johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Msemaji wa serikali Gerson Msigwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan siku ya jumatano 05/05/2021 atawahutubia wafanyabiashara wa Kenya na Tanzania kwenye Jukwaa la Wafanyabiashara nchini Kenya.
Katika mkutano huo Rais Samia ataelezea fursa mbalimbali za uwekezaji zilizopo nchini ikitiliwa maanani kuwa Kenya ndio mwekezaji mkubwa hapa nchini.
Source: Channel ten
Kazi Iendelee!
Katika mkutano huo Rais Samia ataelezea fursa mbalimbali za uwekezaji zilizopo nchini ikitiliwa maanani kuwa Kenya ndio mwekezaji mkubwa hapa nchini.
Source: Channel ten
Kazi Iendelee!