama hilo kanusho ni la serikali basi wamejivua nguo mno. Kawambwa atatokea na kusema hapana, hicho kikombe sio chake.
Ndiyo ubongo wenu ukae vizuri maana Lissu mmemfanya anafikiria kwa ajili yenu.
Sent using Jamii Forums mobile app