Msemaji wa Serikali: Rais Samia kuhutubia Jukwaa la Wafanyabiashara nchini Kenya tarehe 05/05/2021

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Msemaji wa serikali Gerson Msigwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan siku ya jumatano 05/05/2021 atawahutubia wafanyabiashara wa Kenya na Tanzania kwenye Jukwaa la Wafanyabiashara nchini Kenya.

Katika mkutano huo Rais Samia ataelezea fursa mbalimbali za uwekezaji zilizopo nchini ikitiliwa maanani kuwa Kenya ndio mwekezaji mkubwa hapa nchini.

Source: Channel ten

Kazi Iendelee!
 
Chana anga Mama la Mama
Tafuta wawekezaji
Ondoa sheria kandamizi kwa wawekezaji
Wahakikishie usalama wa rasilimali zao
Tengeneza diplomasia chanya

Hapo kazi itaendelea
 
Msemaji wa serikali Gerson Msigwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan siku ya jumatano 05/05/2021 atawahutubia wafanyabiashara wa Kenya na Tanzania kwenye Jukwaa la Wafanyabiashara nchini Kenya.

Katika mkutano huo Rais Samia ataelezea fursa mbalimbali za uwekezaji zilizopo nchini ikitiliwa maanani kuwa Kenya ndio mwekezaji mkubwa hapa nchini.

Source: Channel ten

Kazi Iendelee!

Mkuu nilikuwa sijui kwamba Kenya ndio Mwekezaji Mkuu hapa Nchini...
Nilijua tuu yupo Kwenye Mabenki na Bima tuu[emoji3516][emoji30] KCB,Jubilee na Equity bank
 
Vizuri sana, awakubalie walete Branch za viwanda vyao Tanzania Ili watanzania wajifunze kuchapa kazi na jinsi ya kuongeza thamani malighafi tulizonazo ni vitu vingi tupo navyo tatizo hatujui kuongeza thamani zinazokubalika kwa viwango vya kimataaifa ndo maana hata ajira zinapungua wakati tupo wengi, tunachoweza ni kushinda kanisani na mikutanoni wakati wenzetu makanisa ni jumapili tu na jumuia zinafanyika usiku na mikutano usiku Ili wake kwa waume wafanye kazi.
 
Msemaji wa serikali Gerson Msigwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan siku ya jumatano 05/05/2021 atawahutubia wafanyabiashara wa Kenya na Tanzania kwenye Jukwaa la Wafanyabiashara nchini Kenya.

Katika mkutano huo Rais Samia ataelezea fursa mbalimbali za uwekezaji zilizopo nchini ikitiliwa maanani kuwa Kenya ndio mwekezaji mkubwa hapa nchini.

Source: Channel ten

Kazi Iendelee!
Kwenda kuhani msiba ni lini?
 
Tunasubiri siku 100 zipite tuone atakayo watendea Watanzania.
 
Mkuu nilikuwa sijui kwamba Kenya ndio Mwekezaji Mkuu hapa Nchini...
Nilijua tuu yupo Kwenye Mabenki na Bima tuu[emoji3516][emoji30] KCB,Jubilee na Equity bank
Hiyo ni kwa mujibu wa msemaji mkuu wa serikali ndugu Msigwa!
 
Back
Top Bottom