johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Bunge atalihutubia tarehe 04/05/2021 siku ya Jumanne!Kwaiyo sio bunge?
Msemaji wa serikali Gerson Msigwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan siku ya jumatano 05/05/2021 atawahutubia wafanyabiashara wa Kenya na Tanzania kwenye Jukwaa la Wafanyabiashara nchini Kenya.
Katika mkutano huo Rais Samia ataelezea fursa mbalimbali za uwekezaji zilizopo nchini ikitiliwa maanani kuwa Kenya ndio mwekezaji mkubwa hapa nchini.
Source: Channel ten
Kazi Iendelee!
Kwenda kuhani msiba ni lini?Msemaji wa serikali Gerson Msigwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan siku ya jumatano 05/05/2021 atawahutubia wafanyabiashara wa Kenya na Tanzania kwenye Jukwaa la Wafanyabiashara nchini Kenya.
Katika mkutano huo Rais Samia ataelezea fursa mbalimbali za uwekezaji zilizopo nchini ikitiliwa maanani kuwa Kenya ndio mwekezaji mkubwa hapa nchini.
Source: Channel ten
Kazi Iendelee!
Hiyo ni kwa mujibu wa msemaji mkuu wa serikali ndugu Msigwa!Mkuu nilikuwa sijui kwamba Kenya ndio Mwekezaji Mkuu hapa Nchini...
Nilijua tuu yupo Kwenye Mabenki na Bima tuu[emoji3516][emoji30] KCB,Jubilee na Equity bank
Umesahau awamu ya piliTunasubiri siku 100 zipite tuone atakayo watendea Watanzania.
Mzee Rukhsa sio? Watoto wanachezea utajiri kwenye kundi la waja leo. Subirini tu majuto mjukuu.Umesahau awamu ya pili
Siku 100 za awali zitakuwa safari 100Mzee Rukhsa sio? Watoto wanachezea utajiri kwenye kundi la waja leo. Subirini tu majuto mjukuu.